Ushauri: Mke wangu mchafu

Ushauri: Mke wangu mchafu

Wakuu nnamachungu sana nataman kuondoka daah sjui nfanyaje na nkimfokea tu anampgia cm MAMA ake japo MAMA ake ni mtu mwema sana kwangu
Picha ninayoipata hapa ni kwamba nyinyi wote vijana, mke anatoka familia yenye uwezo hivyo kazoea kufuliwa na chupi, na kupika je? Mtu anafikia kukushtaki kwa mama yake, yawezekana hamkupitia njia zote za ndoa. Je alipata muda wa kufundwa kabla ya harusi na labda shangazi au ndugu wa karibu? Je kazini kwake ana cheo au ni mtu wa kawaida? Nina maswali mengi kuliko msaada. Pole.
 
Aisee huyo mwanamke balaa....uchafu hauvumiliki nafikiria jinsi mnavyoishi watoto je si watakuwa wachafu kila dizaini khaaa....zungumza naye kuhusu jambo hilo haraka sana kama hakuelewi mwambie unamrudisha kwao mpka atakapojirekebisha
 
Kama ni hivyo.....
Huyo hata wazazi wake waliyajua hayo, na ulipo jitokeza kumuoa..... Ama kwa hakika wazazi walipumua
Hahahaaha unaoa mwanamke hadi wazazi wanamshangaa na kumsikitikia mwooaji.......kwa uchafu huo ningekuwa nisharudisha kwao nikileta uzi hapa anakuwa kwao kwa mafunzo
 
Mkuu inabidi um'badilikie kwelikweli na ikiwezekana mtie vibao kidogo maana umemfuga mwenyewe ikiwa mwanzo hakua hivyo, acha upole, na pia mtishie kumwachisha kazi kama hutakua msafi, labda yaonekana kazi anayofanya inamfanya akose mda
 
Kama umeoa kwa ndoa... Nenda kwa wasimamiz wenu wa ndoa... Kama bado nenda kwa mama yake
 
Pole sana Kijana, Ongea na mwenzio vizuri, mueleze ni jinsi gani unakereka na tabia yake ya uchafu na uone response yake ikoje, tumia lugha nzuri, epuka ugomvi. Mpe muda wa kujirekebisha na ajue kuwa uko serious katika hilo,Na muhakikishie kuwa hili jambo linakukera asipobadilika linaweza kuathiri ndoa na kuwa utanii katika hilo.
Uchafu ukizidi ni balaa, lakini pia hata usafi ukizidi nao ni usumbufu.
 
Pole sana inasikitisha,ndio mkeo huyo na uchafu sio sababu inayokubalika kumuacha,kwahiyo nendeni hivyo hivyo.
 
hahahhaahahaa.... ushauri wangu mgumu kdg.....dawa yake ni kuchepuka tuu....atanyooka huyooo
 
Mpk nasisimka huyo ni zaidi ya mchafu pole sana ndio mkeo muelimishe tu kuhusu usafi au ata kushaurika pia hataki
 
ndugu,wengi sana tunayo madhaifu ya wake zetu na wao wanayo ya kwetu, jitahidi uwe na uwezo wa kuficha mapungufu ya mwenza wako ata kama unatumia id fake maana ni aibu.simama kama mwanaume ndani ya nyumba na usimuogope mwambie ukweli abadilike,kama hataki (kiburi ) chukua hatua nyingine. ata ikiwezekana toka njia kuu (kama mazuri vile)

apo penye msisitizo ni maanake upige tuuu..usitishwe na vijana wa kileo hawa ooh atakimbia ooh ana haki zake..huyo ni mkeo akipinda utachekwa wewe kwakushindwa kumnyoosha..
Angalizo : kabla ya kupiga ji evaluate sana tena saana nguvu yenu ya pamoja, matatizo yalipofika kikomo, usikivu wake, maneno yako, mahaba yako, uwezeshaji wako nk....
na isiwe on randomly basis..piga once ashike adabu yake..jiandae unapiga unauguza unamwambia hatoki mtu mpaka wote mpone..apone makovu, wewe upone uchungu wa mke...
chukua likizo,,afu siku nzuri ya kipondo ni ijumaa..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom