Nyuma ya fake id kuna nafsi zetu

Nyuma ya fake id kuna nafsi zetu

Ertugrul Bey

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2020
Posts
13,186
Reaction score
26,305
Screenshot_20260808-102435.jpg

Habar za siku ya nane nane,na kwa wanasimba wenzangu leo ndio Ile sikukuu yetu ya kipekee kabisa,tuwe proud kuwa wanasimba daima NGUVU MOJA.

Mara nyingi sana hapa jf utasikia kauli kama Watu wenyewe tunatumia fake id msichukulie mambo serious au kauli kama Watu wenyewe tunatumia utambulisho bandia tusipangiane maisha

Ni sahihi kabisa humu hatujaja kupangiana maisha wala kuwa serious muda wote, lakini huwa nashangazwa na mtu ambaye anafanya upuuzi au ujinga kwa kisingizio kwamba eti tunatumia fake id

Listen very well ndugu zangu, ikiwa unazungumzia fake id na maisha halisi ya watu wanao kujua huko mtaani upo sahihi kwamba kweli hakuna wanao kujua humu ndani ya jamii forums hivyo unaweza sema chochote na hutukufanyi kitu

Lakini ukiwa unazungumzia fake ID ukiwa ndani ya jf halafu unajificha ndani ya id yako eti unaweza sema chochote na lolote na hakuna kitu tutakufanya,just think twice homies,unajidanganya

Hapa ndani ya jamii forums kupitia id yako tunakuchukulia ni mtu kamili na nafsi kamili na tunakujaji kwa matendo yako, kwasababu ndio jina tunalo kufahamu nalo na ndio utu wako,sasa utapimwa kwa tabia yako na matendo yako,na ndio maana hata moderators watakuadabisha kwa I'd yako la sivyo wangesema hawa ngoja tuwaache kwakuwa watu wenyewe wanatumia utambulisho bandia.

Ukitaka kuona ukweli juu ya hili,ebu ona pale ambapo I'd yenye kuheshimika ikiandika ujinga, hapo utaona watu wanashangaa na kuisakama Wewe nawe pamoja na ukongwe wako unaandika upuuzi?

Hii maana yake nini? Inamaana kupitia michango yako,machapisho yako na mienendo yako Umejenga your own identity ambayo tunakujua nayo hapa jf

Kwahiyo kupitia I'd yako fake tuta kuheshimu au tutakudharau,kupitia I'd yako tutasoma chapisho lako kwa umakini na adabu au tutalisoma juu juu na kutolipa umuhimu, kupitia I'd yako tutachukua ushauri wako au tutaumwaga chini na kuukanyaga kanyaga

Kwahiyo utambulisho wako kupitia I'd yako ndio wewe mwenyewe kwenye maisha halisi ya jf, kwahiyo acha kujificha kupitia I'd yako na kufanya upuuzi na ujinga eti kwa kisingizio kwamba hatukujui,tunakujua kupitia I'd yako

Kuwa humble,ishi huku vizur,heshimu kila mtu na mind your own business,kama kutofautiana tutatofautiana kibinadamu lakini usiamue kuwakwaza watu makusudi kisa eti hatukufahamu, tunakufahamu kupitia I'd yako

Ni hayo tu!
 
Attachments

  • Screenshot_20260808-102435.jpg
    Screenshot_20260808-102435.jpg
    17.9 KB · Views: 6
Screenshot_20260808-111112_Google.jpg

Umeongea ukweli mtupu kaka comments na nyuzi za mtu ndo utambulisho halisi maana psychology teach that behaviour can be learned for 90days. Kuna watu hapa toka wajiunge Jf ni kutukana wenzao tu. Pia kuna watu wao ni uchawa tu, wengine ni wazee wa nyeto kama Mbaga Jr na wengine ni naturalists kama Mshana Jr na wengine ni kuzagamuliwa Binti wa zamani wengine mitungi min -me wengine ni warembo asilia Seran na wengine ni wasichana wazuri waliotendwa Joanah list ni ndefu
 
Sasa unaishi vipi bila pombe
 
Aseee!
 
fact

Mara nyingi huwa tunareveal kile kilicho ndani yetu, huo ndio ukweli, ukimuona mtu ni mshari most of the time jua ndio alivyo kwasababu huwezi kupretend tabia yako kwa kipindi kirefu sana
 
Back
Top Bottom