Usanii katika Ziara ya Kinana Inayoitwa ya Mafanikio

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
39,702
71,013
ImageUploadedByJamiiForums1386827786.078850.jpg
ImageUploadedByJamiiForums1386827806.550932.jpg
ImageUploadedByJamiiForums1386827859.030103.jpg
ImageUploadedByJamiiForums1386827938.262475.jpg

Katibu mkuu wa CCM amerudi toka ziara yake ndefu akiongozana na Nape na Migiro. Nimesikia kauli za Wenyeviti wa mikoa eti wanamsifu kuwa kafanya ziara ya kihistoria ya KUFUFUA chama na ni ya mafanikio makubwa.
Baada ya kuangalia picha hizo za ziarani nimeona kuwa kuwa kilichofanyika huko vijijini si kingine zaidi ya usanii kwa watu wa vijijini ambao kwa 52 years wamewanyima Elimu.
Usanii huo unaoonekana kwenye picha wanaweza wafanyia watu wa mjini na wakatoka salama? Kwa nini CCM inawadharau hivi wananchi wa vijijini?
 
Na kwa nini maigizo haya wanayafanyia vijijini na sio mjini?
 
Full move, wanataka watu wa vijijijin wawaone kama wenzao huku kiuhalisia hakuna kitu kama hicho,
 
mambo ambayo MWOVU SHETANI amewafanyia wanadamu yana nafuu sana kuliko ubaya ambao ccm imewafanyia watanzania .
 
siku hizi ccm wamejua mjini hawapendwi wameamishia nguvu vijijini. Na hata kama wakija mjini basi mafuso,mabasi,malori, matrekta,pikipiki ya miguu mitatu{toyo} lazima yakasombe watu kijijini ili kujazia watu kwenye mikutano yao
 
Ukiangalia hizi picha kwa umakini na kutafakari ndio unagundua kuwa hawa jamaa watatufanyia kitu kibaya zaidi waliyokwisha kufanya.
 
Dr. Slaa alikuwa anazunguka na Josephine USA anakula maraha. Huku CCM wanajumuika na wananchi. Alijipojaribu Kigoma mabango, mawe na mabomu.
 
  • Thanks
Reactions: rto
View attachment 126188
View attachment 126189
View attachment 126191
View attachment 126192

Katibu mkuu wa CCM amerudi toka ziara yake ndefu akiongozana na Nape na Migiro. Nimesikia kauli za Wenyeviti wa mikoa eti wanamsifu kuwa kafanya ziara ya kihistoria ya KUFUFUA chama na ni ya mafanikio makubwa.
Baada ya kuangalia picha hizo za ziarani nimeona kuwa kuwa kilichofanyika huko vijijini si kingine zaidi ya usanii kwa watu wa vijijini ambao kwa 52 years wamewanyima Elimu.
Usanii huo unaoonekana kwenye picha wanaweza wafanyia watu wa mjini na wakatoka salama? Kwa nini CCM inawadharau hivi wananchi wa vijijini?
image.jpg
Hapa kulikuwa na ubwabwa kweli? Au watu wanafuata kauli za ukombozi?
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom