Ushauri: Malasusa atimuliwe KKKT kutengwa pekee hakutoshi

Askofu Shoo agombee Urais 2020 kupitia CHADEMA Ili KKKT itimize azma yake ya kutaka Rais atoke KKKT
 
Unasema afukuzwe kwa sababu kasema ukweli kuhusu uchafu na uozo unaondelea chini ya uongoz wa jiwe?au kwa sababu gani?
Sababu analigawa kanisa kwa kulazimisha matakwa yake binafsi na mahaba yake kwa chagadema , kulazimisha waraka wa kisiasa usomwe madhabahuni.
 
JE unasemaje kwa yule aliesema wananchi wanaoishi pembeni ya kiwanja cha ndege mwanza wasibomolewe nyumba zao kwa sababu walimpa kura nyingi yeye alikuwa haligawi taifa?tatizo ni ubovu wa elimu uliyoipata chini ya uongozi wa hicho chama unachojidai unakijua sana na kukitetea.
 
Wewe elimu yako umeipatia wapi?
 
Mtu yeyote anayesaliti msimamo wa wenzake kwenye kikundi chochote hata kama ni maskani ya kunywa kahawa hastahili kunyamaziwa ama kutengwa pekee , anatakiwa kutimuliwa ndani ya kikundi hicho

Pamoja na ukweli kwamba Mungu amewaasa wanadamu kuwa na moyo wa kusamehe , LAKINI HAKUNA MAANDIKO YOYOTE KWENYE BIBLIA YANAYOMUAGIZA MWANADAMU KUMSAMEHE SHETANI , ndani ya maandiko matakatifu kumeelezwa ukubwa wa dhambi ya usaliti , hakuna msamaha na laana hii inatembea mpaka kwenye kizazi cha 4 , huwakumba hata wasiohusika , Mungu aliweka adhabu hii makusudi ili kukomesha wanadamu wenye tabia hii.

Ukiacha msaliti ndani ya Kanisa ni sawa na kulisha kanisa usaliti wake

Mungu ibariki KKKT
Kimsingi he has been given the boot, lakini kama ilivyo kwa rafiki zake Sizonje na Bashite, amepewa nafasi ya kutubu...sasa katika Jude 1 tunasoma hakuna Msamaha kwa waikataao Toba....again like Sizonje and Bashite, he is a dead man walking!
 
" Hakuna msamaha kwa waikataao toba " andiko kuntu sana .
 
Mtu yeyote anayesaliti msimamo wa wenzake kwenye kikundi chochote hata kama ni maskani ya kunywa kahawa hastahili kunyamaziwa ama kutengwa pekee , anatakiwa kutimuliwa ndani ya kikundi hicho

Pamoja na ukweli kwamba Mungu amewaasa wanadamu kuwa na moyo wa kusamehe , LAKINI HAKUNA MAANDIKO YOYOTE KWENYE BIBLIA YANAYOMUAGIZA MWANADAMU KUMSAMEHE SHETANI , ndani ya maandiko matakatifu kumeelezwa ukubwa wa dhambi ya usaliti , hakuna msamaha na laana hii inatembea mpaka kwenye kizazi cha 4 , huwakumba hata wasiohusika , Mungu aliweka adhabu hii makusudi ili kukomesha wanadamu wenye tabia hii.

Ukiacha msaliti ndani ya Kanisa ni sawa na kulisha kanisa usaliti wake

Mungu ibariki KKKT
Asamehewe tu kwa kuwa amevishindwa vita vya IMANI,sisi tusonge mbele tukivipiga vita vile vizuri vya IMANI,Bwana Yesu atatushindia.
 
Kuna kundi la vijana limeandaliwa kumshambulia malasusa na kumsafisha Shoo ambaye katumwa na mbowe kuligawa kanisa kwa maslahi binafsi ya kisiasa
Wewe kweli ni porojo!..hivi mnajua kuwa mnapandikiza mbegu mbaya..na kutokana na comment zenu serikali hii ya mzee baba inazidi kuchukiwa na wananchi wa kawaida?..kweli mmeshajitoa ufahamu na kushabikia upumbavu!..Kkkt..ni watu makini na wanajua wanachokifanya..ule waraka ni wa kitume..na ndio maana walifunga kwanza!..wasaliti kama kina malasusa ni lazima watengwe!
 
amesaliti waraka wa baraza la maaskofu baada ya kuhongwa .
Nahisi maamuzi kama haya yanahitaji kanisa kama Katoliki ambalo lina central command. Kanisa linapoanza kukosoana ni kuondoa ufahamu wa Mungu vichwani mwao. Haya mengine yanayoendeshwa kwa demokrasia ya wengi wanasemaje, ni tatizo. Kuna wakati wengi wansema hivi kumbe wachache wako sahihi.
 
Kabla hajakimbia na mali za kanisa achukuliwe hatua mapema , majuto ni mjukuu .
 
Nahisi maamuzi kama haya yanahitaji kanisa kama Katoliki ambalo lina central command. Kanisa linapoanza kukosoana ni kuondoa ufahamu wa Mungu vichwani mwao. Haya mengine yanayoendeshwa kwa demokrasia ya wengi wanasemaje, ni tatizo. Kuna wakati wengi wansema hivi kumbe wachache wako sahihi.
usaliti ni laana , mbona alikuwa na nafasi ya kuupinga ndani ya baraza na hakufanya hivyo ? kama anakaa kwenye nyumba ya kanisa anatakiwa kutupiwa vigodoro vyake nje haraka sana
 
Mtu yeyote anayesaliti msimamo wa wenzake kwenye kikundi chochote hata kama ni maskani ya kunywa kahawa hastahili kunyamaziwa ama kutengwa pekee , anatakiwa kutimuliwa ndani ya kikundi hicho
Nioneshe kifungu cha biblia kinachosisitizwa kiongozi wa dini kutengwa akikataa kusoma waraka wa shoo
 
Mtu yeyote anayesaliti msimamo wa wenzake kwenye kikundi chochote hata kama ni maskani ya kunywa kahawa hastahili kunyamaziwa ama kutengwa pekee , anatakiwa kutimuliwa ndani ya kikundi hicho

Pamoja na ukweli kwamba Mungu amewaasa wanadamu kuwa na moyo wa kusamehe , LAKINI HAKUNA MAANDIKO YOYOTE KWENYE BIBLIA YANAYOMUAGIZA MWANADAMU KUMSAMEHE SHETANI , ndani ya maandiko matakatifu kumeelezwa ukubwa wa dhambi ya usaliti , hakuna msamaha na laana hii inatembea mpaka kwenye kizazi cha 4 , huwakumba hata wasiohusika , Mungu aliweka adhabu hii makusudi ili kukomesha wanadamu wenye tabia hii.

Ukiacha msaliti ndani ya Kanisa ni sawa na kulisha kanisa usaliti wake

Mungu ibariki KKKT
wakristo toka Sunday school tumefundishwa kusamehe; na huu ndiyo ukristo. Kama akitubu atasamehewa tu.
 
Back
Top Bottom