Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 4,177
- 13,005
Yule jirani yako kaacha kutupa pampas upande wenu?Hahaha acha kwa hio nakuimbisha hapahapa unaniona sio?
Na mtoto wa baba mchungaji anansemaje 😊
Yule jirani yako kaacha kutupa pampas upande wenu?Hahaha acha kwa hio nakuimbisha hapahapa unaniona sio?
Hahaha tuache hayo wewe unataka hayo au unataka kuimbishwa?Yule jirani yako kaacha kutupa pampas upande wenu?
Na mtoto wa baba mchungaji anansemaje 😊
Acha bwana..unaharibu thread ya watuHahaha tuache hayo wewe unataka hayo au unataka kuimbishwa?
Fungua PM nijeAcha bwana..unaharibu thread ya watu
Aki Tena..sitaki🙌Fungua PM nije
Usitake mara ngapi wakati umetaka mwenyewe ngoja nikufuate huko hukoAki Tena..sitaki🙌
Haya njoo dogoUsitake mara ngapi wakati umetaka mwenyewe ngoja nikufuate huko huko
Hapo kwenye dogo ungefuta kwanza maana sio ndogo km unavyofikiriaHaya njoo dogo
Hivyo hivyo kwa kuibia kidogo kidogo mpaka imeisha aisee🤣 ijikaze
Ramadhani iliweza kusubiri?
Wakikuomba namba ya simu unakataa, sasa unategemea nini?Kwani mi nimekataa kuolewa
Hao waowaji wenyewe wako wapi?
Boss Unavyoongea ka unanijua vileWakikuomba namba ya simu unakataa, sasa unategemea nini?
Madam naomba nikutoe dinner leo.Boss Unavyoongea ka unanijua vile
AiseeMadam naomba nikutoe dinner leo.
PM iko wazi, napokea maelekezo yote. Karibu.Aisee
PM iko wazi, napokea maelekezo yote. Karibu.Aisee