Marcostilone
JF-Expert Member
- Jun 25, 2023
- 6,807
- 16,996
Niione kwanza hiyo nafsi ndo nitajua naishauri nini.
Hayaa 😄Tutakutana kweli sisi sio milima
PM hapo njiapanda tutakutana hapoHayaa 😄
La epl linamtosha 😅
ya watoto ?Niko kwenye blanketi, hata hivyo jioni kuna ibada.
Kuna mtu anachombezaa😄PM hapo njiapanda tutakutana hapo
Hahaha kumbe wadau hawachelewiKuna mtu anachombezaa😄
Ewaaa, hapa inapata HATA motisha, sio kila siku kujikosoa.Ok.
Nafsi yangu,Roho yangu na bila kusahau mwili wangu..Hongera Kwa kuwa wavumilivu!
YouTube, KOINONIA GLOBALMtandao gani
Nafsi yako bila shaka inafarijika, kuona umejali.Tunaishi mara moja, upatapo nafasi ya kufurahisha nafsi fanya hivyo.
🤣 ijikazeMimi:Nafsi yangu nakuomba utulie acha tamaa ,subiri siku zipite nitakupeleka bar ,ramadhani haina muda imeisha usitake nionekane mtu wa hovyo kabisa ,jikaze tusogeze walau kawiki tutaendelea na utaratibu wetu au sio ndugu yangu ?
Nafsi 😛amoja bingwa haujawahi kufeli kaka mkubwa
Nasema Kwa hapa Kuna mtu anachombeza...Hahaha kumbe wadau hawachelewi
Hahaha acha kwa hio nakuimbisha hapahapa unaniona sio?Nasema Kwa hapa Kuna mtu anachombeza...
Kwa jina verbose😄