Ushamba wa JK na mawaziri wake Muscat

Mi pia nililiona hilo la Rais pamoja na Waziri wake kushangaa shangaa hovyo mbele ya kamera,
mi sipingi kushangaa kwao ila why washangae kinoma noma hivyo
halafu ndo wamefika tuu, hata ile kupotezea kwanza wasome ramani?
lol... Aibu si aibu sijui hata niiiteje

ndio wana haki ya kushangaa na tena ni ugenini!
Lakini ushangaaji ule Hapana!!
 
Ila hii inamaanisha kwamba hata waandishi wa habar wameshamchoka na ndio manawanaonyesha mambo ya kumdhalilisha so mckacrikike huu ni ukwel halisi JK ametudhalilisha hv hata hawa wenzetu marais wa nchi nyingne wakija huwa wanamambo ya kushangaza kiac hiki kuna vitu vya kushangaa, na angeshangaa kwa staha kidogo coz ajue anaingia kwenye recod ya kutembelea lile kahal la Muscat sasa ni wagen wangapi wamefika pale na wameshangaa kama yeye?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Hata mimi niliona hiyo, ni aibu sana. Mfalme alikua anaongea wao macho jujujuju tu na hawakujali kamera!
 
Kwa kuwajuza tu, hilo jumba linaitwa Al Alam Palace (Kasar la Bendera) na hicho chumba cha kupokelea wageni ni chumba cha dhahabu na juu walipokuwa wanatazama kuna bendera za dunia nzima zimepambwa ki aina yake kwa kutumia dhahabu na rangi za dhahabu, Kikwete anatazama Tanzania imo? na kila mgeni hushangaa zilivyopambwa akifika hapo.

[video=youtube_share;aZd1agYcaLo]http://youtu.be/aZd1agYcaLo[/video]
 
Nilikuwa naangalia habari katika kituo kimoja cha runinga, nikaona mapokezi waliyopewa popo JK na vibaraka wake kwenye kasri la Sultan huko Muscat, kilichonivutia ni jins ****** na vibaraka wake walivyokuwa wanashangaa paa la kasri la sultan! Duh! Wote walikuwa wakiinua vichwa juu bila kujali kamera zilizokuwa mbele yao. Nikagundua kwa nn viongoz wetu wanapenda kusafiri, hakuna chochote cha maana zaidi ya kwenda kushangaashangaa nchi za watu. Kwa nn na nyie msiijenge Tanganyika yenu wenzenu waje kushangaa?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
mimi pamoja na tuliokuwa tunaangalia taarifa ya jana (tarehe,15/10/2012) saa mbili usiku tulimshangaa sana Rais wetu kushangaa dari la kasri lile,na kamera iliwachukua kwa uzuri sana,hawawezi kukataa kwamba walikuwa hawashangai dari
 
Hata mimi niliona hiyo, ni aibu sana. Mfalme alikua anaongea wao macho jujujuju tu na hawakujali kamera!
Queen+Elizabeth+II+Queen+Elizabeth+II+Visits+7dSPNT8SQr-l.jpg


402



Hakuna aneingia humo kwa mara ya kwanza asitazame juu, muone Malkia wa Uingereza hapo, anafanya nini?
 
Sasa hapo Zomba, malkia anatazama wapi? Kwani kaonesha kwamba anatazama dari hapo?
 
Jamani, hata hili mnasema,
mtu yoyote ambae haishi mle ndani lazima akiingia kwenye nyumba ya vile ashangae sana.
Waarabu wanajulikana duniani kwa kasri za ajabu ni lazima kushangaa.
Hata mie nilitamani mwenye camera atutembezee tuone maajabu yale.
Au unatak akutuambia kuwa wewe chumba kama kile huwa unakiona kila siku??
 
Sasa hapo mbowe ameingiaje? Kwel nimeamin wew walewale wew gamba tu, acha umburula au kuna kitengo umepewa ikulu

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom