Ushauri: Kazi ya aibu malengo hayatimii

Ushauri: Kazi ya aibu malengo hayatimii

Mkuu anakuletea elfu kumi kwa siku kwa mwaka pikipiki mali yake unanunua nyingine,zinakusaidia kupata pesa ya kula mshahara wako unafanyia mambo mengine....sorry pesa ya kununua pikipiki nyingine huwa unaitoa wapi?

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
Natoa kutoka kwenye mshahara,yaani ni sawasawa tu hela ya pikipiki ningeiweka halafu nikatumia asilimia fulani ya mshahara wangu kwa ajili ya kula hakuna utofauti.
Isipokuwa natumia hela ya pikipiki kula kwa ajili ya kujilimit matumizi kujibana nisitumie hela kwa vurugu
 
natoa kutoka kwenye mshahara,yaani ni sawasawa tu hela ya pikipiki ningeiweka halafu nikatumia asilimia fulani ya mshahara wangu kwa ajili ya kula hakuna utofauti.
Isipokuwa natumia hela ya pikipiki kula kwa ajili ya kujilimit matumizi kujibana nisitumie hela kwa vurugu
Basi huwezi kuwa sahihi kusema mshahara wako unafanyia mambo mengine maana yake ni kama ulimaanisha biashara inajizungusha yenyewe kwenye hiyo circle....ni kwamba unatoa pesa kwenye mshahara unanunua pikipiki nyingine....vipi uliwahi kukaa chini ukafanya hesabu ya pesa unayonunua pikipiki na unayoingiza kujua faida yako halisi kwa mwaka husika?
 
unasikia mkuu mimi sifanyi hii biashara kwa sababu ya kutajirika ila nafanya kwa lengo tu la kuulinda mshahara.

Yaani kitu ambacho sikipendi na kinaniuma sana ni kutumia mshahara kwa sababu ya kulisha tumbo,so mshahara wangu unakuwa na nafasi kubwa ya kufanyia maendeleo kama ujenzi na majukumu mengine.

Na mkataba unapoisha hainiumizi kichwa kununua nyingine maana nikijichanga mishahara yangu miwili tu nanunua pikipiki nyingine.
 
Mzee hakuna kazi za aibu..kinachotakiwa ni ziwe za halali.unapata mishe zinazokuingizia kipato alafu unazibeza...shame on you..nilidhani ungeomba msaada wa mawazo juu ya uboreshaji wa huduma yako katika eneola kazi ..hebu fungua kichwa fanya kazi kwa bidii upate thamani zaidi hata uwe na kacheo cha usimamizi .

Jitahidi shika mikasi ufyeke nyasi na kupanda maua at the end utakuwa na stadi nyingine..jipendekeze kwenye watu wa decor hapo hotelini...njia yako ya kufanikiwa ni pana sana hivyo basi tanua ubongo wako
 
Milioni 2 atanunua wapi???? Labda kimbiji uko porini.........au kama mjini auziwe uwanja kama kabuli moja tena la mtoto........unajua bei ya kiwanja wewe??
[emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji1787]
 
Usiidharau kazi,hiyo m3 umepata kwa ajili ya hiyo kazi, ungeendelea nayo wakati unaplan nini cha kufanya,ukiacha kazi ukibaki na huyo m3, utakuja kuleta mrejesho humu baada ya kuchapika
 
Basi huwezi kuwa sahihi kusema mshahara wako unafanyia mambo mengine maana yake ni kama ulimaanisha biashara inajizungusha yenyewe kwenye hiyo circle....ni kwamba unatoa pesa kwenye mshahara unanunua pikipiki nyingine....vipi uliwahi kukaa chini ukafanya hesabu ya pesa unayonunua pikipiki na unayoingiza kujua faida yako halisi kwa mwaka husika?
Hili swali zuri
 
kwasiku anapokea 10,000 ambayo kwa mwezi ni sawa na 300,000 ukizidisha x 12 = 3,600,000 na bei ya pikipiki mpk unaikalia juu BOXER ni 2,500,000 ukitoa unapata faida kwa mwaka mzima kapata 1,100,000.

Kumbuka hapo sijaweka bei ya service kubwa ambayo n jukumu la boss mwenye pikipiki,tufanye kwa mwaka mzima service ya pikipiki katumia 100,000 ukitoa kutoka kwenye ile faida yake ya 1,100,000 unapata baki ya

kwa mwaka mzima amenunua pikipiki ya 2.5M inayompa faida ya 1,000,000. ukigawa kwa siku 365 = 3,013 kwa siku,hii maana yake wanaofanya biashara ya pikipiki wakawapa madereva mikataba Faida yao kwa siku ni BUKU 3.

Buku 3 tukimaanisha ELFU 3 biashara yenye mtaji wa 2.5M 🙌 🙌,kuna biashara zinahitaji moyo sana mtu kuzifanya,biashara yakutoa faida 3,000 kwa siku hivi nikiwa na mtaji wa 100,000 siwezi pata kweli? tuongelee hii faida kwa siku 3,000Tsh.

Maana yake boss ukipewa 10k kwa siku na dreva,yako ktk hiyo ten ni 3000 tu sasa ndugu zangu wamiliki pikipiki hizi hesabu mnazifahamu au hamna haja nazo?
 
unasikia mkuu mimi sifanyi hii biashara kwa sababu ya kutajirika ila nafanya kwa lengo tu la kuulinda mshahara.

Yaani kitu ambacho sikipendi na kinaniuma sana ni kutumia mshahara kwa sababu ya kulisha tumbo,so mshahara wangu unakuwa na nafasi kubwa ya kufanyia maendeleo kama ujenzi na majukumu mengine.

Na mkataba unapoisha hainiumizi kichwa kununua nyingine maana nikijichanga mishahara yangu miwili tu nanunua pikipiki nyingine.
kwasiku anapokea 10,000 ambayo kwa mwezi ni sawa na 300,000 ukizidisha x 12 = 3,600,000 na bei ya pikipiki mpk unaikalia juu BOXER ni 2,500,000 ukitoa unapata faida kwa mwaka mzima kapata 1,100,000.

Kumbuka hapo sijaweka bei ya service kubwa ambayo n jukumu la boss mwenye pikipiki,tufanye kwa mwaka mzima service ya pikipiki katumia 100,000 ukitoa kutoka kwenye ile faida yake ya 1,100,000 unapata baki ya

kwa mwaka mzima amenunua pikipiki ya 2.5M inayompa faida ya 1,000,000. ukigawa kwa siku 365 = 3,013 kwa siku,hii maana yake wanaofanya biashara ya pikipiki wakawapa madereva mikataba Faida yao kwa siku ni BUKU 3.

Buku 3 tukimaanisha ELFU 3 biashara yenye mtaji wa 2.5M 🙌 🙌,kuna biashara zinahitaji moyo sana mtu kuzifanya,biashara yakutoa faida 3,000 kwa siku hivi nikiwa na mtaji wa 100,000 siwezi pata kweli? tuongelee hii faida kwa siku 3,000Tsh.

Maana yake boss ukipewa 10k kwa siku na dreva,yako ktk hiyo ten ni 3000 tu sasa ndugu zangu wamiliki pikipiki hizi hesabu mnazifahamu au hamna haja nazo?
 
N
Hili swali zuri
Ni vema akatujuza maana hapo hapo anatuambia hamna kitu asichokipenda kama kutumia mshahara kulisha tumbo anasema anakula ya pikipiki then mshahara anafanya mambo mengine wakati hii pikipiki imenunuliwa na mshahara en still mkataba ukiisha ni mshahara tena ndio unanunua pikipiki nyingine it means anaumake anunue pikipiki sasa haya mambo ya ujenzi yanafanywa na pesa ipi? Ananichanganya kwa kweli (ikumbukwe lengo ni kujifunza na kupeana uzoefu).....wanasemaga mali bila daftari hupotea bila habari
 
kwasiku anapokea 10,000 ambayo kwa mwezi ni sawa na 300,000 ukizidisha x 12 = 3,600,000 na bei ya pikipiki mpk unaikalia juu BOXER ni 2,500,000 ukitoa unapata faida kwa mwaka mzima kapata 1,100,000.

Kumbuka hapo sijaweka bei ya service kubwa ambayo n jukumu la boss mwenye pikipiki,tufanye kwa mwaka mzima service ya pikipiki katumia 100,000 ukitoa kutoka kwenye ile faida yake ya 1,100,000 unapata baki ya

kwa mwaka mzima amenunua pikipiki ya 2.5M inayompa faida ya 1,000,000. ukigawa kwa siku 365 = 3,013 kwa siku,hii maana yake wanaofanya biashara ya pikipiki wakawapa madereva mikataba Faida yao kwa siku ni BUKU 3.

Buku 3 tukimaanisha ELFU 3 biashara yenye mtaji wa 2.5M 🙌 🙌,kuna biashara zinahitaji moyo sana mtu kuzifanya,biashara yakutoa faida 3,000 kwa siku hivi nikiwa na mtaji wa 100,000 siwezi pata kweli? tuongelee hii faida kwa siku 3,000Tsh.

Maana yake boss ukipewa 10k kwa siku na dreva,yako ktk hiyo ten ni 3000 tu sasa ndugu zangu wamiliki pikipiki hizi hesabu mnazifahamu au hamna haja nazo?
Mkuu ni dhambi kukadiria vitu kama hivi ilhali mhusika yupo humu biashara ina mambo mengi haswa ya vyombo vya moto kukadiria laki pekee kwa mwaka kwa service ni kamari ngumu mno halafu bado hujapiga hesabu za siku ambazo kazi haikufanyika na siku ambazo analeta kiswahili badala ya pesa sasa utakapohesabia siku 365 pekee bila kupiga hesabu ya unachoingiza inakula kwako mkuu....ndio maana tukahoji alishawahi kukaa chini akapiga hesabu? Na km hapana anajiaminisha vipi kama hata pesa yake ya pikipiki imerudi?
 
Kuna kitu hapo hujakifikiria vizuri.
Nikifungua biashara ya duka au genge itanilazimu nipoteze masaa 12 kila siku kusubiria wateja na shughuli zangu zingine zote zitasimama.
Lakini hii ya pikipiki anayefanya ni dereva mimi nitaendelea na shughuli zangu zingine kama kawaida hata nikiwa mbali mkoa mwingine pesa yangu atanitumia kwenye simu.
Lakini pia kumbuka biashara ya vyombo vya moto ni biashara ya watu wasio na muda wa kusimamia biashara kutokana na majukumu yao.
Kwa hiyo anaamua kununua chombo kwa pesa yake kisha anashirikiana na madereva kuiendesha biashara hiyo.
Kwa mfano mtu asiye na muda wa kusimamia biashara akipata milioni 40 ataenda kununua fuso ampe dereva kubebea mizigo kisha awe analetewa pesa ya kila siku.
Lakini hiyo milioni 40 akiipata mtu mwenye muda mzuri wa kufanya na kusimamia biashara atafungua duka la vifaa vya ujenzi na alisimamie ipasavyo kwa sababu ni biashara ya muda mrefu haina ajali,haiozi.
Nafikiri umenielewa hapo
 
mkuu umesoma hii comment? una lolote la kuongeza au kupunguza kwenye comment hii chini mbu wa dengue
kwasiku anapokea 10,000 ambayo kwa mwezi ni sawa na 300,000 ukizidisha x 12 = 3,600,000 na bei ya pikipiki mpk unaikalia juu BOXER ni 2,500,000 ukitoa unapata faida kwa mwaka mzima kapata 1,100,000.

Kumbuka hapo sijaweka bei ya service kubwa ambayo n jukumu la boss mwenye pikipiki,tufanye kwa mwaka mzima service ya pikipiki katumia 100,000 ukitoa kutoka kwenye ile faida yake ya 1,100,000 unapata baki ya

kwa mwaka mzima amenunua pikipiki ya 2.5M inayompa faida ya 1,000,000. ukigawa kwa siku 365 = 3,013 kwa siku,hii maana yake wanaofanya biashara ya pikipiki wakawapa madereva mikataba Faida yao kwa siku ni BUKU 3.

Buku 3 tukimaanisha ELFU 3 biashara yenye mtaji wa 2.5M 🙌 🙌,kuna biashara zinahitaji moyo sana mtu kuzifanya,biashara yakutoa faida 3,000 kwa siku hivi nikiwa na mtaji wa 100,000 siwezi pata kweli? tuongelee hii faida kwa siku 3,000Tsh.

Maana yake boss ukipewa 10k kwa siku na dreva,yako ktk hiyo ten ni 3000 tu sasa ndugu zangu wamiliki pikipiki hizi hesabu mnazifahamu au hamna haja nazo?
 
Mkuu ni dhambi kukadiria vitu kama hivi ilhali mhusika yupo humu biashara ina mambo mengi haswa ya vyombo vya moto kukadiria laki pekee kwa mwaka kwa service ni kamari ngumu mno halafu bado hujapiga hesabu za siku ambazo kazi haikufanyika na siku ambazo analeta kiswahili badala ya pesa sasa utakapohesabia siku 365 pekee bila kupiga hesabu ya unachoingiza inakula kwako mkuu....ndio maana tukahoji alishawahi kukaa chini akapiga hesabu? Na km hapana anajiaminisha vipi kama hata pesa yake ya pikipiki imerudi?
mbu wa dengue
 
mkuu umesoma hii comment? una lolote la kuongeza au kupunguza kwenye comment hii chini mbu wa dengue
Pikipiki inauzwa 2200000.
Kama utafanya mkataba wa mwaka ni 300000x12=3600000
Chukua 3600000-2200000=1400000 hii ndio faida yako.
Service zote anafanya dereva hakuna service nitafanya mimi mmiliki.
Nadhani umenipata.
 
faida yako ukigawa kwa siku haifiki hata 4000 kwa siku,kwako ni sawa mkuu kuweka 2.2M upate faida ya 4000 kwa siku?

kama kwako ni sawa na umeridhia naomba mkataba wa huyu dereva ukiisha usinunue pikipiki nyingine,naomba nikopeshe hiyo 2.2M na ntakua nakupa faida ya 5000 kwa kila siku kwa mwaka 1.

niko very serious ktk hili mkuu,kwa maandishi,wadhamini wa serikali kitaifa kimataifa ukiwataka nipo tayari kuwaleta unikabidhi hiyo 2.2 kwa mwaka nitakupa 1,825,000 ongezeko la faida ya 425,000.
 
kumbe hilo ndio lako umezunguka sana.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Iko hivi hii ya pikipiki ina guarantee kwa sababu pikipiki ipo naiona hakuna sound za kusema ooh leo sijui bidhaa fulani zimeoza,au ooh soko la nyanya limegoma bei zimeshuka,au ooh supplier amegoma kuleta mzigo sijui kuna meli imekwama wapi,au ooh niliuza mzigo nikaweka hela tigopesa imeibiwa.
Wewe unataka kuja na mchanganuo gani ambao eti una guarantee ya 100% and risk free.
Maana kwenye bodaboda abiria wapo kila siku iendayo kwa mungu labda itokee siku mvua inyeshe siku nzima asubuhi hadi usiku hapo kweli atakosa abiria lakini kesho yake akikesha anafidia hesabu.
Weka hapa hiyo magic business yako yenye guarantee ya 100%
 
mkuu tuache tu utani biashara unayofanya ya bodabodaa unacheza dana dana tu,kukwambia unipe hyo 2.2m maana yake ni kwamba nikuonyeshe kuwa upo uwezekano wawewe kufaidika maana unachofanya sasahivi sio biashara bali ni kuhifadhi hela tu kisha unaila kidogo kidogo,bodaboda haijawahi kuwa biashara yakumtoa mtu htatua 1 kwenda nyingine,tena dereva awe mwingine boss mwingine Nevaaaaa...unasema hiyo biashara ni risk free mkuu wewe ni muongo na napenda tu kusema hata hiyo faida uliyosema unapokea ni uongo kwasababu haifiki,lakini sipo hapa kubishana kama unaridhika hata na hicho kidogo unachopokea na unaona kinakutosha ni vizuri mkuu ila baki mwenyewe eneo hilo usimshauri mtu afanye kama wewe hasa kijana wetu alietuomba ushauri.
 
Ndio uelezee hapa biashara mbadala sasa acha kuzunguka sana

Back
Top Bottom