MBWA wako umemuweka kwenye mabano, halafu unataka MISS CHAGGA amuadhibu MBWA wa mama yake mkubwa. Halafu yakimkuta umcheke!
asante watu8 kwa ushauri mzuri umenipa wakati mgumu kwa maneno hayo uliyoniambia nashukuru sana ni kweli kwa yote uliyosema nadhani sipo sahihi. but how can i forget this thing?
mimi nilishawai kubakwa ila nilibakwa kwa hiari yangu so naelewa kidogo uchungu ulionao!
wewe cha kufanya sasa hivi msamehe tu huyo mbuzi maana ni too late na hao maboy wako huwafeel cause huwapendi na wao hawako lovely kivile..wamwage..ujue ukiwa na historia mbaya ya mapenzi halafu ukampata mtu kimeo unaweza kujichukia hata wewe mwenyewe wewe tulizana kwanza
Ndugu yangu amini amini nakuambia kusamehe ni amri tena ni suala la lazima lakini kusahau inategemea na namna utavyolichukulia suala hili moyoni mwako.
Kosa namba moja unalolifanya na ndilo liwekalo donda ndugu moyoni mwako, ni ile IMANI uliyojijengea kuwa wanaume wote ni mbwa. Hii sio kweli ndio maana kuna wanawake wengi tu humu jamvini hutoa shuhuda namna waume au wachumba zao wanavyowatendea uzuri.
Ukiweza kujitoa katika kitanzi hiki, ninaamini huo ndio utakuwa mwanzo mpya wa maisha yako.
Pia ukitaka kuiponya nafsi yako basi anza kujenga mawazo chanya kuhusu wanaume, 'remember you're the boss of your own happiness'. Tambua kuwa Baba mkubwa anawakilisha kundi la wanaume waovu na wabaya, lakini pia yupo mwanaume mwingine ambapo najua akilini mwako utakuwa na mfano hai awakilishaye wanaume wenye hulka njema.
Nina mfano hai unaonihusu mimi mwenyewe, watu8 ni mmoja wa watu ambao wamepitia maisha ya kutengwa, kunyanyaswa na mashangazi baada ya baba yangu kufariki na ikafika mahali hadi kunyang'anywa kila ambacho mzee aliacha. Si hilo tu bali ndugu zangu hao wakaenda mbali zaidi na kudiriki kwenda kwa walozi ili wapate kuiondoa roho yangu na ya mama yangu nia kubwa ni wapate tu kurithi mali.
Pamoja na hayo yote, ubaya wa watu wachache (wanawake) haukunifanya niwachukie wanawake wote isipokuwa hao wachache walikuwa kinyume nami kwa wakati huo.
Kuna mambo huwa yanatutokea maishani kama mitihani ya kutufikisha mahali fulani ambapo ni pazuri zaidi.
ndo maana nikasema nilibakwa kwa hiyari yangu mwenyeweIla utakua ulitaka kwani ungeweza kubana miguu na kupiga mayowe ya hatari.
Nahisi ka vile hujabakwa, kwani we mwenyewe ulijielekeza kibla.
Kumbe ndo mana hutupendiii!!! Naomba unikubali walah nitakusahaulisha yte hayo.
kwahiyo ulitaka uzeeke nacho kinyuzi chako?! mshukuru baba kakutengezea njia bana.
wanaume PTUUUUUUUU!!!!. Halafu ukitoka hapo unampekekea mwanaume K*ma yako anaitimuatimua, mwenzako miss chagga ametuita MBWA na baada ya kubakwa na MBWA wa mama yake mkubwa akawa na mahusiano na MBWA wengine wawili, na mpaka sasa kila akikutana na MBWA kimwili huwa anajisikia maumivu.
naomba tuheshimiane mkuu! tusivunjiane heshima asubuhi hii.hata kama hunijui na mimi sikujui haina haja ya kudhalilishana hapaSasa we dada mbona kiswahili chako kinapandana hapa!?
Hebu tufahamishe vipi ULIBAKWA KWA HIYARI YAKO!?
Mwenye kunanihii kwa hiari yake hawezi kusema KABAKWA!
Sema labda jamaa alikwambia atakulipa halafu akalala mbele bila malipo!
naomba tuheshimiane mkuu! tusivunjiane heshima asubuhi hii.hata kama hunijui na mimi sikujui haina haja ya kudhalilishana hapa
ndo maana nikasema nilibakwa kwa hiyari yangu mwenyewe
kaka yangu ungejua alichonifanyia akiwezi lipwa kwa gharama yeyote labda tu nisamehe kama wengi walivyoshauri. napenda hela sana lakini kwa hili siwezi jifanyia ivi asante kwa ushauri.
m bwa mwenyewe.
Nalog off
napita tu ila umetutusi......Me nimsicha mwenye umri wa miaka 25-30. Kwetu ni kijijini ila kwa sababu ya shule ikanilazimu nije mjini nikawa naishi na ndugu zangu na sasa nina bachelor degree namshukuru Mungu. mimi si mwandishi mzuri samahani kama nitawakwaza.
Katika maisha yangu ya kuishi na ndugu nimepitia natatizo mengi sana ila kuna moja natamani kulipiza kisasi kwa namna inavyoniumiza . wanajamvi najitahidi sana kusahau lakini hii siku sitahisahau kuondolewa usichan wangu bila idhini yangu na mtu ambaye namwita baba mkubwa wanaume ni ma. M.b.w.a
Nilihamia nyumbani kwa dada wa mama yangu ( ma mkubwa) nikiwa na umri wa 15 nilipoamia tu nyumbani kwake wakati huo nipo form two kwa ajili ya shule sitaki kutaja eneo ni kama miaka 8 sasa, mume wa mama yagu mkubwa akawa ananitaka kimapenzi wakati huo sijui hata mwanaume hapo kanifuatilia mdamrefu sana nIkataa. Kwa akili yangu ya kitoto nilimweleza mam yangu mkubwa mambo anyonifanyia baba nikaishiwa kutukanwa na kutengwa na ndugu pia wakiamini mimi natakakuvunja ndoa yao kama mzee alivowaeleza hapo ndipo mzee akapata nafasi nzuri.
Katika kupambana na hali hiyo siku moja nikiwa likizo naoga ili niende tution akaja akanivizia akanikuta naoga akanibaka . nilipata maumivu makali sana nilikaa kimya bila kumweleza mama yangu mkubwa ni siri yangu nawapa ninyi wnajamii mnisaidie kwa sasa siyo siri tena,
Nilishindwa kumweleza mtu huyo mzee alitengeneza mazingira ya me kukosa msaada hata kwa wazazi wangu kwa kisingizio me ni mvivu kusoma, ki ukweli sikua hivyo, basi ndugu jamaa na marafiki wakaniweka mbali nikiwa nipo mwenyewe sina msaada ndipo alipoweza timiza adhima yake.
Huyu ndiye mwanaume alinitoa bikra kwa ukatili huku nikipigwa na matusi juu mmh wanaume ninyi ni wanyama, tokea wakati huo nimeshakuwa na boyfriend zaidi ya 2 lakini nawaona makatili zaidi pale wanapoomba mzigo najikuta nachukia na nawachukia, pia nikiamua kuwapa basi tu kuondoa kero na sijawahi ona hiyo kitu furaha ya kufanya huo unyama zaidi ni matatizo na kero, tatizo kubwa nalo kutana nalo ni kupata mchubuko wakati wote nao fanya huo unyama. Wanaume nawachukia sana...............
Sasa ni hivi ni adhabu gani naweza mpa huyu mtu moyo wangu uridhike? Adhabu ninayoona inamfaa ni kumwondoa duniani nimeshajaribu mara nyingi nashindwa embu nisaidieni? Nataka nimuone anateseka kama mmimi nilivyoteseka na navyo teseka, .
natanguliza shukrani zangu,,,
Me nimsicha mwenye umri wa miaka 25-30. Kwetu ni kijijini ila kwa sababu ya shule ikanilazimu nije mjini nikawa naishi na ndugu zangu na sasa nina bachelor degree namshukuru Mungu. mimi si mwandishi mzuri samahani kama nitawakwaza.
Katika maisha yangu ya kuishi na ndugu nimepitia natatizo mengi sana ila kuna moja natamani kulipiza kisasi kwa namna inavyoniumiza . wanajamvi najitahidi sana kusahau lakini hii siku sitahisahau kuondolewa usichan wangu bila idhini yangu na mtu ambaye namwita baba mkubwa… wanaume ni ma. M.b.w.a
Nilihamia nyumbani kwa dada wa mama yangu ( ma mkubwa) nikiwa na umri wa 15 nilipoamia tu nyumbani kwake wakati huo nipo form two kwa ajili ya shule sitaki kutaja eneo ni kama miaka 8 sasa, mume wa mama yagu mkubwa akawa ananitaka kimapenzi wakati huo sijui hata mwanaume hapo kanifuatilia mdamrefu sana nIkataa. Kwa akili yangu ya kitoto nilimweleza mam yangu mkubwa mambo anyonifanyia baba nikaishiwa kutukanwa na kutengwa na ndugu pia wakiamini mimi natakakuvunja ndoa yao kama mzee alivowaeleza hapo ndipo mzee akapata nafasi nzuri.
Katika kupambana na hali hiyo siku moja nikiwa likizo naoga ili niende tution akaja akanivizia akanikuta naoga akanibaka . nilipata maumivu makali sana nilikaa kimya bila kumweleza mama yangu mkubwa ni siri yangu nawapa ninyi wnajamii mnisaidie kwa sasa siyo siri tena,
Nilishindwa kumweleza mtu huyo mzee alitengeneza mazingira ya me kukosa msaada hata kwa wazazi wangu kwa kisingizio me ni mvivu kusoma, ki ukweli sikua hivyo, basi ndugu jamaa na marafiki wakaniweka mbali nikiwa nipo mwenyewe sina msaada ndipo alipoweza timiza adhima yake.
Huyu ndiye mwanaume alinitoa bikra kwa ukatili huku nikipigwa na matusi juu mmh wanaume ninyi ni wanyama, tokea wakati huo nimeshakuwa na boyfriend zaidi ya 2 lakini nawaona makatili zaidi pale wanapoomba mzigo najikuta nachukia na nawachukia, pia nikiamua kuwapa basi tu kuondoa kero na sijawahi ona hiyo kitu furaha ya kufanya huo unyama zaidi ni matatizo na kero, tatizo kubwa nalo kutana nalo ni kupata mchubuko wakati wote nao fanya huo unyama. Wanaume nawachukia sana...............
Sasa ni hivi ni adhabu gani naweza mpa huyu mtu moyo wangu uridhike? Adhabu ninayoona inamfaa ni kumwondoa duniani nimeshajaribu mara nyingi nashindwa embu nisaidieni? Nataka nimuone anateseka kama mmimi nilivyoteseka na navyo teseka,….
natanguliza shukrani zangu,,,