Ushamba wa JK na mawaziri wake Muscat

Ushamba wa JK na mawaziri wake Muscat

Nilikuwa naangalia habari katika kituo kimoja cha runinga, nikaona mapokezi waliyopewa popo JK na vibaraka wake kwenye kasri la Sultan huko Muscat, kilichonivutia ni jins ****** na vibaraka wake walivyokuwa wanashangaa paa la kasri la sultan! Duh! Wote walikuwa wakiinua vichwa juu bila kujali kamera zilizokuwa mbele yao. Nikagundua kwa nn viongoz wetu wanapenda kusafiri, hakuna chochote cha maana zaidi ya kwenda kushangaashangaa nchi za watu. Kwa nn na nyie msiijenge Tanganyika yenu wenzenu waje kushangaa?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Kushangaa ni moja ya njia ya kujifunza
 
Mkuu dharau ni ipi hapo?
Ukweli ni ukweli hata kama ni mchungu.
Rubani anatuabisha sana, juzi juzi alikuwa Ghana anashangaa mananasi ya kawaida kabisa, kwa nini asiende Lushoto tu, mananasi yamejaa mpaka yanaoza.

Yaani bongo hatuendelea kwasababu ya ushabiki na kujifanya wajuaji! kushangaa kunatatizo gani? mtoa mada ni mvivu wa kufikiri,hatuwezi kuendelea kwa kuendekeza majungu.kushanga si mada ya kuwaleea wenye akili timamu kwasababu ni pasonala inshu na hisia binafsi juha wewe!
 
Nilikuwa naangalia habari katika kituo kimoja cha runinga, nikaona mapokezi waliyopewa popo JK na vibaraka wake kwenye kasri la Sultan huko Muscat, kilichonivutia ni jins ****** na vibaraka wake walivyokuwa wanashangaa paa la kasri la sultan! Duh! Wote walikuwa wakiinua vichwa juu bila kujali kamera zilizokuwa mbele yao. Nikagundua kwa nn viongoz wetu wanapenda kusafiri, hakuna chochote cha maana zaidi ya kwenda kushangaashangaa nchi za watu. Kwa nn na nyie msiijenge Tanganyika yenu wenzenu waje kushangaa?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Nadhan hata wewe unashangaa unavyoshambuliwa na comment za wanaokushangaa kwa kumsema raisi ameshangaa. Tunaishi tùkishangaa mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom