Ushauri: Malasusa atimuliwe KKKT kutengwa pekee hakutoshi

Hi ni kwanini suala hili la kanisa linajadiliwa kwenye Jukwaa la Siasa badala ya jukwaa la Dini. Kuna kitu gani kimejificha nyuma ya hili jambo...
 
Mtu yeyote anayesaliti msimamo wa wenzake kwenye kikundi chochote hata kama ni maskani ya kunywa kahawa hastahili kunyamaziwa ama kutengwa pekee , anatakiwa kutimuliwa ndani ya kikundi hicho

Pamoja na ukweli kwamba Mungu amewaasa wanadamu kuwa na moyo wa kusamehe , LAKINI HAKUNA MAANDIKO YOYOTE KWENYE BIBLIA YANAYOMUAGIZA MWANADAMU KUMSAMEHE SHETANI , ndani ya maandiko matakatifu kumeelezwa ukubwa wa dhambi ya usaliti , hakuna msamaha na laana hii inatembea mpaka kwenye kizazi cha 4 , huwakumba hata wasiohusika , Mungu aliweka adhabu hii makusudi ili kukomesha wanadamu wenye tabia hii.

Ukiacha msaliti ndani ya Kanisa ni sawa na kulisha kanisa usaliti wake

Mungu ibariki KKKT

Mkuu, ninaona ulivyoguswa na hili suala hadi unatamani upate nafasi ya kuweka maboresho kwenye Biblia.

Usijali. Biblia imeazungumzia habari ya kuwatenga wanaofanya dhambi ili baada ya mili yao kuadhibiwa roho zao ziokolewe. Wanatengwa ili wajifunze thamani ya uaminifu kwa Mungu, na wakishatubu, wanarudishwa. Baada ya akili zao kutiwa nuru.
 
KKKT so tu wanajivuruga bali wanavuruga nchi. RC& ISLAM wanawatazama na wanajua azma na nongwa mliyonayo.
 
Serikali inamkingia kifua kwa kuwa alikuwa akitimiza malengo yao

Ni kweli kila chama kinamkingia kifua mshabiki wake. Hata Chadema NA washabiki wake wanawakingia kifua, Padre Shoo NA wenzake leo ni viongozi mnaowapenda sana, kesho wakija kupinga myapendayo msije waita wasaliti, mnaake nyie Ndugu zetu hamkawii kuwasulubu watu wasiokuwa na msimamo wenu
 
Mtu yeyote anayesaliti msimamo wa wenzake kwenye kikundi chochote hata kama ni maskani ya kunywa kahawa hastahili kunyamaziwa ama kutengwa pekee , anatakiwa kutimuliwa ndani ya kikundi hicho

Pamoja na ukweli kwamba Mungu amewaasa wanadamu kuwa na moyo wa kusamehe , LAKINI HAKUNA MAANDIKO YOYOTE KWENYE BIBLIA YANAYOMUAGIZA MWANADAMU KUMSAMEHE SHETANI , ndani ya maandiko matakatifu kumeelezwa ukubwa wa dhambi ya usaliti , hakuna msamaha na laana hii inatembea mpaka kwenye kizazi cha 4 , huwakumba hata wasiohusika , Mungu aliweka adhabu hii makusudi ili kukomesha wanadamu wenye tabia hii.

Ukiacha msaliti ndani ya Kanisa ni sawa na kulisha kanisa usaliti wake

Mungu ibariki KKKT
Anza maelezo vizuri, mkuu. Naomba tufahamu amesaliti nini? Wengine hatuko Tz kwa sasa.
 
Mtu yeyote anayesaliti msimamo wa wenzake kwenye kikundi chochote hata kama ni maskani ya kunywa kahawa hastahili kunyamaziwa ama kutengwa pekee , anatakiwa kutimuliwa ndani ya kikundi hicho

Pamoja na ukweli kwamba Mungu amewaasa wanadamu kuwa na moyo wa kusamehe , LAKINI HAKUNA MAANDIKO YOYOTE KWENYE BIBLIA YANAYOMUAGIZA MWANADAMU KUMSAMEHE SHETANI , ndani ya maandiko matakatifu kumeelezwa ukubwa wa dhambi ya usaliti , hakuna msamaha na laana hii inatembea mpaka kwenye kizazi cha 4 , huwakumba hata wasiohusika , Mungu aliweka adhabu hii makusudi ili kukomesha wanadamu wenye tabia hii.

Ukiacha msaliti ndani ya Kanisa ni sawa na kulisha kanisa usaliti wake

Mungu ibariki KKKT
Haya maneno ya ushauri ungeyatoa kipindi kile Mweñyekiti wa kudumu Mbowe anamkaribisha Lowasa ingekuwa vema.
Mbowe alisaliti wenzake, Mbatia nae ametuka amekuwa expired.
 
Tatizo kubwa KKKT limetekwa na chadema na siasa. Kanisa linaongozwa na Askofu Shoo ni mchaga na Chadema kinaongozwa na mchaga Freeman Mbowe ambaye pia msharika au anasali KKKT Zaidi Edward Lowassa ni dhehebu hilo hilo KKKT. Katika uchaguzi wa 2015 Lowassa alikwenda KKKT kuwaomba wamchague kwa Sababu ni KKKT kipindi hicho Malasusa ndio alikuwa Askofu Mkuu kanisa hakutoa uzito wa kumsaidia na akashindwa. Kipindi anaondoka malasusa walihakikisha kiti cha Askofu Mkuu kinatakiwa na mchaga SHOO na matokeo yake ni kanisa kuanza kuchanganya siasa na dini kwa manufaa ya chadema.
 
Kuna kundi la vijana limeandaliwa kumshambulia malasusa na kumsafisha Shoo ambaye katumwa na mbowe kuligawa kanisa kwa maslahi binafsi ya kisiasa
 
Back
Top Bottom