Ushamba wa JK na mawaziri wake Muscat

Mashambulizi ya kuogofya Nigeria
120501184938_maiduguri_304x171_bbc_nocredit.jpg

Waathiriwa wa mapigano mjini Maiduguri

Ndio maana nimetumia siku hizi kupinga viboko haramu vya mbagala....
 
Rais harekebishwi Jamii forum, hapa ni chuki, lugha chafu za kuudhi, fikra finyu kwa kwenda mbele. Ila angekuwa #$%%%^^ tungesema anatafakari kwa kuangalia juu. Fanyeni analysis ya nini kimefanyika katika kipindi chake angalia miundo mbinu mfano mdogo. Kipindi cha Nyerere, Mwinyi, Mkapa na nini kila mmmoja alichokifanyia nchi kitakachodumu. Hatuangalii utakatifu hapa. Tembeeni muone. Siyo kuishia tu kwenye runinga na FB.

Una maana gani kusema rais harekebishwi if, una maana gani kusema jf ni fitna kwenda mbele wakati wewe mwenyewe ume register humu,?
 
Hawezi kulalamika maana anajua wako wengi.
Chuki utakuwa nazo wewe na wala sio sisi tunaotaka kumrekebisha rais wetu.

Anatia aibu sana, kutwa kuzurura duniani kwa kodi zetu wakati nchi yetu inazidi kuchoka zaidi.

Mama Salma naye ameanza kulalamika pia, maana Rubani siku hizi anasafiri mwenyewe na kumwacha mkewe bongo, kisa ana mtoto mchanga.
 
huko uarabuni wamefata kubembeleza wawekezaji au? au wanataka watulipe fidia jinsi wwaliyotesa babu zetu utumwani?

Ndio mlivyodanganywa?

Na hawa no wajomba zako? wanateswa na shangazi zako?

zimbabwe-jail-trelawney-2012-6-4.jpg
 
Kushangaa hakuna mwenyewe....Hata askari wa Bush walishangaa walipovamia maksiri ya Saddam Hussein kule Iraki
 
Kaka kushangaa hakuzuiliki, inategemea tuu uko wapi nadhani hata wewe katika mambo yaliyopo kkwenye historia hata 1/10000000 hujafikisha kwa hiyo na wewe ipo siku tutakukuta unashangaa
 
Kushangaa mbona kawaida,thats why kuna maajabu ya dunia,kwasababu ya hicho kitendo cha kushangaa.
 
Subiri uone mkataba watakaoingia, si hakuna aliyekuwa makini na kinachozungumziwa hapo wote wanaitikia ndiooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo! Halafu baadaye wanakuja kutekeleza mwenyewe utashangaa kama kweli rais na jopo lake walikubaliana na issue kama hiyoooooooooooooooo!!!!!!!!!!
 
Nilikuwa naangalia habari katika kituo kimoja cha runinga, nikaona mapokezi waliyopewa popo JK na vibaraka wake kwenye kasri la Sultan huko Muscat, kilichonivutia ni jins ****** na vibaraka wake walivyokuwa wanashangaa paa la kasri la sultan! Duh! Wote walikuwa wakiinua vichwa juu bila kujali kamera zilizokuwa mbele yao. Nikagundua kwa nn viongoz wetu wanapenda kusafiri, hakuna chochote cha maana zaidi ya kwenda kushangaashangaa nchi za watu. Kwa nn na nyie msiijenge Tanganyika yenu wenzenu waje kushangaa?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
dogo acha 'kujipendekeza'.... huwezi kumdharau rais wako kwa kumuita 'popo'! shame of you! naona uhuru wako umezidi mipaka hata unamtuka baba wa seriakali yetu! take care somebody might come behind your neck! nakushauri tu my dogo, usicheze na serikali like that! utajuta!
 
Aisi! Jamaa bado ana miaka mitatu ya kuendelea kufanya safari za kwenda kushangaa na kuwaalika waje wachukue ardhi yetu
 
Kutembea ni kujifunza, km wewe utahisi Presidaa alikosea basi inatakiwa tukushangae wewe! Rais wetu tumemtuma kwa kodi zetu kwenda kuleta mambo mapya ndani ya nchi hii, hata km tutashindwa viwanda na majengo nayo! Big up Mr President.
 
Nilikuwa naangalia habari katika kituo kimoja cha runinga, nikaona mapokezi waliyopewa popo JK na vibaraka wake kwenye kasri la Sultan huko Muscat, kilichonivutia ni jins ****** na vibaraka wake walivyokuwa wanashangaa paa la kasri la sultan! Duh! Wote walikuwa wakiinua vichwa juu bila kujali kamera zilizokuwa mbele yao. Nikagundua kwa nn viongoz wetu wanapenda kusafiri, hakuna chochote cha maana zaidi ya kwenda kushangaashangaa nchi za watu. Kwa nn na nyie msiijenge Tanganyika yenu wenzenu waje kushangaa?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Sasa wewe naona unatafuta kupigwa na wazee wa usalama. Yaani unauliza an obvious answer kwa mtu kama Kikwete? Yeye mwenyewe hajijuwi kama ni rais wa Tanzania na hata mamlaka yake ya urais hayajuwi ila anajuwa kula tu hela za nchi na kutalii duniani kote bila kufanya la maana katika nchi yake. Huyu mtu ilibidi asiwe rais hata kidogo, anatudharaulisha sana watanzania duniani kote. Kwa kuondoa kero ya kumwajibisha rais feki inabidi tuwe na kipengele katika katiba mpya ya kumfukuza na kumfunga rais feki pale afanyapo haya anayofanya huyu yanki Kikwete.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom