Usaliti na Unafiki unavyoangamiza Taifa - Lema

Usaliti na Unafiki unavyoangamiza Taifa - Lema

Status
Not open for further replies.
Yani huu myukano unatupa furaha kubwa sana sie wanaccm. Nyie endeleeni kuvuana nguo ili watanzania wajionee.
 
Tatizo tamaa ya madaraka MTU HAJALALA MAHABUSU HATA SIKU MOJA anataka uenyekiti,urais huku umri hauruhusu na hajaenda vijijini sana kukijenga chama
Utaona tu siku akiondoka chamani kama kweli hajakijenga chama ama la!
 
Kwa dhati kabisa haya mambo yasizungumze mahali hapa ni vema yamalizwe na vikao vya ndani ya CHAMA;binafsi kama mwana CDM sipendezwi kwa dhati kabisa na haya Malumbano ya wazi maana hayajengi kabisa
 
Kilewo eti naye anasema anakuja kutoa siri za zitto jins alvyofanyiwa gerezani sijui alikua wapi au alikua anasubir adandie kwa lema.
Lazima ukanda na uchaga ukomeshwe chadema.
 
Kama wanataka kuleta ukaskazin rasmi,waseme tuh

tutangaze vita sasa rasmi,sisi tutaandaa mipango ya kuendeleza kusamba sumu kanda yote hii ya kusini na kanda ya kati kuwaonesha wananchi uhalisia ulivyo na jinsi wanavotumia chama kwa kuwagawa na kuwabagua baadhi ya viongoz ambao wanaonekana wana chuki nao binafsi,

kama kina slaa na wenzake wanafurahia mambo haya na kuhisi wanaweza kuongoza taifa hili kwa nguvu ya kanda fulani hili halitafanikiwa na tunawaambia kabisa bila kumeza meza maneno,vita hii ni kubwa zaid ya hao wanavodhania,

time will tell them...

Na wewe teacher punguza mkwara unafikiri sisi ni watoto wadogo kama wewe?

Ulikuwa unaimba hapa kila uchao kwamba haitoki, haitoki hata kwa bomba la pen lakini kiko wapi sasa, si mmetulizwa Mara moja tu na wahamasishaji wa kwenye keyboard kama wewe mmebaki kujichimbia tabata mnakula kuku tu wakati akina njomba nchumali wenzako wanachezea kichapo toka kwa Polisi na Jwtz.

Huu udini mnaouendekeza unawaridia ninyi wenyewe bahati mbaya mmefumbwa macho kwa kupigwa upofu hata msione uhalisia.

Tujikite kwenye mada iliyoko mezani na kuachana na hizi flip flop unazojaribu kuziwasilisha hapa JF.
 
Dr Slaa hawezi kuja hapa na ndivyo utavyotambua kuwa Chadema wanasiasa za makundi na kubebana.

Dr slaa hajawahi hata siku moja kuingilia especially kwenye JF pale kunapokua na mambo ya kusutana baina ya pande mbili...Dr slaa hua anaingia kutetea taasis na tuhuma zake binafsi...Haya yatashughulikiwa kwa taratibu maalum za vikao
 
Uhai wa CHADEMA unategemea sana kanda ya ziwa (magharibi ) na Nyanda za juu kusini. Hawa wa KASKAZINI wanacheza mchezo hatari kuliko ule wa NCCR!
 
Mkuu Mungi una nisikitisha sana.

HIVI HAYO UNAYO YASEMA KWA NINI USIMPE LEMA AKAYAPELEKA KWENYE CHAMA?

NAKUMBUKA HAPA WOTE WANA CHADEMA TULIUNGANA KUWAKEMEA WAKINA BEN,MTELA,SHONZA NA MWIGAMBA KUTUMIA MITANDAO KULETA MAMBO AMBAYO YANAWEZA KUPELEKWA KWENYE CHAMA NA USHAHIDI ILI YA CHUNGUZWE NA KUJADILIWA.

HATA DR SLAA ALISEMA KIPINDI KILE KUWA MWENYE USHAHIDI APELEKE.

NAKUMBUKA MAJUZI TULIUNGANA KUMKEMEA MWIGAMBA KULETA KWENYE MITANDAO TUHUMA KWA CHAMA NA VIONGOZI WENZIE WAKATI ANA NAFASI YA KUONGEA KWENYE VIKAO VYA CHAMA.

