Ushauri: Mke wangu mchafu

Ushauri: Mke wangu mchafu

Yaani simple simple anakwambia 'sina muda' na wewe unamuangalia
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Pole sana, sasa si umwambie huyo mama yake aseme naye!
 
Huyo ana uchafu wa asili..alaf mbaya zaid anajiendekeza..what a shame!!!
 
Mwanaume kujipa majukumu ya mwanamke kwa kutaka uonekane unampenda ni tatizo. Kama mwanamke hafanyi usafi wa chumbani kwake hata kimwili atakuwa ni mchafu, haogi wala kufua nguo zake za ndani. Kwanza ni kabila gani huyo mkeo?
 
Au ni mja mzito mkuu, usipaniki jaribu kufuatilia.
Je mna watoto?
Maana hii ni hatari sana.
 
Mmmmh hapana aisee... huyo mtu rudisha kwao... mpk ajirekebishe... !!!!
 
Noma sana mshikaji kumponda wife wako. Sikutazamia uje kujiexpose kihivyo bhana. Mi nimekufahamu, je wife wako akiona hii habari itakuwa vipi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom