Ushauri: Adhabu gani inamfaa mtu huyu

Ushauri: Adhabu gani inamfaa mtu huyu

Status
Not open for further replies.
Pole. Kama unaweza kumwadhibu bila kupata madhara do it. Do it. Mtanisamehe kwa huu ushauri kwa kuwa hata mimi kuna mtu nimemweka kwenye mabano.

MBWA wako umemuweka kwenye mabano, halafu unataka MISS CHAGGA amuadhibu MBWA wa mama yake mkubwa. Halafu yakimkuta umcheke!
 
Pole sana mpenzi kwa yalokukuta na najua maumivu gani unyayopitia haswa ndugu zako wanapokugeuka....Sielewi kwanini jibaba jizima lipewe kipaumbele na liaminiwe infront of an innocent child...Roho inaniumaaaa...Thats why through my whole childhood i never dared say anything home cause i knew they would never believe me "THE STUPID CHILD" they would just abuse me and insult me...I cant say much but najua maumivu unayoyapitia...Mungu atakupa nguvu umsamehe na usahau..Once again pole love!!
 
Umeathirika kisaikolojia unahitaji mwanasaikolojia akusaidie kukutoa kwenye hali hiyo uliyonayo maana hata tendo la hulifurahii
 
Pole miss chagga
Tafadhali usimuue, hata umia wala jutia chochote.
Jitongozeshe huku umewaandaa wahuni uliowalipa. Akitia team basi wanaume wamfanyizie huku akirekodiwa na kupigwa picha.
Baada ya hapo uanze kum-black mail kuwa utazitundika picha kwenye mstimu wa umeme mtaani au kuwapa global publishers au kuziweka video rahatupu iwapo hata kupa mshiko utakao mtajia wakati huo.
Fanya ivo mpaka utakapojenga nyumba yako na kupata ka-vits au kabajaji ka kukuweka mjini.

kaka yangu ungejua alichonifanyia akiwezi lipwa kwa gharama yeyote labda tu nisamehe kama wengi walivyoshauri. napenda hela sana lakini kwa hili siwezi jifanyia ivi asante kwa ushauri.
 
kaka yangu ungejua alichonifanyia akiwezi lipwa kwa gharama yeyote labda tu nisamehe kama wengi walivyoshauri. napenda hela sana lakini kwa hili siwezi jifanyia ivi asante kwa ushauri.


No you are talking....

Usipokuwa mwangalifu utazua janga la pili tena litakalowaingiza waliokuwemo na wasiokuwemo kama mtego wa panya...

Babu DC!!
 
dada anahaki ya kusema hivyo kama kweli alitendewa hivyo ,mi mwenyewe nina demu ambaye alibakwa nilitaka kumuacha wanajf wakanishauri mpaka sasa nadumu nae ,hii nikama vita sio muda wakuoneana huruma dada fanya kweli ukimuacha atabaka mdogo wako ,u must b akiller 4 one people,
Sasa si anatakiwa umuue huyo jamaa au atuue wanaume wote?
Nalog off
 
Mbona kama we ndo huyo baba ake mkubwa, funguka maana umejibu kwa hasira kiufupi.
hahahahah hapana sio mimi,maana yeye katujumlisha wanaume wote na kutuita hivyo,badala ya kumtukana huyu aliyemtenda tu.
Nalog off
 
kumbuka mlipa kisasi ndiyo huwa anaonekana mbaya na mara nyingi hujuta kwa nini alilipa kisasi. Chukulia huyu dada amuue huyo baba yake mkubwa halafu akamatwe kwa kosa la mauaji, nina hakika unajua mlolongo mzima wa kesi za mauaji Tz. Amuachie MUNGU tu.

SI Ndio nikasema ampigie hesabu? ukipanga mambo yako kwa akili, mbakaji anatangulizwa akhera na kesi hakuna!.

nA INGEKUWA HUYO NI DADA YANGU, haki ya mama mi nakwenda jela! potelea mbali.
 
sisi mbwa hatuwezi kukushauri kitu zaidi ya kubweka tu.
 
Kuna jamaa anaitwa surambaya pale manzese!
Huyo ukimpa laki tu! Na nauli ya kuondokea Dar.!!
basi Huyo mbwa aliyo kufanyizia utamkuta kafa kifo cha mende! Na amenajisiwa vilevile!!

Mnfnssssssss! Surambaya ana laaaana!
 
Sikushauri kuua.unaweza ishia jela.cha msingi sahau kkabisa yaliyopita.puga maombi sana mungu atakuongoza.🙂🙁
 
Sikushauri kuua.unaweza ishia jela.cha msingi sahau kkabisa yaliyopita.puga maombi sana mungu atakuongoza.🙂🙁

We ngoja ubakwe siku moja halafu aje mtu aitwae peho akwambie, ..sahau yaliyopita..bla..bla..bla! Kama hukumkata kofi la uso!
Sister miss chagga mi nakwambia bahati niko mbali tu!
Mi ningekuja huko nikamfanyia huyo jamaa kitu ya ajabu!

Mnfnsssssssssss!
 
Last edited by a moderator:
Shkukrani kwa social netwotk I bet hata suicide zimepungua sana, when u exhale such confusing issue u feel relaxed
 
mimi nilishawai kubakwa ila nilibakwa kwa hiari yangu so naelewa kidogo uchungu ulionao!
wewe cha kufanya sasa hivi msamehe tu huyo mbuzi maana ni too late na hao maboy wako huwafeel cause huwapendi na wao hawako lovely kivile..wamwage..ujue ukiwa na historia mbaya ya mapenzi halafu ukampata mtu kimeo unaweza kujichukia hata wewe mwenyewe wewe tulizana kwanza

Ulibakwaje kwa hiari yko!!
 
assume umenikaribisha home kwako..ukaniambia njoo room nikaingia hapo ukinibaka nitasemaje? si ujinga wangu nilifata nini kwako?

Ila utakua ulitaka kwani ungeweza kubana miguu na kupiga mayowe ya hatari.
Nahisi ka vile hujabakwa, kwani we mwenyewe ulijielekeza kibla.
Kumbe ndo mana hutupendiii!!! Naomba unikubali walah nitakusahaulisha yte hayo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom