Niliwahi kusema humu watekaji wamo pia.
Aliyemtishia Ben Saanane yumo humu.
Aliyemmaliza Thadei Ole Mushi yumo humu.
Na sasa hili genge la kumshambulia Kitima limo humu.
Kinachoshangaza ni hawa watekaji kuamini kila siku wataendelea hivyo hivyo bila kujulikana na pia siku zote wataendelea kupata immunity kutoka serikali ya CCM.
Huyu Frey siamini kama kakamatwa kweli kama wamemkamata polisi watuonyeshe picha na ukitaka kuona ni story za kubumba ni kuwa kachapisha hilp bandiko shambulizi la Kitima ni siku 2 mbele , polisi wakadai wanamshikilia mtu mwingine kabisa wa kuitwa Rahul.
Ghafla Bashungwa anaibuka anaagiza huyu Frey akamatwe.
Swali la kujiuliza zile screenshot watu walizoweka kwenye page ya polisi kule X , kuhusu bandiko la huyo kibaka polisi walikuwa hawazioni hadi siku 2 zipite ndio wakamkamate kwa agizo la Bashungwa?
Hapa ni mchezo wa policcm, hawa watekaji raia wanatakiwa kudeal nao ground tu sababu imani na polisi haipo tena.