Ushauri: Kazi ya aibu malengo hayatimii

Anko Kong

Senior Member
Jul 3, 2020
130
72
Wasalaam wapendwa

Mimi ni kijana nina miaka 26, nafanya kazi ya kufagia kwenye hotel moja. Nimejichanga sasa nina milioni 3 lakini nikiangalia mbele sioni mwanga wa kazi hii.

Naombeni ushauri niachane na hii kazi ya kufagia kwa sababu mimi ni mtoto wa kiume. Je, nikiacha mnanishauri nifanye biashara gani kwa mtaji huo wa milioni 3?

Karibuni kwa maoni yenu wakuu.
 
Jifunze kunyoa nywele kabla ya kuacha kazi kisha ukishakua vizuri kwenye sector hiyo, fungua saloon ya kiume maeneo yenye msongamano upige kazi mwenyewe.

2M inatosha kwa kuanzia na 1M inayobaki itakua back up ya baadae ikitokea umeyumba au unaweza kuwekeza hiyo tena kwenye biashara nyengine.
 
Tafuta sehemu ambayo haijaendelea Sana tafuta uwanja wa barabarani kwa 2M hafu 1M Anza biashara yoyote ili mradi sehemu ni ya kwako hakuna pango lazima utaenda tu.

Mm huwa ninamini ardhi ni utajiri wa kwanza ukishakua nayo mambo mengine yanakuja tu sijui kwa wengine wanaonaje.
 
Tafuta sehemu ambayo haijaendelea Sana tafuta uwanja wa barabarani kwa 2M hafu 1M Anza biashara yoyote ili mradi sehemu ni ya kwako hakuna pango lazima utaenda tu. Mm huwa ninamini ardhi ni utajiri wa kwanza ukishakua nayo mambo mengine yanakuja tu sijui kwa wengine wanaonaje.

Kama ni Dodoma nimpe kiwanja kizuri kilichopo barabarani kwa bei poa kabisa, Dodoma ndio inakuwa kwa kasi ukiwekeza hutojutia.
 
Tafuta sehemu ambayo haijaendelea Sana tafuta uwanja wa barabarani kwa 2M hafu 1M Anza biashara yoyote ili mradi sehemu ni ya kwako hakuna pango lazima utaenda tu. Mm huwa ninamini ardhi ni utajiri wa kwanza ukishakua nayo mambo mengine yanakuja tu sijui kwa wengine wanaonaje.
Milioni 2 atanunua wapi???? Labda kimbiji uko porini.........au kama mjini auziwe uwanja kama kabuli moja tena la mtoto........unajua bei ya kiwanja wewe??
 
Milioni 2 atanunua wapi???? Labda kimbiji uko porini.........au kama mjini auziwe uwanja kama kabuli moja tena la mtoto........unajua bei ya kiwanja wewe??
Hata nami nimeguna mhh! Tena barabarani kabisa halafu pawe na mkusanyiko wa watu kwa ajili ya biashara! Sidhani.
 
Jifunze kunyoa nywele kabla ya kuacha kazi kisha ukishakua vizuri kwenye sector hiyo, fungua saloon ya kiume maeneo yenye msongamano upige kazi mwenyewe.

2M inatosha kwa kuanzia na 1M inayobaki itakua back up ya baadae ikitokea umeyumba au unaweza kuwekeza hiyo tena kwenye biashara nyengine.
Asantee mkuu
 
Tafuta sehemu ambayo haijaendelea Sana tafuta uwanja wa barabarani kwa 2M hafu 1M Anza biashara yoyote ili mradi sehemu ni ya kwako hakuna pango lazima utaenda tu. Mm huwa ninamini ardhi ni utajiri wa kwanza ukishakua nayo mambo mengine yanakuja tu sijui kwa wengine wanaonaje.
Sasa hiyo m1 itakuwa kujengea banda na biashara mkuu
 
Usiionee aibu kazi yako. Hilo moja. Hata Ulaya, Japan na nchi nyingine zilizoendela kuna wafagiaji. Na ni hao hao wazungu, Wajapan... Hiyo haina maana kuwa ufe ukiwa mfagiaji. Kwanza ipende kazi yako. Halafu jikaze usevu pesa. Weka akiba mpaka pale akiba itakapo kuruhusu kuondoka na kufanya biashara, kama unapenda biashara.
Wasalaam wapendwa

Mimi ni kijana ninamiaka 26 nafanya kazi ya kufagia kwenye hotel moja nimejichanga. Sasa nina milioni 3 lakini nikiangalia mbele sioni mwanga wa kazi hii

Naombeni ushauri niachana na hii kazi ya kufagia kwa sababu mimi ni mtoto wa kiume je nikiacha mnanishauri nifanye biashara gani kwa mtaji huo wa milioni 3?

Karibuni kwa maoni yenu wakuu
 
Usiionee aibu kazi yako. Hilo moja. Hata Ulaya, Japan na nchi nyingine zilizoendela kuna wafagiaji. Na ni hao hao wazungu, Wajapan... Hiyo haina maana kuwa ufe ukiwa mfagiaji. Kwanza ipende kazi yako. Halafu jikaze usevu pesa. Weka akiba mpaka pale akiba itakapo kuruhusu kuondoka na kufanya biasha, kama unapenda biashara.

Duniani Kuna matatizo mkuu shida hazikosekani 3M nyingi sana
 
Ukisikia mtu anamiliki kiwanja mjini sio kitu kidogo.........yaani mpaka najiuliza wale walio wai masaki na oysterbay wanapumulia matako au?????unakaa sehemu hata uwazi bomoa bomoa wala kuombwa chumvi na jirani.......au kusikia kigodoro bana kule kama sio Tanzania hii
huko waliwahi kwenda Kama Sasa wanavyowahi kwenda dodoma.
 
Back
Top Bottom