Ushauri: Kazi ya aibu malengo hayatimii

Ushauri: Kazi ya aibu malengo hayatimii

jamaa ananiambia kuna siku huwa analaza hadi 50 au 60 na siku zingine chini ya hapo au pungufu ya 30, sasa sijui kama ni kweli ila pikipiki ni yake.

ninachofahamu ni kuwa sasa anajenga kibanda chake
Sawa mkuu nashukuru sana
 
Mkuu kama mtu ana mkataba kila siku anampa Tajiri wake Tsh 10,000/= na bado yeye maisha yake yanasinga, unadhani anaingiza bei gani?

Niliwahi kuona ushuhuda humu humu JF, kuna mtu anayeishi Dar, alikuwa anapiga boda kuanzia saa 10 jioni hadi saa 6 usiku, alikuwa analaza faida Tsh 20,000/=

Kwa mazingira unayoishi, jaribu kuanzisha urafiki na dereva boda akupe ABC za hiyo kazi ikiwemo faida, lakini nina imani faida ipo
Asante mkuu vp kipato chake kwa siku
 
Kabisa kaka na itakuwa rahisi kwake kwa huo mtaji, kama atakuwa makini itamzalishia mtaji mkubwa tu. hata mimi nimemshauri hivo kuliko biashara zingine akizikurupukie zinaweza kumla pesa zote na akaanza to zero
 
Yap, huu ndio ushauri wa kuufuata

Na pikipiki aendeshe mwenyewe, asijifanye bosi jioni anasubiri hesabu

Boda huwa wanaofaidi zaidi ni madereva kuliko wamiliki wa vyombo, hata utunzaji wa chombo utakuwa mzuri
kabisa kaka na itakuwa rahisi kwake kwa huo mtaji, kama atakuwa makini itamzalishia mtaji mkubwa tu. hata mimi nimemshauri hivo kuliko biashara zingine akizikurupukie zinaweza kumla pesa zote na akaanza to zero
 
Milioni 2 atanunua wapi???? Labda kimbiji uko porini.........au kama mjini auziwe uwanja kama kabuli moja tena la mtoto........unajua bei ya kiwanja wewe??
Dar es salaam kuna meneneo huko ndani ndani kiwanja cha Mil2 anapata, tatzo ni kwamba huko ndani ndani Biashara unafanya vipi
 
Wewe muache tu alete ubishoo hiyo ilikuwa miaka ya 90 siku hizi watu hawachagui kazi kinachoangaliwa ni mpunga tu.

Yaani namhakikishia mtoa mada akiacha tu hiyo kazi haichukui wiki anaingizwa mtu mwingine.

Usije kuidharau hata siky moja kazi inayokuingizia kipato yaani utapata laana utashangaa kila biashara unayoiweka haiuziki halafu utaanza kuikumbuka hiyo kazi na hutoipata.

Afadhali labda kama una mke unaanzisha biashara mke anasimamia wewe unaenda kazini kuchakarika
Asiache kazi bila plan yoyote lakini kumwambiakwamba akiacha ndo atapata laana si sahihi...lazima tuwe na utubutu.
 
Yap, huu ndio ushauri wa kuufuata

Na pikipiki aendeshe mwenyewe, asijifanye bosi jioni anasubiri hesabu

Boda huwa wanaofaidi zaidi ni madereva kuliko wamiliki wa vyombo, hata utunzaji wa chombo utakuwa mzuri
Ni kweli hata mimi nimemwambia aendeshe mwenyewe itamlipa zaidi kuliko kuwa boss
 
Vuta baik upige boda boda mkuu, kuna jamaa yangu mmoja ameacha kaz ya useremala amenunua pikpik anakomaa nayo mwenyewe ase kanunua kiwanja sehem na maisha yanaenda

ila usimpe mtu maana itakutia hasara sana mwsho wa siku itachoka bila faida yoyote uliyo iona zaid ya kuletewa elf 7 kwa siku bad service ni juu yako, alaf yeye uliempa pikpik anakunja had elf 15 anaweka mfukon kwa siku.

Zingatia kuifanyia kaz mwenyewe na uwe muaminifu kuna kipind itafikia utakua unafanya kaz kwa simu tu
 
jamaa ananiambia kuna siku huwa analaza hadi 50 au 60 na siku zingine chini ya hapo au pungufu ya 30, sasa sijui kama ni kweli ila pikipiki ni yake.

ninachofahamu ni kuwa sasa anajenga kibanda chake
Za kuambiwa changanya na zako, Ni kweli hakuna kazi isiyoingiza fedha, Lakini je hio fedha anayoingiza anafanana nayo?
 
Vuta baik upige boda boda mkuu, kuna jamaa yangu mmoja ameacha kaz ya useremala amenunua pikpik anakomaa nayo mwenyewe ase kanunua kiwanja sehem na maisha yanaenda

ila usimpe mtu maana itakutia hasara sana mwsho wa siku itachoka bila faida yoyote uliyo iona zaid ya kuletewa elf 7 kwa siku bad service ni juu yako, alaf yeye uliempa pikpik anakunja had elf 15 anaweka mfukon kwa siku.
Zingatia kuifanyia kaz mwenyewe na uwe muaminifu kuna kipind itafikia utakua unafanya kaz kwa simu tu
Asante sana mkuu kwa ushauri mzur
 
Kachukue Bajaji mpya pesa ya kumalizia mtaingia mkataba na kampuni husika per day Bajaji hukoi 50
 
Mkuu alikuingiza chaka,hata kwa kutumia bajaji huwezi kupata hela hiyo,aliongea tu kishabiki bila uhalisia.\

Elfu 20 sawa inapatikana ila kwa mchakalikaji yaani usiwe mvivu.
Maana sometimes biashara inakuwa mbaya hata elfu 10 huwa wanakosa.

Ila ni biashara nzuri kwa mtu ambaye hana muda wa kusimamia biashara unamuachia dereva anayeaminika si ili mradi dereva awe analeta elfu 10 kwa siku wewe unakwenda kazini kama kawaida baada ya mwaka unamuachia inakuwa yake kisha unanunua nyingine.

Mimi ndio huwa nafanya hivyo nikipataga hela nanunua boda namkabidhi dereva kisha naendelea na shughuli zangu,kiukweli nashukur mungu hawajawah kuniangusha.

Nimeshanunua pikipiki mara tatu na zikawa zinanisaidia sana kupata hela ya kula,mshahara wangu nautumia kwa maendeleo mengine.
 
Mkuu alikuingiza chaka,hata kwa kutumia bajaji huwezi kupata hela hiyo,aliongea tu kishabiki bila uhalisia.
Elfu 20 sawa inapatikana ila kwa mchakalikaji yaani usiwe mvivu.
Maana sometimes biashara inakuwa mbaya hata elfu 10 huwa wanakosa.
Ila ni biashara nzuri kwa mtu ambaye hana muda wa kusimamia biashara unamuachia dereva anayeaminika si ili mradi dereva awe analeta elfu 10 kwa siku wewe unakwenda kazini kama kawaida baada ya mwaka unamuachia inakuwa yake kisha unanunua nyingine.
Mimi ndio huwa nafanya hivyo nikipataga hela nanunua boda namkabidhi dereva kisha naendelea na shughuli zangu,kiukweli nashukur mungu hawajawah kuniangusha.
Nimeshanunua pikipiki mara tatu na zikawa zinanisaidia sana kupata hela ya kula,mshahara wangu nautumia kwa maendeleo mengine.
Asante mkuu ushauri mzuri aisee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom