Ushauri: Adhabu gani inamfaa mtu huyu

Ushauri: Adhabu gani inamfaa mtu huyu

Status
Not open for further replies.
Pole sana bibie. Nisisitize athari za hili jambo ni kubwa sana. Usione watu hawataki ndoa, hawatulii kwenye mahusiano, wana ndoa ngumu, ni wakatili, ni wauaji, wamejikataa ukadhani wanafanya makusudi. Si ajabu hizi habari unaskia mtu kauawa hajaporwa chochote baadhi yao ni miss chaga type wamelipiza visasi vyao au kina kaka wanalipizia dada zao au waume wanalipizia wake zao.

Nina rafiki athari za kubakwa tena kwa kulawitiwa na binamu yake aliyekuwa akilelewa kwao mara kwa mara akiwa mdogo zilikuja kujitokeza akiwa na miaka kadhaa kwenye ndoa. Ghafla tu hataki kushiriki tendo la ndoa na mumewe na hataki hata amguse. Bahati nzuri alikuwa ulaya. Mume akajaribu kumpeleka therapy kujaribu kuamsha hamu ya mgegedo ndo ukweli ukabumburuka. Mume akapiga simu kwa wazazi bongo kuwaambia hiyo issue na akawaambia hayuko tayari kulipia gharama za therapy kwa uzembe wa wazazi! (hapa sikumwelewa). Wazazi washakuwa wazee, yule binamu nae ni mtu mzima ana familia yake. Wazazi wakaita wazee, ndugu wote wa karibu wakubwa kwa wadogo bila kutaja ajenda ya mkutano. Wakaelezea yoote yaliyotokea, binamu akalowa jasho, akakiri kosa lake na kubeba mzigo wa kulipia therapy ya binamu yake ulaya. Ilimbidi kuuza viwanja vyake viwili kufanikisha hiyo kazi.

Kwa mwanaJF wa kiume aliyewahi kumnajisi/kumbaka binti yeyote wa miaka 0-21 (emotional wiring inaendelea mpaka umri huu) hata kama imepita miaka mingapi namshauri amtafute amuombe msamaha. Kwa mwanaJF wa kike aliyewahi kufanyiwa ukatili huu akaumia akakaa kimya afunue moyo wake kwa mtu anayemwamini atoe duku duku lake kama mchakato wa kuanza kuponyesha kidonda. Unaweza kutumia clinical au spiritual approach kwa kumuona mwanasaikolojia au mlezi wa kiroho mkasaidiana kukabili hii shida. Nimewahi kusoma kitabu cha Mch Kagya - Nafsi iliyoumizwa hutafuta kulipiza kisasi. Nimemuelewa sana Miss Chagga.
 
mhhh,,so painfully ila siku zote mbora ni yule anaefikiri upande chanya,,binafsi ningekushauri umuachie mungu kwani ndie mwenye mamlaka ya kumuwajibisha yeyote kwa kiwango chochote,,,kulipa kisasi kwa namna yeyote wont do u any good zaid utajiingiza kwenye matatizo,

Muombe mungu pia akupe mwanaume sahihi ambae will always makes u happy and for sure u will forget all the trouble,,pole sana aisee
 
asante mamy! nimeshamwambia nitamfanya kitu na nitfanya tu,

usiangalie upande mmoja adhabu unayofikiria kutoa angalia pia na kwako huenda ikawa na madhara zaid hadi kupoteza maisha yako yote maisha yana machungu sna hasa kwa baadhi ya watu jaribu kutolifikiria sna pambana na maisha yako cku moja utasahau yote muombe mungu akuondelee msongo wa mawazo na roho ya kisasi.
 
mhhh,,so painfully ila siku zote mbora ni yule anaefikiri upande chanya,,binafsi ningekushauri umuachie mungu kwani ndie mwenye mamlaka ya kumuwajibisha yeyote kwa kiwango chochote,,,kulipa kisasi kwa namna yeyote wont do u any good zaid utajiingiza kwenye matatizo,

Muombe mungu pia akupe mwanaume sahihi ambae will always makes u happy and for sure u will forget all the trouble,,pole sana aisee

asante sana mkuu
 
usiangalie upande mmoja adhabu unayofikiria kutoa angalia pia na kwako huenda ikawa na madhara zaid hadi kupoteza maisha yako yote maisha yana machungu sna hasa kwa baadhi ya watu jaribu kutolifikiria sna pambana na maisha yako cku moja utasahau yote muombe mungu akuondelee msongo wa mawazo na roho ya kisasi.

sawa mkuuu
 
asanteni wote kwa ushauri wenu nitaufanyia kazi... Mungu awabariki ...
 
kwa nini anitese hivi .

yaani mpaka kuuwa wewe lazima alikugonga na t.i.g.o a.k.a shedr at el munya......anyway nenda sumbawanga ulizia kijiji cha tamasenga wanauza radi unamtumia ni sh.500 ila kama hakukukosea ina kula kwako.
 
Ishia hapo hapo,Huyo Baba yako mkubwa ndiye m.b.w.a,tafadhali sana usitujumlishe na ambao hatumo.

Kila mwanadamu yafaa ahukumiwe kwa matendo yake mwenyewe. Hata mume/mke huwezi kubebesha zambi za mke/mume. Kuna waliolelewa na baba zao wakubwa kwa upendo mkubwa kabisa. Haina maana kuwa wote wana roho za ana hiyo.
Wanaume wote hawawezo kuwa mbwa kwa matendo ya mtu mmoja.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom