Hapo la kwa kwanza akae azungumze nae,amueleweshe ,akiona hali mbaya haelewek na majib anayopewa mabovu,kiukwel hamna mwanamme anaependa kuishi na mwanamke mchafu anaenuka kama shombo na nyumba kunuka kama kidonda.
amtishie amwambie tu kua lazma apeleke ili suala kwa mama wa mwanamke ili ampe elmu juu ya usafi alaf aone atavoreact.amchukulie simple ivoivo akiona habadiliki hapo lazma achukue hatua..
Lazma akamueleze mzaz wa kike wa mwanamke ,na hamna mama anaetaka mwanae aishi maisha hayo ya uchafu lazma atamueleza na kumuelimisha kinagaubaga mwanae,ijiwezekana atamtafutia kungwi ili apate somo kdg,atabadilika taratibu.
still hajabadilika dawa yake mke wa pili tu mbn atajishuulikia bila kutaka uyo,atakua msafi kuliko ww mwanaume



