Ushauri: Mama mkwe kaniambia nimpe mwanae talaka

Ushauri: Mama mkwe kaniambia nimpe mwanae talaka

Mpe talaka yake vinginevyo soon utavalishwa nepi na ulemavu wa kudumu
 
Mwenyewe nilishangaa sana mama mkwe kuniambia eti nitafute utaratibu wa tutoa talaka nimpe mwanae. Nikamwambia mama wewe ndio unadai nikupe talaka au mwanao akajibu nimeshakuchoka mpe talaka yake! Nikamjibu sawa nikakata simu yake!

Unamoyo sana Mkuu!! Yaani mimi nisingejiuliza mara mbili!! sitaki shida, hii ni moja ya sababu wanaume wengi wa kitanzania wanafariki mapema sababu wanaanza ku accumulate ma kisukari, ma presha mapema!! Enjoy your life mkuu achana na matatizo Umezaliwa peke yako kwanini mtu mwingine mmekutana huko aanze kukupa headache!!
Life is too short broo to live on!! Be happy Enjoy your life Bila kusahau Kumshukuru Mungu kwa kila Jambo!!
 
Mama mkwe wangu ameniambia nimpe mwanae talaka yake!Kiufupi nilishaleta uzi wa swaala langu hapo nyuma.

Mke wangu alikua ananifitisha na familia yake hadi ikawa pande mbili za wazazi hazielewani.

Kwa ubusara nikaona nirudishe kwao akapumzike kidogo. Chakushangaza leo mama mkwe ananipigia simu nakuniambia kwa hasira na maneno makali sana nimpe mwanae talaka yake.

"Nikamuuliza mama unadai talaka wewe au mwanao?" Akanijibu ndio nimeshakuambia!

Na huyo mwanae akadakia ndio nataka talaka yangu! Sasa nikabaki njia panda ni kipi kiaendelea hadi saivi na kipi nikifanye?

NAOMBENI USHAURI
Ni wa Zaramo version?
 
MMEJENGA NYUMBA??
MNAASETI KUBWA?
MMEFUNGA NDOA?

SASA BASI KAMA HAYO YOYE UKO NAYO FANYA KUNYAMAZA KMYA NAKUTOMJALI NA MBROCK TU KWENYE SIMU ZAKO LAKIN HUKU UKIMCHUNZA MPAKA UMPATE ANAKIJAMAAA
UTAPATA NAFASI YA KUMPA TARAKA VIZURI KINDOA
LAKIN KAMA UMRI WAKO HUJAFIKA 40 Mpe tu taraka afu mgawane mali ikiwa mlifunga ndoa anza upya Maana Aman ndo furaha na furaha ndo chanzo cha kutafuta mali
 
Chukua Mrembo mwingine weka ndani kisha kata mawasiliano na huyo mama mtoto wako.
 
We hebu funguka!, mtu hawezi kudai talaka from no where!, Hebu weka maelezo hapa nini kilitokea hadi mama na binti wote kudai talaka. Ili watu wakupe ushauri ni vema ikawajuza chanzo cha tatizo kabla kulalama tu kwamba mama mkwe anadai talaka. Wao sio wenda wazimu hadi kudai talaka, tena kwa njia ya simu
 
Mama mkwe wangu ameniambia nimpe mwanae talaka yake!Kiufupi nilishaleta uzi wa swaala langu hapo nyuma.

Mke wangu alikua ananifitisha na familia yake hadi ikawa pande mbili za wazazi hazielewani.

Kwa ubusara nikaona nirudishe kwao akapumzike kidogo. Chakushangaza leo mama mkwe ananipigia simu nakuniambia kwa hasira na maneno makali sana nimpe mwanae talaka yake.

"Nikamuuliza mama unadai talaka wewe au mwanao?" Akanijibu ndio nimeshakuambia!

Na huyo mwanae akadakia ndio nataka talaka yangu! Sasa nikabaki njia panda ni kipi kiaendelea hadi saivi na kipi nikifanye?

NAOMBENI USHAURI
HUna karatasi au peni? Njo nikuazime. Wakishaazimiaga, huwa hawarudi nyuma hao. MPE
 
It's a tough world out there huh!

Ila aidha hii tabia ya mkeo na wazazi wake uliifahamu kabla ukaifumbia macho na sasa imerudi kuku-haunt AMA kuna ambalo hutuambii kuhusu wewe!

Kwa vyovyote vile, hata kama utatoa talaka ama la, jipe muda kwanza bila kuwasiliana na yeyote. Kaa peke yako fanya mambo yako walau kwa wiki moja tu huku unapopata muda unatafakari juu ya maisha yako na furaha yako. Wewe ndiye mtatuzi mkubwa wa matatizo yako, ila LAZIMA ujipe muda kutafakari. Chukua muda mrefu upendavyo..jiulize, jijibu, jikosoe, jipongeze, mwishoni utapata mustakabali naamini..usiogope kuwaza peke yako!

Yani utakapoamua hivyo hata JF usiingie kusoma ushauri huku, usimuhadithie rafiki yako, wala mshenga maana hayo yote mpaka sasa umeshayasikia...sasa tafakari peke yako! Alone....

Kila la kheri mkuu.
 
Dada zamda nilichokiona tangu awali nikwamba wazazi wake wote wawili ndio wako nyuma ya mtoto wao na visa vngi amenifanyia hadi kufikia mimì kumpeleka kwao ni kwamba alikataa hadi kwenda kwetu likizo decmber mwakajana. Mama ya baba yake wamekua chanzo cha hili 100%
acha ubwege wewe, tawanya karatasi hizo.
 
It's a tough world out there huh!

Ila aidha hii tabia ya mkeo na wazazi wake uliifahamu kabla ukaifumbia macho na sasa imerudi kuku-haunt AMA kuna ambalo hutuambii kuhusu wewe!

Kwa vyovyote vile, hata kama utatoa talaka ama la, jipe muda kwanza bila kuwasiliana na yeyote. Kaa peke yako fanya mambo yako walau kwa wiki moja tu huku unapopata muda unatafakari juu ya maisha yako na furaha yako. Wewe ndiye mtatuzi mkubwa wa matatizo yako, ila LAZIMA ujipe muda kutafakari. Chukua muda mrefu upendavyo..jiulize, jijibu, jikosoe, jipongeze, mwishoni utapata mustakabali naamini..usiogope kuwaza peke yako!

Yani utakapoamua hivyo hata JF usiingie kusoma ushauri huku, usimuhadithie rafiki yako, wala mshenga maana hayo yote mpaka sasa umeshayasikia...sasa tafakari peke yako! Alone....

Kila la kheri mkuu.
Plus asome pia vitabu vya Mungu
 
Pole sana,lakini humu ndani tutakushauri vingi,ukweli hasa unaujua wewe....Moyo wako unasemaje,je umemchoka kiasi cha kumuacha aende au la!Mfate mkeo huko aliko bila ya yeye kujua,mchunguze,ukiona hana pilika muite na umsikie kauli yake ya mwisho uso kwa uso,tena mwambie aje na mtoto...

Kama ni mwanamke kweli na anajua maana ya ndoa basi atarudi,na kama umemkosea basi usione aibu kumuomba radhi mkeo na kukubali kosa....

Kama ameshindikana zaidi na mbishi wa moyo basi muache kama anavyotaka!!ukiwa king'ang'anizi sana utaambulia umauti na maradhi..

swali au Sali kwa imani yako,ongea na mungu akuonyeshe usiyoyaona....
431551.jpg


Na hii ndio avatar yake, Kwisha habari huyu.
 
Dah! Inauma sana mshikaji wangu asikwambie mtu kumuacha mke tena wa ndoa;

Sijafanikiwa kuoa ila najaribu kuvuta picha ningekuwa mimi camera haisomi kabisa.
Mbaya zaidi wewe mwenyewe ndiyo kwake umefika. Pole sana.

Kuna wadada wengine wanakuja kujaribu maisha ya ndoa tu, yaani wanakuwa hawajiamini kama wataweza kuilea ndoa yao.
Usiombe kukutana na mke wa hiviyo.

Mpe halali yake anayoidai, hakuna jinsi nyingine brother japo moyo unakuuma mno.

Ulimwengu mama, utamlea apendavyo yeye.
 
MPE talaka yake huyo ashaamua iwe hivyo harudi nyuma
 
mpe talaka mpaka mama yake na ukoo wake wote pia!
 
Mama mkwe wangu ameniambia nimpe mwanae talaka yake!Kiufupi nilishaleta uzi wa swaala langu hapo nyuma.

Mke wangu alikua ananifitisha na familia yake hadi ikawa pande mbili za wazazi hazielewani.

Kwa ubusara nikaona nirudishe kwao akapumzike kidogo. Chakushangaza leo mama mkwe ananipigia simu nakuniambia kwa hasira na maneno makali sana nimpe mwanae talaka yake.

"Nikamuuliza mama unadai talaka wewe au mwanao?" Akanijibu ndio nimeshakuambia!

Na huyo mwanae akadakia ndio nataka talaka yangu! Sasa nikabaki njia panda ni kipi kiaendelea hadi saivi na kipi nikifanye?

NAOMBENI USHAURI

Mwambie akaombe mahakamani
 
KWENYE SAFARI NDEFU YA MIGUU HATA CHUPA YA MAJI HUGEUKA KUWA MZIGO MKUU

so kama wataka kufikwa na zaidi ya hayo
wewe endelea kuyaruhusu ya bishe hodi
 
Back
Top Bottom