Ushauri: Adhabu gani inamfaa mtu huyu

Ushauri: Adhabu gani inamfaa mtu huyu

Status
Not open for further replies.
Kwani huyo dogi alikufanyaje dada angu? Kama aliingia uwani niPM nikusaidie kulipiza kisasi. Kuna vijana wangu hapa Tegeta ukiwapa hela ya bangi na nyagi bapa 2 wala huwa hawakumbuki kondom. Na mara nyingi wakishafanya kazi yao, lazima mtu akaponee MOİ.

Natumai huko hakukuguswa bdo sealed, niko tayari kusahihishwa.
 
Kwani huyo dogi alikufanyaje dada angu? Kama aliingia uwani niPM nikusaidie kulipiza kisasi. Kuna vijana wangu hapa Tegeta ukiwapa hela ya bangi na nyagi bapa 2 wala huwa hawakumbuki kondom. Na mara nyingi wakishafanya kazi yao, lazima mtu akaponee MOİ.

wewe mbona unanichokonoa mkuu we jua tu hivyo mengine ni siri yangu..
 
Ndugu yangu amini amini nakuambia kusamehe ni amri tena ni suala la lazima lakini kusahau inategemea na namna utavyolichukulia suala hili moyoni mwako.

Kosa namba moja unalolifanya na ndilo liwekalo donda ndugu moyoni mwako, ni ile IMANI uliyojijengea kuwa wanaume wote ni mbwa. Hii sio kweli ndio maana kuna wanawake wengi tu humu jamvini hutoa shuhuda namna waume au wachumba zao wanavyowatendea uzuri.
Ukiweza kujitoa katika kitanzi hiki, ninaamini huo ndio utakuwa mwanzo mpya wa maisha yako.

Pia ukitaka kuiponya nafsi yako basi anza kujenga mawazo chanya kuhusu wanaume, 'remember you're the boss of your own happiness'. Tambua kuwa Baba mkubwa anawakilisha kundi la wanaume waovu na wabaya, lakini pia yupo mwanaume mwingine ambapo najua akilini mwako utakuwa na mfano hai awakilishaye wanaume wenye hulka njema.

Nina mfano hai unaonihusu mimi mwenyewe, watu8 ni mmoja wa watu ambao wamepitia maisha ya kutengwa, kunyanyaswa na mashangazi baada ya baba yangu kufariki na ikafika mahali hadi kunyang'anywa kila ambacho mzee aliacha. Si hilo tu bali ndugu zangu hao wakaenda mbali zaidi na kudiriki kwenda kwa walozi ili wapate kuiondoa roho yangu na ya mama yangu nia kubwa ni wapate tu kurithi mali.

Pamoja na hayo yote, ubaya wa watu wachache (wanawake) haukunifanya niwachukie wanawake wote isipokuwa hao wachache walikuwa kinyume nami kwa wakati huo.

Kuna mambo huwa yanatutokea maishani kama mitihani ya kutufikisha mahali fulani ambapo ni pazuri zaidi.

Such a good advice,na hivi ndivyo tunavyotakiwa kuishi na jua you still have a purpose in your life. Stick to watu8 advice and you wil have a peaceful and happiness life.
 
dada mzuri miss chaga naona bado unampango wa kuendelea na malipizi siwez kukukataza manake najua ndicho ulichopanga.

jua kwamba sheria za nchi nazo huangalia wewe kama raia wajibu wako ni upi sidhan kama unawajibu wa kumdhuru yyte yule no matter kakukosea nini.

namkumbuka baba mmoja aliwah kubakwa yani alifededwa kisa katoka na mke wa mtu. mumewe alimwandalia watu 8 wakamfanya na yeye hadi hamu yao ikaisha lkn mwisho wa siku baba alowaita watu kubaka nae akatiwa hatiani na mpaka leo kesi inaendelea.

sijui wewe utajihakikishiaje haya hayatakupata lkn labda utumie njia ya boxer hii ni nzuri zaid na hainaga ushahidi lakin lazima kweli umpate mtu anayeweza kuendesha hiyo boxer sio mtu bora mtu.

mwisho kabisa kama utataka kemikali ambayo hauta baki hata mfupa wala unywele wa kufanyia DNA niambie mimi nitakutengenezea bureee maabara kwangu. nakuhakikishia hautabaki hata mfupa wake kweli atayeyuka na kuwa kama maji. am serious sitaniii.
 
Last edited by a moderator:

asante mamy.!!!!
 
Me nimsicha mwenye umri wa miaka 25-30. Kwetu ni kijijini ila kwa sababu ya shule ikanilazimu nije mjini nikawa naishi na ndugu zangu na sasa nina bachelor degree namshukuru Mungu. mimi si mwandishi mzuri samahani kama nitawakwaza.

Katika maisha yangu ya kuishi na ndugu nimepitia natatizo mengi sana ila kuna moja natamani kulipiza kisasi kwa namna inavyoniumiza . wanajamvi najitahidi sana kusahau lakini hii siku sitahisahau kuondolewa usichan wangu bila idhini yangu na mtu ambaye namwita baba mkubwa… wanaume ni ma. M.b.w.a

Nilihamia nyumbani kwa dada wa mama yangu ( ma mkubwa) nikiwa na umri wa 15 nilipoamia tu nyumbani kwake wakati huo nipo form two kwa ajili ya shule sitaki kutaja eneo ni kama miaka 8 sasa, mume wa mama yagu mkubwa akawa ananitaka kimapenzi wakati huo sijui hata mwanaume hapo kanifuatilia mdamrefu sana nIkataa. Kwa akili yangu ya kitoto nilimweleza mam yangu mkubwa mambo anyonifanyia baba nikaishiwa kutukanwa na kutengwa na ndugu pia wakiamini mimi natakakuvunja ndoa yao kama mzee alivowaeleza hapo ndipo mzee akapata nafasi nzuri.

Katika kupambana na hali hiyo siku moja nikiwa likizo naoga ili niende tution akaja akanivizia akanikuta naoga akanibaka . nilipata maumivu makali sana nilikaa kimya bila kumweleza mama yangu mkubwa ni siri yangu nawapa ninyi wnajamii mnisaidie kwa sasa siyo siri tena,

Nilishindwa kumweleza mtu huyo mzee alitengeneza mazingira ya me kukosa msaada hata kwa wazazi wangu kwa kisingizio me ni mvivu kusoma, ki ukweli sikua hivyo, basi ndugu jamaa na marafiki wakaniweka mbali nikiwa nipo mwenyewe sina msaada ndipo alipoweza timiza adhima yake.

Huyu ndiye mwanaume alinitoa bikra kwa ukatili huku nikipigwa na matusi juu mmh wanaume ninyi ni wanyama, tokea wakati huo nimeshakuwa na boyfriend zaidi ya 2 lakini nawaona makatili zaidi pale wanapoomba mzigo najikuta nachukia na nawachukia, pia nikiamua kuwapa basi tu kuondoa kero na sijawahi ona hiyo kitu furaha ya kufanya huo unyama zaidi ni matatizo na kero, tatizo kubwa nalo kutana nalo ni kupata mchubuko wakati wote nao fanya huo unyama. Wanaume nawachukia sana...............

Sasa ni hivi ni adhabu gani naweza mpa huyu mtu moyo wangu uridhike? Adhabu ninayoona inamfaa ni kumwondoa duniani nimeshajaribu mara nyingi nashindwa embu nisaidieni? Nataka nimuone anateseka kama mmimi nilivyoteseka na navyo teseka,….

natanguliza shukrani zangu,,,

Kwa hayo tu ilibidi ubadili kichwa cha habari, wewe si "msichana" tena, wewe ni mwanamke.
 
wanaume PTUUUUUUUU!!!!. Halafu ukitoka hapo unampekekea mwanaume K*ma yako anaitimuatimua, mwenzako miss chagga ametuita MBWA na baada ya kubakwa na MBWA wa mama yake mkubwa akawa na mahusiano na MBWA wengine wawili, na mpaka sasa kila akikutana na MBWA kimwili huwa anajisikia maumivu.

hahahaaaa!!imekula kwenu hiyo
acha tuwaue kwa sumu tu!!
 
Jaman inatia hasira sana, kweli wakati mwingine wawza fikiria kama haya ila duh, its pain kwa kweli, pole Miss Chagga
 
Ww Magnificent acha kuchafua kabila za watu, we ma bint wa kichagga wamekufanya nn...

LI.M.B.W.A Mwenyewe!
Tafadhali usitutafutie ban,nyie wanawake wa kichagga mkoje? Mbona mna midomo michafu hivi?
Pole kwa yaliyokukuta anyway!
 
kaka yangu ungejua alichonifanyia akiwezi lipwa kwa gharama yeyote labda tu nisamehe kama wengi walivyoshauri. napenda hela sana lakini kwa hili siwezi jifanyia ivi asante kwa ushauri.
Mwali hebu saidia hapa....
Hivi haiwezekana kukata network kwa wabakaji?
 
Last edited by a moderator:
Me nimsicha mwenye umri wa miaka 25-30. Kwetu ni kijijini ila kwa sababu ya shule ikanilazimu nije mjini nikawa naishi na ndugu zangu na sasa nina bachelor degree namshukuru Mungu. mimi si mwandishi mzuri samahani kama nitawakwaza.

Katika maisha yangu ya kuishi na ndugu nimepitia natatizo mengi sana ila kuna moja natamani kulipiza kisasi kwa namna inavyoniumiza . wanajamvi najitahidi sana kusahau lakini hii siku sitahisahau kuondolewa usichan wangu bila idhini yangu na mtu ambaye namwita baba mkubwa… wanaume ni ma. M.b.w.a

Nilihamia nyumbani kwa dada wa mama yangu ( ma mkubwa) nikiwa na umri wa 15 nilipoamia tu nyumbani kwake wakati huo nipo form two kwa ajili ya shule sitaki kutaja eneo ni kama miaka 8 sasa, mume wa mama yagu mkubwa akawa ananitaka kimapenzi wakati huo sijui hata mwanaume hapo kanifuatilia mdamrefu sana nIkataa. Kwa akili yangu ya kitoto nilimweleza mam yangu mkubwa mambo anyonifanyia baba nikaishiwa kutukanwa na kutengwa na ndugu pia wakiamini mimi natakakuvunja ndoa yao kama mzee alivowaeleza hapo ndipo mzee akapata nafasi nzuri.

Katika kupambana na hali hiyo siku moja nikiwa likizo naoga ili niende tution akaja akanivizia akanikuta naoga akanibaka . nilipata maumivu makali sana nilikaa kimya bila kumweleza mama yangu mkubwa ni siri yangu nawapa ninyi wnajamii mnisaidie kwa sasa siyo siri tena,

Nilishindwa kumweleza mtu huyo mzee alitengeneza mazingira ya me kukosa msaada hata kwa wazazi wangu kwa kisingizio me ni mvivu kusoma, ki ukweli sikua hivyo, basi ndugu jamaa na marafiki wakaniweka mbali nikiwa nipo mwenyewe sina msaada ndipo alipoweza timiza adhima yake.

Huyu ndiye mwanaume alinitoa bikra kwa ukatili huku nikipigwa na matusi juu mmh wanaume ninyi ni wanyama, tokea wakati huo nimeshakuwa na boyfriend zaidi ya 2 lakini nawaona makatili zaidi pale wanapoomba mzigo najikuta nachukia na nawachukia, pia nikiamua kuwapa basi tu kuondoa kero na sijawahi ona hiyo kitu furaha ya kufanya huo unyama zaidi ni matatizo na kero, tatizo kubwa nalo kutana nalo ni kupata mchubuko wakati wote nao fanya huo unyama. Wanaume nawachukia sana...............

Sasa ni hivi ni adhabu gani naweza mpa huyu mtu moyo wangu uridhike? Adhabu ninayoona inamfaa ni kumwondoa duniani nimeshajaribu mara nyingi nashindwa embu nisaidieni? Nataka nimuone anateseka kama mmimi nilivyoteseka na navyo teseka,….

natanguliza shukrani zangu,,,
pole sana ila usipende jino kwa jino bali lipiza ubaya kwa wema.......cha msingi unatakiwa umweleze mtu ambaye uko karibu naye sana na unajua anaweza akakusaidia,pia nenda ukamwone Psychologist coz ushakuwa affected kisaikolojia.
 
Nakushauri umsamehe ingawa najua sio rahisi. Cha muhimu mshirikishe Mungu katika hili na muombe akuwezeshe katika kumsamehe huyu mzazi wako. Najua uliumia sana na bado unaumia sana lakini ilishatokea, hata ukisononeka huwezi kubadili kitu na ukweli ni kwamba maisha lazima yaendelee.

Jiulize ni mara ngapi wewe umewakosea watu na ukaomba msamaha Mungu akakusamehe? Msamehe huyo baba, na Mungu ATAKULIPIA TENA HAPA HAPA DUNIANI WAKATI WOTE MNGALI HAI!
 
mwisho kabisa kama utataka kemikali ambayo hauta baki hata mfupa wala unywele wa kufanyia DNA niambie mimi nitakutengenezea bureee maabara kwangu. nakuhakikishia hautabaki hata mfupa wake kweli atayeyuka na kuwa kama maji. am serious sitaniii.
shikamoo mwalimu gfsonwin
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom