Thrombocytes
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 401
- 30
Ni vyema sasa tukawaambia ccm inatosha.
Dr. Slaa alikuwa anazunguka na Josephine USA anakula maraha. Huku CCM wanajumuika na wananchi. Alijipojaribu Kigoma mabango, mawe na mabomu.
Tena wanachagua baadhi ya vijiji vya kwenda wajaribu kwenda moshi vijijini na huo usanii wao waone.Na kwa nini maigizo haya wanayafanyia vijijini na sio mjini?