Pius J. Kiwarya Lema
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 1,097
- 571
Naomba kutoa maoni yangu:
Kwanza haya mambo siyo jukwaa lake kujadili hapa labda kama kuna ajenda nyingine.
Pili hakuna taarifa rasmi ya mtu kutengwa zaidi ya magazeti yanayotafuta kuuza habari kwa kumchafua Maaskofu wetu na Kanisa letu Kwa ujumla.
Tatu Kwa mujibu wa Bibilia Barua ya kichungaji ikishatolewa na waangalizi(Maaskofu) kwa pamoja, lnasomwa kwa wahusika na baada ya hapo huwezi kuitetea au kuipinga.! Je ilisomwa.?
Nne.
Kila Mkrsto akishasomewa anatakiwa aseme Amina. Kama barua hiyo ni sauti ya Bwana Mungu wetu aliye hai Itajitetea na kujisimamia yenyewe katika Jina la Yesu Kristo. Jina lililo bora kuliko majina yote.
Tano:
Barua ya kichungaji Haihitaji kusaidiwa na uzushi kama huu unaotengenezwa wenye lengo ovu la kuondoa utulivu.
Uzushi una tabia moja ya kuacha hoja za msingi ambazo zimetajwa kwenye barua ile ya kichungaji iliyopigwa muhuri na Roho Mtakatifu;
√Mahitaji Katiba mpya √Uhuru wa kujieleza √Haki ya kuishi inalindwa pasipo kumkosea mtu heshima.
Sita:
Kanisa letu ni moja na Wapendwa wetu Wababa Askofu wa Dayosisi zote 26 za Kkkt akiwemo Dr Malasusa wako pamoja na siku zote mambo ya kiroho wanayashughulikia kiroho ;siyo hizi habari za kuungaunga kisiasa.
Saba:
Mwisho Kanisa letu ni Kanisa la Kiinjili Injili ni wokovu ,Hatuwezi kugawanywa Kwa sababu ya barua ya kichungaji.Isomwe isisowe sisi tunabaki wamoja na safari yetu ya kwenda Mbinguni .
Tunaendelea kuwaombea Maskofu wetu wote ili utume wao uwe la baraka.