Kofianyeupe
Member
- Mar 8, 2020
- 95
- 94
Wivu tuu. Ulikimbia mwenyewe shule. Wenzako walikomaa sasa wanaishi maisha mazuri kuliko ya kwako. Roho mbayaaaa.Naunga mkono hoja! Watumishi wote wapunguzwe mshahara kwa asilimia 25% ili hiyo 25% iende kwenye maendeleo.
Sisi wananchi hatuna shida sana na mshahara kwa kuwa mahitaji ya msingi ni chakula tu ambacho awamu hii kimeshuka sana bei.
Watanzania tujitolee kufunga mkanda ili nchi yetu ipate maendeleo kwa haraka kama Mh rais anavyotuasa.
Au nakosea wazalendo wenzangu? 😊