Inside10
Platinum Member
- May 20, 2011
- 34,738
- 42,832
Hivi wewe mpumbaf mshiriki wa mauaji?!Wewe ni mpumbavu
Familia ya Ole Inajua ukweli wa kila jambo
Wewe tapeli Lema tulia.
Hivi wewe mpumbaf mshiriki wa mauaji?!Wewe ni mpumbavu
Familia ya Ole Inajua ukweli wa kila jambo
Wewe tapeli Lema tulia.
Huku akiwa mtu wa CCM?A
Alafu ana tatizo la Uraia
Naaam!Ni wewe ulinikumbusha maneno ya Mwalimu Nyerere hivi karibuni: "Aliye kula nyama ya mtu haachi"
Umeuliza swali rahisi sanaHivi wewe mpumbaf mshiriki wa mauaji?!
Huyu 'Gilbert' asipokuwa mmoja wao, itanishangaza.Mtakamatwa kama kuku, Shetani hana Rafiki Kajisahau sana.
Gilbert A Massawe alimlambisha mangi mwenzake sumuWa thadei ni yupi?! Hao wengine nawajua humu
N lazima waione ni nchi yao kwa sababu sisi wananchi ni wajinga na waoga. Mhalifu anawezaje kuishi mtaani kila siku na kuchanganyika na watu? Nchi nyingine huwezi kufanya hivi.kuna Watu wanaona nchi ni yao
Huyu mngese kumbe ni gaidi!?Gilbert A Massawe alimlambisha mangi mwenzake sumu
Tupicha
Anaitwa Gilbert Masawe.Wa thadei ni yupi?! Hao wengine nawajua humu
Vipi wameshamfikisha mahakamaniAfadhali.. Keshakamatwa?
Hawana uwezo wa kumfikisha popote. Lile ni genge maalum la utekajiVipi wameshamfikisha mahakamani
Inawezekana sio kwa ukmya huuHawana uwezo wa kumfikisha popote. Lile ni genge maalum la utekaji