Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 39,798
- 71,218
Katibu mkuu wa CCM amerudi toka ziara yake ndefu akiongozana na Nape na Migiro. Nimesikia kauli za Wenyeviti wa mikoa eti wanamsifu kuwa kafanya ziara ya kihistoria ya KUFUFUA chama na ni ya mafanikio makubwa.
Baada ya kuangalia picha hizo za ziarani nimeona kuwa kuwa kilichofanyika huko vijijini si kingine zaidi ya usanii kwa watu wa vijijini ambao kwa 52 years wamewanyima Elimu.
Usanii huo unaoonekana kwenye picha wanaweza wafanyia watu wa mjini na wakatoka salama? Kwa nini CCM inawadharau hivi wananchi wa vijijini?