Ushauri: Adhabu gani inamfaa mtu huyu

Status
Not open for further replies.
Pole sana miss chagga!Kuna thread fulani ulichangia humu JF,sasa nimeweza kuelewa maumivu na mateso uliyonayo! miss chagga,Mungu anatukataza kulipiza kisasi,anatuambia kulipa kisasi ni kazi yake!!
Wewe sio wa kwanza miss chagga,wapo wengi walitendewa unyama na wameweza kuishinda hiyo hali na wanaendelea na maisha!Nenda kanisani mwambie padre au mchungaji na atakufanyia kanseling na maombi,pia Muhimbili hosp nadhani wana wataalamu pia wa kufanya kanseling,utapona na utaendelea vema na maisha yako.Maisha yenyewe ni mafupi haya,tunatakiwa kuwa na amani na watu na tuyafurahie maisha!Yesu anasema,Wapendeni adui zenu!You will be ok miss chagga!
 
Last edited by a moderator:
Piga magoti uombe kwa ajili yake na MUNGU atatenda kitu ambacho kitakuja kumuonesha mateso yako uliyonayo moyoni. Kumuua si solution ya hilo bali mpe nafasi MUNGU atakurejeshea faraja.
 
Zidi kumuomba mungu na jitahidi kutoa hisia ya hilo jambo akilin mwako. Naelewa ni ngumu ila naamin inawezekana. Kuhusu kisasi au malipizi , siamin katika hilo kwani waweza jiletea matatizo zaidi na ukajikuta wewe ukaonekana ndo tatizo kuliko hata ba yako mkubwa
 
Pole miss chaga,,, muue taratibu!!!!!! kuna sumu fulani ivi unamuwekea kidogo kidogo kwenye juise au chakula inamuua taratibu kwa mateso nywele zitamnyonyoka kama ana ukimwi vile hata akienda hosp hatapona zaidi ya kusubili kufa tu.
Alichokifanya ha deserve kusamehewa hata kidogo.
 
Last edited by a moderator:
Ngoja nikutafutie namba za ulimboka kwan aliwahi kusema kuwa waliomteka na kumtesa anawafahamu so anaweza akatupa namba ya mmoja wao then nitakutumia kwenye sms.!!!!Wala usihofu kucha na meno kung'olewa bila ganzi atang'olewa tuu ..
 
Pole sana mpendwa,najua inauma sana kufanyiwa kitendo ambacho hukujiandaa nacho tena kwa mtu wa karibu kiasi hicho...

Sidhani kama kulipiza kisasi ni suluhisho..mwache Mungu atamlipa,malipo ni hapa hapa duniani na mahesabu ni badae,jaribu kusamehe japo kusahau ni ngumu
 
Okey but anaendelea nisema vibaya kwa ndugu mens are not good let me go ahead having boys for fasion and i dont fil them at all .
 
Mi ni mwanaume,nilikwazika ulipotamka wanaume wote ni ma.m.b.w.a.
Ila kwa hayo uliyopitia japo si sahihi kutoa hukumuishi kiasi hicho lakini nahisi kwa mazingira uliyopitia unaweza kueleweka Kwanini umesema hivyo,kwa moyo mkunjufu nikupe pole sana dada yangu kwa mkasa Huo.back to topic.
Visasi na malipizi havitakusaidia sana sana vitaongeza uzito,majuto na hatia kwenye nafsi yako,hatia ya mauaji itakuwinda siku zote zaidi ya hiyo kumbukumbu ya manyanyaso,.Bado msamaha ni tiba sahihi zaidi kwako.
Fanya hivi (najua ni ngumu lakini ndio tiba pekee)mtafute huyo mtu aliyekufanyia hivyo na umsamehe kutoka moyoni na kuanzia leo umchukulia kama rafiki na sio adui,hata kwa maombi jitahidi kifanikisha Hilo.
 
mmmm ad me mwenyewe nimeumia nikifikilia maumivu uliyapata pale tena kwa kulazmishwa naic uchungu.ama hakka mungu alisema 2samehe mara sabin lakn kunasehem unafka unaona kumsamehe m2 inakua kero kwa ilotendo alokufanyia me naona nawe mfanyizie 2
 
Kuna washkaji huwa wanalalamika......nawaambia the same thing.....wakati mwingine wasichana tulio nao wamepitia mambo ya ajabu.....wakati mwingine kuna mambo anaweza kufanya kwenye relationship wewe unapotezea tu...
 
Pole sana nahisi uchungu hasira na maumivu juu ya baba mkubwa but nakushauri unatakiwa kuachia hasira uchungu na maumivu yote yaliyopita sio kazi rahisi kwa akili za kibinadamu ila amini kwa mungu inawezekana. Tafuta sehemu yoyote ambayo unaweza kupat msaada wa kiroho naamin yataisha. Hata ukiamua kulipiza kisasi bado roho ya mauti inakusumbua na utaendelea kuteseka na vitu viwili katika maisha yako.
 
Pole asee tafuta wataalam wa saikolojia mara moja kwa mustakabal wa maisha yako ..maana ukimkosa kumlipiza kisas huyo baba ako mkubwa ...sina iman na usalama wa mume wako mtatajiwa ...ila pia si vema kutuona wanaume wote ni ma..m..b...wa..hapana asee
 
asante mamy! nimeshamwambia nitamfanya kitu na nitfanya tu,

Bi mkubwa habari yako.

Hebu jaribu kutuliza akili yako na roho ya kulipiza kisasi na ile ya mauaji itulie.

Hivi jaribu kujiuliza jambo moja, unataka kumuua mwanadamu mwenzako je wewe ndiye uliyempa pumzi ya uhai?

Maisha na uhai ni zawadi mtu apewayo na Mungu wala hakuna mwanadamu awaye yoyote mwenye hati miliki ya pumzi ya mwanadamu mwenzake.

Kosa lililofanywa na Baba yako Mkubwa lisikufanye uingie kwenye laana ya kutoa uhai wa mwanadamu mwenzako. Je unakumbuka jinsi Kaini alivyopata maapizo toka kwa Mungu pale alipomuua nduguye?

Nikiachana na hilo sasa naelewa kwa nini katika ule uzi wa juzi wa yule dada aliyeeleza kuwa huwa hana hamu ya mapenzi, nawe ulichangia vile ulivyochangia.

Kumbe historia yako iliharibiwa mahali fulani na imepelekea mfumo wako mzima wa mahusiano kuharibika.

Ili uutibu moyo na akili yako inakubidi uamue kupadilisha namna unavyowachukulia wanaume.

1. Baba yako mkubwa hawakilishi wanaume wote duniani, wakati wewe unamuona ni mbaya lakini upande wa pili mkewe anamuona ndiye mwanaume bora kuliko wote duniani.

2. Waungwana husema kwamba, 'Kila shetani huwa na mbuyu wake'. Bi mkubwa inakupasa uanze kuamini kuwa kuna mwanaume mmoja ambaye aliumbwa kwa ajili yako naam kwa ajili ya moyo wako.
Mwanaume huyo kwa namna nyingine huwa hatokei kama nafsi, moyo na akili yako havijaanza kumuumba na kuamini katika njia ya chanya.

3. Jifunze kusamehe kama ambavyo wewe unavyosamehewa na wale waliokukosea.
Jaribu kujiuliza maishani mwako ni wangapi huwa unawakosea na makosa ambayo hao watu wanatamani walipize kisasi lakini watu hao wamekusamehe!!

Mwisho;
Usiache abadani kuomba, kusali na kuifuata njia ya Mungu katika maisha yako.
Kwa sisi Wakristo sina uhakika kama nawe ni miongoni mwetu, huwa tunaamini Mungu ndiye pekee anayelipiza kisasi kwa adui zetu.
 
miss chagga for god seek learn to forgive and forget, najua how painful is, ukija ukajaribu kumua au kufanya kitu chochote kibaya haitamumiza yeye tu, bali itawaumiza familia nzima, jaribu kufanya hivyo mpendwa daima ntakuombea ufanikiwe

Is up to God to forgive that swine!

All miss chagga could do is to arrange a meeting between that swine and God!
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom