Nyakati kama hiziz kujikwamua kiuchumi kwa maendeleo ya taifa ni muhimu sana kwa kila mwananchi kuunga mkono juhudi hizi zinazochukuliwa na Mh Rais Samia na serikali yake.
Hivyo natoa wito kwa kila mwananchi mzalendo kuunga mkono juhudi hizi za kujikomboa kama taifa dhidi ya mgogoro wa kiuchumi unaoliandama sio tu afrika bali dunia nzima kutokana na majanga ya Uviko-19 na vita ya Urusi huko Ukraine.
Mtu anayepinga Tozo na Kodi maana yake anapinga Serikali isijenge vituo vya afya na kuboresha huduma za Mama na watoto.
Mtu anayepinga tozo na kodi maana yake anapinga serikali isijenge miundo mbinu ya barabara madaraja na majengo.
Ukipinga tozo na kodi maana yake unapinga serikali isikusanye mapato kwa ajiri ya mishahara ya watumishi, malipo ya huduma mbali mbali kwa wananchi maskini ikiwemo pension kwa wazee.
Mimi naishauri serikali kuendelea kutoa elimu juu ya umuhimu wa tozo na kodi ili iweze kupokelewa vyema na wananchi woote na yule atakayw rudisha nyuma harakati hizi basi achukuliwe hatua stahiki.
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kazi iendeleee