Natafuta kazi ya Marketing au Reception

Natafuta kazi ya Marketing au Reception

blavo

New Member
Joined
Aug 4, 2026
Posts
3
Reaction score
1
Mimi ni mwanamke, nina certificate ya secretary na nina diploma ya journalism. Nimefanya kazi ya presenter, uandishi lakini marketing ni kazi ambayo ninaifanya kwa kupenda na ninaifurahia, iwe ni office au door to door. Nimefanya radio marketing, TV pia vipodozi, majiko ya moto poa.

Naombeni kazi wapendwa wa Mungu 🙏
 
Njoo tukopeshe simu za mkopo mkuu, malipo ni hapo hapo ukimalizana na mteja. Door to Door utapiga pesa sana.

Ikiwezekana ufunge safar uende mkoani. Pesa iko mingi

DM
 
Mimi ni mwanamke, Nina certificate ya secretary na Nina diploma ya journalism mimefanya kazi ya presenter uandishi lakini marketing ni kazi ambayo ninaifanya Kwa kupenda na ninaifurahia iwe ni office au door to door, mimefanya radio marketing TV pia vipodozi, majiko ya moto poa.
Naombeni kazi wapendwa wa Mungu 🙏
Tutakuhitaji kama upo serioz na unaweza fanya kazi Moshi--
Wasiliana nasi MIT College and Tution centre 0717157640/0754469894
 
Back
Top Bottom