Kwanza mama mkwe kuongea na wewe ni vibaya sana
Unaanzaje kuwa na ukaribu hivyo na mama
Umeoa kwao lazima mama mkwe akupe heshima kubwa sana kama sio kukuogopa.
Nilitaka kukuambia mwendee baba yake lakini kuna sehemu tena umesema wote lao moja
Lakini kuna kitu kinajificha hapo hutaki kuweka wazi, mapungufu yako mpaka wazazi wake wote hawakutaki.
Kama unajua huna kosa ila ni wao basi hiyo familia sio nzuri kwako.
Lakini mpaka na baba mkwe kuwa upande wa binti yake hapo una tatizo wewe.
Nasema hivyo kwa sababu always mtoto anapoolewa huwa ni faraja kwa mzazi pindi msichana anapoondoka nyumbani, sasa baba gani anaefurahia mtoto kwenda tena kumkalia nyumbani na aanze tena kumchunga? Na pressure juu
Ngoja nitulie tu mimi mzee