MAMA POROJO
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 4,974
- 793
Chadema wamemkamata Askofu Mkuu SHOO ambaye zipo taarifa za uhakika kapewa fungu/fedha na chadema ambazo kazitumia kuwanunua baadhi ya maaskofu ili waunge mkono waraka ambao hauna baraka za maaskofu woteKweli cdm inanguvu kuishawishi taasisi kama kkkt basi chama kinanguvu