Arien
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 11,245
- 11,741
Kwa kweli hamna namnaHawa ni wa kuombewa tu, wafunguliwe bongo zao kwa kweli
Kwa kweli hamna namnaHawa ni wa kuombewa tu, wafunguliwe bongo zao kwa kweli
Hongera "mzarendo ",mimi beberu 😂😂😂Naunga mkono hoja! Watumishi wote wapunguzwe mshahara kwa asilimia 25% ili hiyo 25% iende kwenye maendeleo.
Sisi wananchi hatuna shida sana na mshahara kwa kuwa mahitaji ya msingi ni chakula tu ambacho awamu hii kimeshuka sana bei.
Watanzania tujitolee kufunga mkanda ili nchi yetu ipate maendeleo kwa haraka kama Mh rais anavyotuasa.
Au nakosea wazalendo wenzangu? 😊
HahahaWapo watumishi wa Serikali pamoja na viongozi wa kisiasa wanalipwa mishahara mikubwa Sana.
Wapo wanaolipwa mpaka Laki nane, Tisa, milioni 2, 3, 4, 5, 10, 20 n.k kwa mwezi kiasi kwamba Hata ikikatwa na kuwa nusu yake bado kitakuwa Ni kiwango stahiki kitakachokidhi mahitaji Yao ya msingi na fedha zilizobaki zitaelekezwa kwenye miradi ya maendeleo.
Nyinyi mabeberu tunawaheshimu sana na tunawapenda sana.Hongera "mzarendo ",mimi beberu 😂😂😂
Mkuu kwa nini usipendekeze wafanya kazi wote wapewe allowance tu.Wapo watumishi wa Serikali pamoja na viongozi wa kisiasa wanalipwa mishahara mikubwa Sana. Wapo wanaolipwa mpaka Laki nane, Tisa, milioni 2, 3, 4, 5, 10, 20 n.k kwa mwezi kiasi kwamba Hata ikikatwa na kuwa nusu yake bado kitakuwa Ni kiwango stahiki kitakachokidhi mahitaji Yao ya msingi na fedha zilizobaki zitaelekezwa kwenye miradi ya maendeleo.
We unaona je mkuu?Kuvurugwa kupo kwa aina nyingi!!!Tusivurugwe kwa aina hii!
Kichaaa cha uchumi wa kati 😂Wapo watumishi wa Serikali pamoja na viongozi wa kisiasa wanalipwa mishahara mikubwa Sana.
Wapo wanaolipwa mpaka Laki nane, Tisa, milioni 2, 3, 4, 5, 10, 20 n.k kwa mwezi kiasi kwamba Hata ikikatwa na kuwa nusu yake bado kitakuwa Ni kiwango stahiki kitakachokidhi mahitaji Yao ya msingi na fedha zilizobaki zitaelekezwa kwenye miradi ya maendeleo.
Sawa, umesahau kuweka no za simu mkuuWapo watumishi wa Serikali pamoja na viongozi wa kisiasa wanalipwa mishahara mikubwa Sana.
Wapo wanaolipwa mpaka Laki nane, Tisa, milioni 2, 3, 4, 5, 10, 20 n.k kwa mwezi kiasi kwamba Hata ikikatwa na kuwa nusu yake bado kitakuwa Ni kiwango stahiki kitakachokidhi mahitaji Yao ya msingi na fedha zilizobaki zitaelekezwa kwenye miradi ya maendeleo.
Hao walimu ndiyo huwa wanapambana CCM ibaki madarakaniWanaolipwa nyingi mfano wa kwenye mataasisi
Ila sio walimu wetu
Kwa ushauri wangu watalaam wanasema utajiri unapatikana ardhini. Hivyo ili tuweze kuwa matajiri ni Bora tungejikita kwenye effective utilization of our resources. Kuna vitu viwili efficiency and equity. Wewe uliyo izungumzia ni equity ambapo unataka serikali ijikite kuwa na mgawanyo sawia wa mapato tuliyo nayo ili tuweze kupata fedha za kuendeshea nchi. Hivyo ilikupata mgawanyo huo mbinu mojawapo ndio hiyo ya kupunguza mishahara, ili pesa zitakazo punguzwa huko ziende kwenye miradi. Mimi nakuja hapa kwenye effeciency kwamba Mimi naiomba serikali badala ya kupunguza mishahara ni bora tutumie sera ya kutumia rasimali zetu kwa ufanisi ili kuziongezea thamani. Tuna gesi tuiongezee thamani ili ituletee fedha nyingi zaidi ndio ziende kwenye miradi. Tutafute mafuta na madini ya kila aina na tuyaongezee thamani ili tukiyauza yatuletee pesa nyingi ndo ziende kwenye miradi.
Ulichokiandika ni kizuri Lakini haujatafiti kwa kina kujua kwa nini imakuwa hivyo. Hakuna mshahara mkubwa Tanzania.Wapo watumishi wa Serikali pamoja na viongozi wa kisiasa wanalipwa mishahara mikubwa Sana.
Wapo wanaolipwa mpaka Laki nane, Tisa, milioni 2, 3, 4, 5, 10, 20 n.k kwa mwezi kiasi kwamba Hata ikikatwa na kuwa nusu yake bado kitakuwa Ni kiwango stahiki kitakachokidhi mahitaji Yao ya msingi na fedha zilizobaki zitaelekezwa kwenye miradi ya maendeleo.
Uko sahihi mkuuNaunga mkono hoja! Watumishi wote wapunguzwe mshahara kwa asilimia 25% ili hiyo 25% iende kwenye maendeleo.
Sisi wananchi hatuna shida sana na mshahara kwa kuwa mahitaji ya msingi ni chakula tu ambacho awamu hii kimeshuka sana bei.
Watanzania tujitolee kufunga mkanda ili nchi yetu ipate maendeleo kwa haraka kama Mh rais anavyotuasa.
Au nakosea wazalendo wenzangu?
Uko sahihi mkuuNakubaliana nawe serikali kupunguza mishahara ya viongozi (wote wakisiasa na wasio wakisiasa) na watumishi wengine wanaopata nyingi 'husasani kwenye mataasisi'
Pia serikali ipunguze viwango 'rate' za posho (marupurupu)
Hizo huwa ni Siasa tu kwamba mtu ametolewa ng'ambo kuja kusaidia nchi. Siwezi kuamini kuwa hatuna wataalamu humu ndani hayo Ni mambo ya kupeana ulaji tu. Unataka kuniambia hakukuwa na watu wanaoweza kufanya zaidi ya alichokifanya Pro Muhongo? Kwanza ameletwa kuliibia taifa tuUlichokiandika ni kizuri Lakini haujatafiti kwa kina kujua kwa nini imakuwa hivyo. Hakuna mshahara mkubwa Tanzania.
Labda nikueleze tu wanaongoza kulipwa hizo hela ni wabobezi wa masuala mbalimbali ambao serikali ama imewatoa ng'ambo kwenye mamilioni ya dola na kuwaleta kwenye visenti. Kama akina Bilali makamu wa Rais mstaafu, Akina Shein, Prof Muongo na wengineo. Ukiona wanalipwa hela nyingi kaifanye wewe kazi ile wanayofanya au tafuta watu watakaoweza kuifanya kwa pesa kidogo.