Ushauri: Adhabu gani inamfaa mtu huyu

Status
Not open for further replies.

miss chagga

JF-Expert Member
Jun 7, 2013
57,821
48,976
Me nimsicha mwenye umri wa miaka 25-30. Kwetu ni kijijini ila kwa sababu ya shule ikanilazimu nije mjini nikawa naishi na ndugu zangu na sasa nina bachelor degree namshukuru Mungu. mimi si mwandishi mzuri samahani kama nitawakwaza.

Katika maisha yangu ya kuishi na ndugu nimepitia natatizo mengi sana ila kuna moja natamani kulipiza kisasi kwa namna inavyoniumiza . wanajamvi najitahidi sana kusahau lakini hii siku sitahisahau kuondolewa usichan wangu bila idhini yangu na mtu ambaye namwita baba mkubwa… wanaume ni ma. M.b.w.a

Nilihamia nyumbani kwa dada wa mama yangu ( ma mkubwa) nikiwa na umri wa 15 nilipoamia tu nyumbani kwake wakati huo nipo form two kwa ajili ya shule sitaki kutaja eneo ni kama miaka 8 sasa, mume wa mama yagu mkubwa akawa ananitaka kimapenzi wakati huo sijui hata mwanaume hapo kanifuatilia mdamrefu sana nIkataa. Kwa akili yangu ya kitoto nilimweleza mam yangu mkubwa mambo anyonifanyia baba nikaishiwa kutukanwa na kutengwa na ndugu pia wakiamini mimi natakakuvunja ndoa yao kama mzee alivowaeleza hapo ndipo mzee akapata nafasi nzuri.

Katika kupambana na hali hiyo siku moja nikiwa likizo naoga ili niende tution akaja akanivizia akanikuta naoga akanibaka . nilipata maumivu makali sana nilikaa kimya bila kumweleza mama yangu mkubwa ni siri yangu nawapa ninyi wnajamii mnisaidie kwa sasa siyo siri tena.

Nilishindwa kumweleza mtu huyo mzee alitengeneza mazingira ya me kukosa msaada hata kwa wazazi wangu kwa kisingizio me ni mvivu kusoma, ki ukweli sikua hivyo, basi ndugu jamaa na marafiki wakaniweka mbali nikiwa nipo mwenyewe sina msaada ndipo alipoweza timiza adhima yake.

Huyu ndiye mwanaume alinitoa bikra kwa ukatili huku nikipigwa na matusi juu mmh wanaume ninyi ni wanyama, tokea wakati huo nimeshakuwa na boyfriend zaidi ya 2 lakini nawaona makatili zaidi pale wanapoomba mzigo najikuta nachukia na nawachukia, pia nikiamua kuwapa basi tu kuondoa kero na sijawahi ona hiyo kitu furaha ya kufanya huo unyama zaidi ni matatizo na kero, tatizo kubwa nalo kutana nalo ni kupata mchubuko wakati wote nao fanya huo unyama. Wanaume nawachukia sana.

Sasa ni hivi ni adhabu gani naweza mpa huyu mtu moyo wangu uridhike? Adhabu ninayoona inamfaa ni kumwondoa duniani nimeshajaribu mara nyingi nashindwa embu nisaidieni? Nataka nimuone anateseka kama mmimi nilivyoteseka na navyo teseka.

Natanguliza shukrani zangu
 
Pole sana kwa madhila yaliyokukuta, si wengine ni ma guardian Angel so si ma m.b.w.a kama ulivyotuita.
Kisasi si dawa ya tatizo lako, kikubwa tafuta ushauri toka kwa mwanasaikolojia
 
miss chagga for god seek learn to forgive and forget, najua how painful is, ukija ukajaribu kumua au kufanya kitu chochote kibaya haitamumiza yeye tu, bali itawaumiza familia nzima, jaribu kufanya hivyo mpendwa daima ntakuombea ufanikiwe
 
Wewe huna hata kaka, maana mimi ningekuwa ndiyo kaka yako halafu unipe habari kama hizi, wallah huyo baba mkubwa lazima ning'oe korodani kabla sijampoteza.

Mkuu me ni mtoto wa kwanza ningekuwa hata na dada ningefurahi sana
 
Mkuu me ni mtoto wa kwanza ningekuwa hata na dada ningefurahi sana
Kaka sio lazima awe mkubwa kwako, anaweza hata kuwa mdogo wako wa kiume lakini anayejiamini na kujua wajibu wake wa kuwajali dada zake. Mimi bwana siwezi kuvumilia kuona dada yangu anavurugwa na kudhalilishwa halafu eti niangalie tu. Kuna mtu kama wasingeniwahi ningeshamtumbua kwa sababu tu alikuwa anataka kumbaka mdogo wangu wa kike (Kumbuka huyu alitaka kubaka na hakufanikiwa, sasa sipati picha aliyefanikiwa nitamfanya kitu gani aisee)
 
Pole sana Miss chagga najua uchungu ulionao na ukimuona huyu mzee bado yu hai ndio unaumia zaidi. Jitahidi kusamehe na kusahau na tafuta mnasihi kama ulivyoshauriwa na wadau. Ila kikubwa ukipata mahusiano sahihi n mwenzako na mkawa wazi kwenye kila kitu nadhani utafurahia maisha ya mahusiano na uchungu wote utaisha kama utampata anayejua kukusaidia. Hivi vitu vipo sna jamani haswa tuangalie haya mambo y kuishi extended tuwe makini sana na hawa watu wajomba baba wadogo wakubwa binamu no hatari sana kwa malezi na makuzi ya watoto wetu. Inatia sana huruma kwa ukatili alokufanyia huyo mzee.
 
Inategemea unaishi wapi!

Kama uko Dar kwa laki moja! kuna jamaa wangeondoa korodani zake, wakakuletea kwenye mfuko wa rambo!

Huyo kumfanyizia ni lzm! Hakuna cha sijui samehe! Wala nini!
Wee mvutie pumzi tu! Hata akizeeka lzm umfanyizie!
Msamaha ni yeye na Mungu wake!
We unaweza kumsaidia kukutana na Mungu! Ikiwezekana Ondoa kabisa nyamafu hio!
 
Me nimsicha mwenye umri wa miaka 25-30. Kwetu ni kijijini ila kwa sababu ya shule ikanilazimu nije mjini nikawa naishi na ndugu zangu na sasa nina bachelor degree namshukuru Mungu. mimi si mwandishi mzuri samahani kama nitawakwaza.

Katika maisha yangu ya kuishi na ndugu nimepitia natatizo mengi sana ila kuna moja natamani kulipiza kisasi kwa namna inavyoniumiza . wanajamvi najitahidi sana kusahau lakini hii siku sitahisahau kuondolewa usichan wangu bila idhini yangu na mtu ambaye namwita baba mkubwa… wanaume ni ma. M.b.w.a

Nilihamia nyumbani kwa dada wa mama yangu ( ma mkubwa) nikiwa na umri wa 15 nilipoamia tu nyumbani kwake wakati huo nipo form two kwa ajili ya shule sitaki kutaja eneo ni kama miaka 8 sasa, mume wa mama yagu mkubwa akawa ananitaka kimapenzi wakati huo sijui hata mwanaume hapo kanifuatilia mdamrefu sana nIkataa. Kwa akili yangu ya kitoto nilimweleza mam yangu mkubwa mambo anyonifanyia baba nikaishiwa kutukanwa na kutengwa na ndugu pia wakiamini mimi natakakuvunja ndoa yao kama mzee alivowaeleza hapo ndipo mzee akapata nafasi nzuri.

Katika kupambana na hali hiyo siku moja nikiwa likizo naoga ili niende tution akaja akanivizia akanikuta naoga akanibaka . nilipata maumivu makali sana nilikaa kimya bila kumweleza mama yangu mkubwa ni siri yangu nawapa ninyi wnajamii mnisaidie kwa sasa siyo siri tena,

Nilishindwa kumweleza mtu huyo mzee alitengeneza mazingira ya me kukosa msaada hata kwa wazazi wangu kwa kisingizio me ni mvivu kusoma, ki ukweli sikua hivyo, basi ndugu jamaa na marafiki wakaniweka mbali nikiwa nipo mwenyewe sina msaada ndipo alipoweza timiza adhima yake.

Huyu ndiye mwanaume alinitoa bikra kwa ukatili huku nikipigwa na matusi juu mmh wanaume ninyi ni wanyama, tokea wakati huo nimeshakuwa na boyfriend zaidi ya 2 lakini nawaona makatili zaidi pale wanapoomba mzigo najikuta nachukia na nawachukia, pia nikiamua kuwapa basi tu kuondoa kero na sijawahi ona hiyo kitu furaha ya kufanya huo unyama zaidi ni matatizo na kero, tatizo kubwa nalo kutana nalo ni kupata mchubuko wakati wote nao fanya huo unyama. Wanaume nawachukia sana...............

Sasa ni hivi ni adhabu gani naweza mpa huyu mtu moyo wangu uridhike? Adhabu ninayoona inamfaa ni kumwondoa duniani nimeshajaribu mara nyingi nashindwa embu nisaidieni? Nataka nimuone anateseka kama mmimi nilivyoteseka na navyo teseka,….

natanguliza shukrani zangu,,,
m bwa mwenyewe.
Nalog off
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom