Mwanamke kukaa mitandaoni afu ndani kwake kuko ovyo, kama ulivyosema muda ikienda anaparamia kazi tuNini mbaya mkuu
Nasikitishwa sana na wanawake wanaoponda huyo make ya mtoa siredi
Ukimwelimisha mwanamke umeelimisha ulimwengu jamani
Let's try to solve/ help our fellow women's problem ..yes try .ni mtazamo lakini
Opinions are not facts
Cc Smart911
Exactly ndio ulimwengu wa sasa ulivo,lazma mwanamke amanage time ,asispend mda wote mtandaoni ,ndo mana ndoa nyingi skuizi zinaharibikaMwanamke kukaa mitandaoni afu ndani kwake kuko ovyo, kama ulivyosema muda ikienda anaparamia kazi tu
Vp papauchi yake hainuki?Nimevumilia nnashindwa sasa Leo alfajiri wakati najiandaa enda job daah nkakuta kaweka kopo la chooni ndani ya ndoo ya kuhifadhia maji ya kunywa ukimuulza hayo majibu yake khaa jana kalala bila kuoga kisa baridi full harufu ya majasho na nnaamini kaenda job kwake hajaoga maana nilimuacha hajaamka hzo ndoo za kuhifadhia maji ukiziona mpaka aibu ukimuulza jibu sina muda khaa usafi chooni hafanyi mpaka niinglie Kati nafanye yaani wagen wakija wakati mwngne naombea wasiingie chooni aibu sana huwa namsaidia mpaka kufua kupka kuteka.maji nk nguo anachanganya chafu na safi,kitanda hakitandkwi ninaskitika wakati wa mwanzo hakuwa hivi kabisa sjui hii ndo rangi yake daah naombeni ushauri ningekuwa mpigaji ningekuwa nishaua soon pia nisingekuwa si mtu wa iman ningeshajitwalia kimada jaman akina Dada ndo mko hivi. Mkishaolewa?chumba nispochangamka kinaweza malza Week hakuna usafi nmechoka sana naombeni ushauri wakuu
Lakini lavu iz blaindi.....Kabisaa mkuu, ni venye mie ni mwanamke. Aki angenyooka tu, kulishana nnya kisa nini jamani

HeheheeLakini lavu iz blaindi.....![]()
![]()
![]()

Pole sana Mkuu, kwa sababu ni mke wako wa ndoa, jitahid tu kumfundisha na kumuelekeza kama n muelewa ataelewa.Nimevumilia nnashindwa sasa Leo alfajiri wakati najiandaa enda job daah nkakuta kaweka kopo la chooni ndani ya ndoo ya kuhifadhia maji ya kunywa ukimuulza hayo majibu yake khaa jana kalala bila kuoga kisa baridi full harufu ya majasho na nnaamini kaenda job kwake hajaoga maana nilimuacha hajaamka hzo ndoo za kuhifadhia maji ukiziona mpaka aibu ukimuulza jibu sina muda khaa usafi chooni hafanyi mpaka niinglie Kati nafanye yaani wagen wakija wakati mwngne naombea wasiingie chooni aibu sana huwa namsaidia mpaka kufua kupka kuteka.maji nk nguo anachanganya chafu na safi,kitanda hakitandkwi ninaskitika wakati wa mwanzo hakuwa hivi kabisa sjui hii ndo rangi yake daah naombeni ushauri ningekuwa mpigaji ningekuwa nishaua soon pia nisingekuwa si mtu wa iman ningeshajitwalia kimada jaman akina Dada ndo mko hivi. Mkishaolewa?chumba nispochangamka kinaweza malza Week hakuna usafi nmechoka sana naombeni ushauri wakuu
Mdada wa kazi anamipaka yake,mdada wa kazi anatandikaje kitanda unacholala na mkeo?au kufua nguo zako?sema wanawake siku hizi tunajisahau sana mdada wa kazi ndo mambo yotePole sana...
Samaki anakunjwa angali mbichi... Huyo kashakomaa kwa hiyo huwezi kumbadiliasha kwa lolote... Tabia ni kama ngozi...
Tafuta madada wa kazi aliye msafi na mstaarabu awe anasaidia kazi hapo...
Cc: mahondaw
Mke atulie na uvivu wake mwisho dada wa kazi ajimilikishe mumeMdada wa kazi anamipaka yake,mdada wa kazi anatandikaje kitanda unacholala na mkeo?au kufua nguo zako?sema wanawake siku hizi tunajisahau sana mdada wa kazi ndo mambo yote

Na wanalala kitanda kimoja?daaah huyu mwanaume anamoyo wa chumaBilashaka patakua pameoza kabisa aiseeeeee