Ushamba wa JK na mawaziri wake Muscat

huko uarabuni wamefata kubembeleza wawekezaji au? au wanataka watulipe fidia jinsi wwaliyotesa babu zetu utumwani?
 
Haya tena wazee wa kukuza mambo na vitu vidogo vidogo. Nani asiyeshanga akiona kitu kigeni kwake? Hata uliyeanzisha thread hii ulimshangaa Kikwete alivyokuwa anashangaa. Kwa kuwa kushangaa kwa kikwete ni jambo geni na jipya kwako ulishangaa ndio maana umetuambia hapa. Punguzeni kuanzisha mambo madogomadogo. Ni wakati wa Moderator kuhakiki na kuondoa vitu vidogovidogo kama hivi.
 
Hata Malkia wa Uingereza alipotembelea hapo alitazama juu, kile kinaitwa chumba cha dhahabu na hakifunguliwi ila siku ya ujio wa Wageni wa Kitaifa wanaopigiwa mizinga 21. Hapo sasa. Nna uhakika unatamani kujuwa walikuwa wanashangaa nini kilichopo juu hapo. Niulize nikujuze.
acha uongo malkia wa uingereza mara ya mwisho kuja ilikuwa kabla ya uhuru wa tanganyika!
 
ndo wabongo tulivyo, tunapenda sana umbea na majungu.
 
a.k.a nyigine hiyo mnamtafutia baba wa watu.binaadamu tumeumbiwa mambo mengi likiwamo na na kushangaa,labda hilo paa lilikuwa lina vuja ndio walikuwa wanaangalia wapi livujapo?,tumuombee arudi salama tumuulize ilikuwaje mbona macho yalikuwa juu.kumbuka kile kipindi cha MEET THE NATIVES1
 
Watu wasitetee ujinga wa viongozi wetu hapa. Hii ni aibu na wala sio ufahari.

Yaani viongozi wa Tanzania wako ikulu ya Muscat wanafanya mazungumzo na mfalme wa Oman, macho na mawazo yao yako kwenye kuta na paa la ikulu ya mascat na sio kinachozunguzwa!!

Wameenda Ikulu kushangaa au kufanya mazungumzo?

Tafuta kazi za kufanya mbona ujamshauri Dokta Slaa aache kwenda Vatican kila mwezi.
 
mbona hata wzungu huwa wantushngaa tulivyo WAJINGA? acha washangae viongozi wasio wabinafsi wanaopenda nchi zao
 
acha uongo malkia wa uingereza mara ya mwisho kuja ilikuwa kabla ya uhuru wa tanganyika!

Wewe nawe umelala usingizi, watu wanaongea wali wewe unaongea mbege.

Photo: Their Majesties. Image Credit: Mohammed Mustafa, Gulf
fo29no-oman-uk.jpg
 
ye mwenyewe hajiheshimu, kwa nini aheshimiwe!!! Hana maana, ni janga taifani mwetu!

Tena pamoja na hayo alijidharulisha mwenyewe maana alishangaa mpaka naona waliokuwa wanashoot wakamvuta
ili mkuonyesha alivyoshangaa.
 
Mkuu dharau ni ipi hapo?
Ukweli ni ukweli hata kama ni mchungu.
Rubani anatuabisha sana, juzi juzi alikuwa Ghana anashangaa mananasi ya kawaida kabisa, kwa nini asiende Lushoto tu, mananasi yamejaa mpaka yanaoza.
Siwezi kusupport upumbavu kama huu.

attachment.php
 
Haya tena wazee wa kukuza mambo na vitu vidogo vidogo. Nani asiyeshanga akiona kitu kigeni kwake? Hata uliyeanzisha thread hii ulimshangaa Kikwete alivyokuwa anashangaa. Kwa kuwa kushangaa kwa kikwete ni jambo geni na jipya kwako ulishangaa ndio maana umetuambia hapa. Punguzeni kuanzisha mambo madogomadogo. Ni wakati wa Moderator kuhakiki na kuondoa vitu vidogovidogo kama hivi.
Wewe huna akili, the same category na huyo sleeping mode Pilot.

attachment.php
 
Hata Malkia wa Uingereza alipotembelea hapo alitazama juu, kile kinaitwa chumba cha dhahabu na hakifunguliwi ila siku ya ujio wa Wageni wa Kitaifa wanaopigiwa mizinga 21. Hapo sasa. Nna uhakika unatamani kujuwa walikuwa wanashangaa nini kilichopo juu hapo. Niulize nikujuze.
kichenchede kimerudi!
 
Nilikuwa naangalia habari katika kituo kimoja cha runinga, nikaona mapokezi waliyopewa popo JK na vibaraka wake kwenye kasri la Sultan huko Muscat, kilichonivutia ni jins ****** na vibaraka wake walivyokuwa wanashangaa paa la kasri la sultan! Duh! Wote walikuwa wakiinua vichwa juu bila kujali kamera zilizokuwa mbele yao. Nikagundua kwa nn viongoz wetu wanapenda kusafiri, hakuna chochote cha maana zaidi ya kwenda kushangaashangaa nchi za watu. Kwa nn na nyie msiijenge Tanganyika yenu wenzenu waje kushangaa?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
unaumwa mavi kama sio uharo.
 
hakuna cha ajabu wala jipya hapo kwani hata wao ni binadamu na macho huwa hayana pazia...hata ingekuwa ni wewe u cud hav done same thing, or even worse that whan u saw...so plz tafuta hoja nyingine hii NO!
Nilikuwa naangalia habari katika kituo kimoja cha runinga, nikaona mapokezi waliyopewa popo JK na vibaraka wake kwenye kasri la Sultan huko Muscat, kilichonivutia ni jins ****** na vibaraka wake walivyokuwa wanashangaa paa la kasri la sultan! Duh! Wote walikuwa wakiinua vichwa juu bila kujali kamera zilizokuwa mbele yao. Nikagundua kwa nn viongoz wetu wanapenda kusafiri, hakuna chochote cha maana zaidi ya kwenda kushangaashangaa nchi za watu. Kwa nn na nyie msiijenge Tanganyika yenu wenzenu waje kushangaa?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Sipendi style za Rais jinsi anavyosafiri kwa sana akihangaika huko na huko kutafuta wawekezaji, marafiki wa misaada ili nchi iendelee wakati hela anazotafuta kuna watanzania chini ya kumi wamezihifadhi katika benki za Uswisi na kwingineko na akiwa kama mkuu wa nchi ana uwezo wa kuzirudisha na kutaifisha mali zao (Mkumbuke hayati Moringe Sokoine na wahujumu uchumi).
Pia tuna rasirimali za kutosha kuliendeleza taifa letu, kwa nini kutafuta misaada inayoambatana na masharti ya aibu au kutuletea wawekezaji wasio na uchungu na nchi hii? Wanakuja kuvuna wasipopanda tu.

NB: Mtoa mada sijapenda neno ulilotumia (popo), kumtukana Rais ni dhambi (kama wewe ni Mkristo, soma Romans 13: 1-7, na kama una imani nyingine pia siamini kama manaruhusiwa kumtukana kiongozi wa nchi). Ukimuona rais anaenenda ndivyo sivyo muombee kwa kuwa bado ana miaka mitatu ya kuongoza nchi hii. Just be patient and pray for him.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom