Ushauri: Adhabu gani inamfaa mtu huyu

Ushauri: Adhabu gani inamfaa mtu huyu

Status
Not open for further replies.
Tangia jana nlikua naangali hii post. Ninacho weza kusema ni pole. Yote unayosema ni kwa sababu ya hasira.
Ebu kuwa karibu na Mungu uwe unaenda kwenye ibaada hakika Mungu atakusaidia. Hayo mawazo ulonayo ni shetani. Ukiua utaozea gerezani. Wakina mama mnaweza je kwanini usishirikishe vyama vinavyo watetea wakusaidie.??..pole tena best. Mia
 
Na wengine wanakaribia kuamka. patachimbikaje
Sista na mimi ndo naamka sasa ila muwe na amani kwangu.Ndo naingia maskani baada ya safari nimepitia kilabuni kupata chicha.Ndo pale niliposema jamani mai waifu wangu kama ndo mmiliki wa haus angenitimua au hamkusoma maada ile?Heaven on earth,miss chagga,boss,madame b,sanctus mtsimbe,smile
 
Kwanza sisi wanaume sio mbwa.Pili,mfanye atubu makosa yake na kisha umsamehe.Au tatu ukishindwa kumfanya atubu na kisha ukamsamehe,mpangie mkakati wa kumshughulikia lakn sio kumuua.Ila kama wewe ni muumini safi,KISASI CHA MUNGU NDIO MWISHO WA YOTE!

Yaani una maana na yeye ABAKWE AU?

Manake haya mafumbo ndio hatutaki hapa!
 
Kwenye stori kama hizi huwa napatwa na hasira zaidi kukuta mwanamke unaacha mwanao anabakwa na mumeo kisa unataka kulinda ndoa.yaani tumekua watumwa wa ndoa hadi tunasahau ubinadamu.huyo mama anajua sana umebakwa but she pretend it didnt happen.to me yeye ndio mkosaji zaidi
 
Tangia jana nlikua naangali hii post. Ninacho weza kusema ni pole. Yote unayosema ni kwa sababu ya hasira.
Ebu kuwa karibu na Mungu uwe unaenda kwenye ibaada hakika Mungu atakusaidia. Hayo mawazo ulonayo ni shetani. Ukiua utaozea gerezani. Wakina mama mnaweza je kwanini usishirikishe vyama vinavyo watetea wakusaidie.??..pole tena best. Mia

asante sana! sasa ninamtazamo kidogo tofauti na mwanzo nitamsamehe though kusahau ni ngumu sijui.. asante sana.
 
Hujui Miaka yako? ati 25-30 utakuwa unamatatizo kichwani miss chaga... hi habari utakuwa umeiandikia ile hospital yetu ya kule Dodoma Mi..mbe

najua ila sikutakana kuweka wazi kwa sababu zangu binafsi.... samahani kama imekukwaza mkuu!!!
 
Nadhani huna haja ya kulipiza kisasi kama ulishamezea miaka yote hiyo... huwa nasikia Msichana huwa anampenda sana yule aliyemtoa bikra sasa kwa upande wako wewe unamchukia aliyekutoa? anyway kwa kuwa hukutarajia na hukujua chochote potezea tu... ni ukoo wako huyo endelea na boyfriend wako mwambie akuoe au kama bado una machungu tafuta mwanaume mwenye moyo wa upole pale unaanza kuchubuka unamwambia na yeye aache kutenda japo wenye moyo huo tupo wachache sana... hiyo kitu ni taaaaaamu nashangaa kwa upande wako unasema huwa husikii kitu?? pengine hujapata mkunaji kipele...
 
u too much information! asante lakini kwa ushauri ndugu yangu.
 
Sasa we dada miss chagga mi nakushauri umfanyie kweli huyo m.bwa! We hata ka like hakuna!

Wanao kwambia umsamehe unawagonge like kibaaao!

Ina maana unaogopa au vipi? Manake mi naweza kukuunganishia vijana waka mkamua mavi mchana kweupee!
Au unasemaje!?
 
Last edited by a moderator:
Pole jamaani........I can feel the pain maana hadi wataka kumuua

My be you should seek profession help kama inakuaffect kiasi hiko

we unadhani hajaathirika huyu bado?
Kashavurugwa sana na mpaka hapo alipo anahitaji msaada mkubwa sana tena wa kiroho na kisaikolojia pia.
Habari ndo hiyo. Natumai ashanisoma kupitia mgongo wako.
 
tafuta ushauri nasaha/kisaikolojia
Me nimsicha mwenye umri wa miaka 25-30. Kwetu ni kijijini ila kwa sababu ya shule ikanilazimu nije mjini nikawa naishi na ndugu zangu na sasa nina bachelor degree namshukuru Mungu. mimi si mwandishi mzuri samahani kama nitawakwaza.

Katika maisha yangu ya kuishi na ndugu nimepitia natatizo mengi sana ila kuna moja natamani kulipiza kisasi kwa namna inavyoniumiza . wanajamvi najitahidi sana kusahau lakini hii siku sitahisahau kuondolewa usichan wangu bila idhini yangu na mtu ambaye namwita baba mkubwa… wanaume ni ma. M.b.w.a

Nilihamia nyumbani kwa dada wa mama yangu ( ma mkubwa) nikiwa na umri wa 15 nilipoamia tu nyumbani kwake wakati huo nipo form two kwa ajili ya shule sitaki kutaja eneo ni kama miaka 8 sasa, mume wa mama yagu mkubwa akawa ananitaka kimapenzi wakati huo sijui hata mwanaume hapo kanifuatilia mdamrefu sana nIkataa. Kwa akili yangu ya kitoto nilimweleza mam yangu mkubwa mambo anyonifanyia baba nikaishiwa kutukanwa na kutengwa na ndugu pia wakiamini mimi natakakuvunja ndoa yao kama mzee alivowaeleza hapo ndipo mzee akapata nafasi nzuri.

Katika kupambana na hali hiyo siku moja nikiwa likizo naoga ili niende tution akaja akanivizia akanikuta naoga akanibaka . nilipata maumivu makali sana nilikaa kimya bila kumweleza mama yangu mkubwa ni siri yangu nawapa ninyi wnajamii mnisaidie kwa sasa siyo siri tena,

Nilishindwa kumweleza mtu huyo mzee alitengeneza mazingira ya me kukosa msaada hata kwa wazazi wangu kwa kisingizio me ni mvivu kusoma, ki ukweli sikua hivyo, basi ndugu jamaa na marafiki wakaniweka mbali nikiwa nipo mwenyewe sina msaada ndipo alipoweza timiza adhima yake.

Huyu ndiye mwanaume alinitoa bikra kwa ukatili huku nikipigwa na matusi juu mmh wanaume ninyi ni wanyama, tokea wakati huo nimeshakuwa na boyfriend zaidi ya 2 lakini nawaona makatili zaidi pale wanapoomba mzigo najikuta nachukia na nawachukia, pia nikiamua kuwapa basi tu kuondoa kero na sijawahi ona hiyo kitu furaha ya kufanya huo unyama zaidi ni matatizo na kero, tatizo kubwa nalo kutana nalo ni kupata mchubuko wakati wote nao fanya huo unyama. Wanaume nawachukia sana...............

Sasa ni hivi ni adhabu gani naweza mpa huyu mtu moyo wangu uridhike? Adhabu ninayoona inamfaa ni kumwondoa duniani nimeshajaribu mara nyingi nashindwa embu nisaidieni? Nataka nimuone anateseka kama mmimi nilivyoteseka na navyo teseka,….

natanguliza shukrani zangu,,,
 
Pole sana lkn sisi siyo mbwa! jaribu kuonana na mwanasaikojia anaitwa chriss mauki atakupa msaada mkubwa sana, yupo pale mlimani anafundisha au nenda pale kanisa la DPC kinondoni utamkuta ! kawasaidia wengi wenye shida kama yako. sisi wakristo tunaamini kwamba tusilipize kisasi bali kisasi hulipwa na mungu: pole sana lkn wewe una afadhali sababu unapumua na pia umepata elimu. wapo watu wahutu kwa watusi walishuhudia wazazi wao wakiuwawa kama kuku na kikundi cha watu fulani , wapo watu wamechomewa nyumba na sasa wanataabika ,Jifunze kusamehe na kuachilia utabarikiwa na utakuwa ni mwenye furaha. kama huta samehe na kuachilia vitu hivi vinakuwa sehemu ya maisha yako na hutembea toka kizazi kimoja hadi kingine: Samehe dada yangu , tunakamilisha maumivu ya uchungu kwa kutangaza msamaha jifunze kwa Yesu kristo alikata roho kwa kusehe bab uwasamehe hawajui watendalo, pia stephano naye alipigwa mawe mpaka anakufa naye akiwa anakata roho alisema wasamehe, kiubinadamu hiwezekani lkn kwa msaada wa Mungu inawezekana, Mpe Yesu maisha yako , roho mtakatifu atakuwezesha kusamehe na kuachilia. zaidi unaweza ni pm
 
Inategemea unaishi wapi!

Kama uko Dar kwa laki moja! kuna jamaa wangeondoa korodani zake, wakakuletea kwenye mfuko wa rambo!

Huyo kumfanyizia ni lzm! Hakuna cha sijui samehe! Wala nini!
Wee mvutie pumzi tu! Hata akizeeka lzm umfanyizie!
Msamaha ni yeye na Mungu wake!
We unaweza kumsaidia kukutana na Mungu! Ikiwezekana Ondoa kabisa nyamafu hio!

Duh !nimebakia mdomo wazi
 
Me nimsicha mwenye umri wa miaka 25-30. Kwetu ni kijijini ila kwa sababu ya shule ikanilazimu nije mjini nikawa naishi na ndugu zangu na sasa nina bachelor degree namshukuru Mungu. mimi si mwandishi mzuri samahani kama nitawakwaza.

Katika maisha yangu ya kuishi na ndugu nimepitia natatizo mengi sana ila kuna moja natamani kulipiza kisasi kwa namna inavyoniumiza . wanajamvi najitahidi sana kusahau lakini hii siku sitahisahau kuondolewa usichan wangu bila idhini yangu na mtu ambaye namwita baba mkubwa… wanaume ni ma. M.b.w.a

Nilihamia nyumbani kwa dada wa mama yangu ( ma mkubwa) nikiwa na umri wa 15 nilipoamia tu nyumbani kwake wakati huo nipo form two kwa ajili ya shule sitaki kutaja eneo ni kama miaka 8 sasa, mume wa mama yagu mkubwa akawa ananitaka kimapenzi wakati huo sijui hata mwanaume hapo kanifuatilia mdamrefu sana nIkataa. Kwa akili yangu ya kitoto nilimweleza mam yangu mkubwa mambo anyonifanyia baba nikaishiwa kutukanwa na kutengwa na ndugu pia wakiamini mimi natakakuvunja ndoa yao kama mzee alivowaeleza hapo ndipo mzee akapata nafasi nzuri.

Katika kupambana na hali hiyo siku moja nikiwa likizo naoga ili niende tution akaja akanivizia akanikuta naoga akanibaka . nilipata maumivu makali sana nilikaa kimya bila kumweleza mama yangu mkubwa ni siri yangu nawapa ninyi wnajamii mnisaidie kwa sasa siyo siri tena,

Nilishindwa kumweleza mtu huyo mzee alitengeneza mazingira ya me kukosa msaada hata kwa wazazi wangu kwa kisingizio me ni mvivu kusoma, ki ukweli sikua hivyo, basi ndugu jamaa na marafiki wakaniweka mbali nikiwa nipo mwenyewe sina msaada ndipo alipoweza timiza adhima yake.

Huyu ndiye mwanaume alinitoa bikra kwa ukatili huku nikipigwa na matusi juu mmh wanaume ninyi ni wanyama, tokea wakati huo nimeshakuwa na boyfriend zaidi ya 2 lakini nawaona makatili zaidi pale wanapoomba mzigo najikuta nachukia na nawachukia, pia nikiamua kuwapa basi tu kuondoa kero na sijawahi ona hiyo kitu furaha ya kufanya huo unyama zaidi ni matatizo na kero, tatizo kubwa nalo kutana nalo ni kupata mchubuko wakati wote nao fanya huo unyama. Wanaume nawachukia sana...............

Sasa ni hivi ni adhabu gani naweza mpa huyu mtu moyo wangu uridhike? Adhabu ninayoona inamfaa ni kumwondoa duniani nimeshajaribu mara nyingi nashindwa embu nisaidieni? Nataka nimuone anateseka kama mmimi nilivyoteseka na navyo teseka,….

natanguliza shukrani zangu,,,
Unajua unaweza kumtia lupango hata kama ni miaka mingi imepita...
 
Pole kwa majeraha ya kimwili na nafsi! Binafsi nakushauri ukutane na mwanasaikolojia Criss Mauki wa UDSM kama alivyopendekeza mchangiaji alietangulia kwani hata ukiamua kumuua huyo mzee bikra yako haiwezi kurejea. Kuhusu kuchubuka wakati wa kusex pia ni psychological problem nikimaanisha kwamba wakati unasex na boyfriend wako wewe humuwazia bamkubwa. Pole sana
 
Pole sana lkn sisi siyo mbwa! jaribu kuonana na mwanasaikojia anaitwa chriss mauki atakupa msaada mkubwa sana, yupo pale mlimani anafundisha au nenda pale kanisa la DPC kinondoni utamkuta ! kawasaidia wengi wenye shida kama yako. sisi wakristo tunaamini kwamba tusilipize kisasi bali kisasi hulipwa na mungu: pole sana lkn wewe una afadhali sababu unapumua na pia umepata elimu. wapo watu wahutu kwa watusi walishuhudia wazazi wao wakiuwawa kama kuku na kikundi cha watu fulani , wapo watu wamechomewa nyumba na sasa wanataabika ,Jifunze kusamehe na kuachilia utabarikiwa na utakuwa ni mwenye furaha. kama huta samehe na kuachilia vitu hivi vinakuwa sehemu ya maisha yako na hutembea toka kizazi kimoja hadi kingine: Samehe dada yangu , tunakamilisha maumivu ya uchungu kwa kutangaza msamaha jifunze kwa Yesu kristo alikata roho kwa kusehe bab uwasamehe hawajui watendalo, pia stephano naye alipigwa mawe mpaka anakufa naye akiwa anakata roho alisema wasamehe, kiubinadamu hiwezekani lkn kwa msaada wa Mungu inawezekana, Mpe Yesu maisha yako , roho mtakatifu atakuwezesha kusamehe na kuachilia. zaidi unaweza ni pm

ASANTE sana nimeshamsamehe nimepata ushauri kutoka wengi wakisisitiza kusamehe.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom