Ushauri kwa vijana: Hakikisha ndani ya miaka hii 4 ya Rais Samia umekaa mahali sahihi. Mtanikumbuka

Samia atosha tukutane2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
17,169
Reaction score
48,681
Hello!
Sasa hivi kwenye sekta ya utalii fursa ziko wazi, kwenye sekta ya madini fursa ziko wazi, kwenye sekta karibu zote kuna fursa nyingi.

Kijana badala ya kushinda kwenye mitandao ya kijamii kusubiri post inayohusu serikali ukomenti negative tumia huu muda kuhakikisha aidha unaingia kwenye ajira ya serikali, ajira rasmi sekta binafsi au unakuwa na ofisi Yako ya kudumu yenye kukuingizia kipaeto cha uhakika kila siku.

Kama mna wadogo zenu wahamasisheni wasomee kozi fupi za uhandisi na udaktari, madini na zingine. Hii ni kwa familia za tia maji tia maji.

Lengo ni kwamba Samia akitoka akuache kwenye system, ukienda JKT kwa mujibu wa Sheria ingia JWTZ kabisa maana njia inakuwa nyeupe ukisema tarudi nikimaliza degree imekula kwako.

Kuna hatari 2030 atapatikana Rais mwenye sera za Magufuli. Uwezekano huu ni mkubwa sana.
Rais Magufuli ndani ya miaka yake yote ya uongozi hakuweza kuajiri watumishi wa umma angalau 5000. Hakuweza kabisa

Rais Magufuli ndani ya miaka yake yote ya uongozi aliweza kuua ajira rasmi sekta binafsi kwa wingi sana. Rais Magufuli aliweza kuua biashara na kampuni ndogo ndogo bila sababu za msingi. Nami nilikuwa mhanga.

Kijana soma hata kozi fupi uingie kwenye system mambo mengine yatakaa sawa mbele. Kuna mtu atakuja kufuta maono yote mazuri ya Samia na kusimamisha kila kitu eti anaanza upya.
Atakuja mtu na sera ya serikali ya viwanda lakini ndiye muuaji wa viwanda na mtamshangilia.

Umri haurudi nyuma, hebu nenda kwenye kioo angalia sura yako uone unavyozeeka mdogo mdogo.
 
Nchi haiwezi kuendeshwa kwa mtindo wa zimamoto, CCM mmeifanya nchi kama shamba la bibi kila mtawala anajifanyia anachojisikia.
 
Samuya ndiye rais too low kututawala na haitojirudia kosa milele!.
Sadly ndani ya ccm wale wenye nguvu hakuna mwenye wazo hili,wanachotaka wao ni apatikane dhaifu na mbovu hata zaidi ya huyu ili wao na wa karibu yao wanufaike zaidi.

Mtu kama mwigulu umwambie apatikane tofauti na huyu atakayefanya vetting ya kutosha ni nani atakayempa uwaziri mkuu?wakati huo huo anataka mwanae aje akae sehemu nzuri,ni shida kubwa.
 
Kwani unafikiri hao vijana hawataki hayo mema? Kuyapata hayo mema ndo imekuwa changamoto.

Uzi wako ungekuwa na maana kama ungetoa namna itakayo wawezesha kuyapata hayo mema.
 
Hello!
Sasa hivi kwenye sekta ya utalii fursa ziko wazi, kwenye sekta ya madini fursa ziko wazi, kwenye sekta karibu zote kuna fursa nyingi.

Kijana badala ya kushinda kwenye mitandao ya kijamii kusubiri post inayohusu serikali ukomenti negative tumia huu muda kuhakikisha aidha unaingia kwenye ajira ya serikali, ajira rasmi sekta binafsi au unakuwa na ofisi Yako ya kudumu yenye kukuingizia kipaeto cha uhakika kila siku.

Kama mna wadogo zenu wahamasisheni wasomee kozi fupi za uhandisi na udaktari, madini na zingine. Hii ni kwa familia za tia maji tia maji.

Lengo ni kwamba Samia akitoka akuache kwenye system, ukienda JKT kwa mujibu wa Sheria ingia JWTZ kabisa maana njia inakuwa nyeupe ukisema tarudi nikimaliza degree imekula kwako.

Kuna hatari 2030 atapatikana Rais mwenye sera za Magufuli. Uwezekano huu ni mkubwa sana.
Rais Magufuli ndani ya miaka yake yote ya uongozi hakuweza kuajiri watumishi wa umma angalau 5000. Hakuweza kabisa

Rais Magufuli ndani ya miaka yake yote ya uongozi aliweza kuua ajira rasmi sekta binafsi kwa wingi sana. Rais Magufuli aliweza kuua biashara na kampuni ndogo ndogo bila sababu za msingi. Nami nilikuwa mhanga.

Kijana soma hata kozi fupi uingie kwenye system mambo mengine yatakaa sawa mbele. Kuna mtu atakuja kufuta maono yote mazuri ya Samia na kusimamisha kila kitu eti anaanza upya.
Atakuja mtu na sera ya serikali ya viwanda lakini ndiye muuaji wa viwanda na mtamshangilia.

Umri haurudi nyuma, hebu nenda kwenye kioo angalia sura yako uone unavyozeeka mdogo mdogo.
1. Magufuli alikuwa sahihi sana kutokuajiri kwa sababu watu wengi hawafanyi kazi ni uzembe tu maofisini, mbona kazi hazikusimama? kihalali inatakiwa wafanyakazi zaidi ya laki 2 wastaafishwe serikalini hawana kazi, mfano afisa misitu ilala ana kazi gani? afisa umwagiliaji temeke ilala kuna miradi gani? afisa nyuki? ubungo ina maafisa mifugo 28 hawa wanafanya kazi gani?

2. Bishara za wahuni ndo zilikufa biashara halali hazikufa ila hela za hovyo hovyo ndo zilipungua
 
HATA MAKANISANI CHA MTEMA KUNI WALIKIONA VIBAYA MNOOO...

SADAKA ZILIZOADIMIKAAA
 
Hello!
Sasa hivi kwenye sekta ya utalii fursa ziko wazi, kwenye sekta ya madini fursa ziko wazi, kwenye sekta karibu zote kuna fursa nyingi.

Kijana badala ya kushinda kwenye mitandao ya kijamii kusubiri post inayohusu serikali ukomenti negative tumia huu muda kuhakikisha aidha unaingia kwenye ajira ya serikali, ajira rasmi sekta binafsi au unakuwa na ofisi Yako ya kudumu yenye kukuingizia kipaeto cha uhakika kila siku.

Kama mna wadogo zenu wahamasisheni wasomee kozi fupi za uhandisi na udaktari, madini na zingine. Hii ni kwa familia za tia maji tia maji.

Lengo ni kwamba Samia akitoka akuache kwenye system, ukienda JKT kwa mujibu wa Sheria ingia JWTZ kabisa maana njia inakuwa nyeupe ukisema tarudi nikimaliza degree imekula kwako.

Kuna hatari 2030 atapatikana Rais mwenye sera za Magufuli. Uwezekano huu ni mkubwa sana.
Rais Magufuli ndani ya miaka yake yote ya uongozi hakuweza kuajiri watumishi wa umma angalau 5000. Hakuweza kabisa

Rais Magufuli ndani ya miaka yake yote ya uongozi aliweza kuua ajira rasmi sekta binafsi kwa wingi sana. Rais Magufuli aliweza kuua biashara na kampuni ndogo ndogo bila sababu za msingi. Nami nilikuwa mhanga.

Kijana soma hata kozi fupi uingie kwenye system mambo mengine yatakaa sawa mbele. Kuna mtu atakuja kufuta maono yote mazuri ya Samia na kusimamisha kila kitu eti anaanza upya.
Atakuja mtu na sera ya serikali ya viwanda lakini ndiye muuaji wa viwanda na mtamshangilia.

Umri haurudi nyuma, hebu nenda kwenye kioo angalia sura yako uone unavyozeeka mdogo mdogo.
Hatutegemeia hisani ya rais yoyote bali juhudi zetu. Nyie machawa ndio inabidi mtafute sehemu ya kujibanza maana mnategemea zaidi hisani za viongozi.
 
Back
Top Bottom