HAIJAPITA MIEZI MIWILI TULIMKEMEA DR SLAA NA JOSEPHINE KUHUSU ID NA NIWAZI ILIWAPASA WATU KUSEMA MAANA DR SLAA SI MALAIKA.

LAKINI NA KUSHANGAA UNAFUMBA MACHO WAKATI LEMA ANAFANYA MAKOSA NA WOTE TUNAJUA SI MALAIKA.

MAKOSA YA LEMA HAYANA UTOFAUTI NA YALE YA BEN,MTELA,HABIB NA MWIGAMBA LAKINI NASHANGAA KWANINI UNAKATAA KUMWAMBIA Godbless J Lema KUWA ANA POTOKA?

MUNGI KAMA UNAFIKIRI HUKU NI JUJENGA CHAMA NA WEWE UMEPOTOKA AND TIME WILL TELL.

MUNGI HAKUNA UBISHI LEMA ANA ANDAA ANGUKO LA CHAMA KWA NJIA HIII.

MUNGI NI HII NJIA NDIO MLIO CHAGUA KUJENGA CHADEMA?

MUNGI LEMA SI MALAIKA KWA HILI AMEKOSEA NA AUTAKI KUSEMA BASI NAWE NI MMOJA WAO WANAO CHIMBA KABURI LA CHAMA.

MUNGI,LEMA NI NANI ASIAMBIWE UKWELI IKIWA KILA LEO DR SLAA ANA AMBIWA?

MUNGI HIVI JF NI HOTEL YA KUFANYIA VIKAO VYA CHAMA?
:::::::::::::;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;//////////

MH MBOWE, DR SLAA TUNA HITAJI KUONA BUSARA ZENU NA HIKI NDIO KIPIMO PEKEE, LEMA LAZIMA AFUNDWE,LEMA LAZIMA AKEMEWE KABISA.

LEMA AFUNDISHWE UVUMILIVU WA KISIASA.

mkuu umeongea kwa uchungu sana, ni vema viongozi waache kutukatisha tamaa... wananchi wana imani kubwa na Chadema......

Lema anaua chama kwa ujinga wake, tatizo watu waliomzunguka hawamwambii ukweli wenyewe wanajua kumpamba tu hata kwenye mambo ya kipuuzi.

Wenyewe kwa akili zao ndogo wanajua wanamkomoa Zitto......hapa tunaumia ni sisi wananchi tuliojenga imani kubwa kuwa chadema ndio mkombozi wa ukweli......
 
Last edited by a moderator:
Nadhani humjui Lema wewe ndio unaona milioni thelasini ni pesa , tumeambiwa leo tutaambiwa unafiki wa Zitto kuhusu Posho

hata kwangu ni pesa ndogo sana.Lakini mwenzako alipokea na akawasaliti wana arusha 2005
 
Hapa ndio utawaona wenye nia ya dhati ya kuleta mabadiliko yaani wanachadema real na wale waliopo chadema kimaslahi yao binafsi.

Wanaotaka mabadiliko wanasimamia misingi ya chama na wanatumia nguvu nyingi kuhakikisha chama walichowekeza matumaini yao hakianguki kama ilivyokuwa kwa vyama vyengine. Wale waliopo chadema kimaslahi wapo tayari hata chama kife lakini asiongoze mtu atakae wazuia kupata mkate wao kwa njia isiyokuwa ya halali. Wapo tayari kutoa hata uhai wa mtu kama walivyokwisha jaribu na kushindwa kwa kuwa Mungu hakupenda iwe hivyo na sasa wameona uwezo huo hawana wameamua kumchafua kiongozi wao onsport baada ya kutumia njia za siri na kushindwa.

Sisi wengine tulishashtukia mapema chama hiki kilichoanzishwa katika misingi ya kilaghai ila wengine kutokana na frustration zao za maisha wakasema na kuimba chadema mkombozi, people's power bila kufanya tafakari. Ccm ni chama kilichojaa nguvu zetu, damu za watu wetu, pesa zetu, na kila mambo yetu mazuri tuliyostahili kuwa nayo kwahiyo kujitenga na CCM ni kufanya usaliti wa mema yetu yaliojaa ndani chama hiki.

Cha kufanya ni kupambana mwanzo mwisho na kila uovu ndani ya chama hiki ila kwenda upinzani wa sampuri ya vyama hivi ni zaidi ya upofu.

MUNGU IBARIKI TANZANIA,
MUNGU MBARIKI KIKWETE,
MUNGU ITAWALISHE CCM MILELE.
Akhsante kwakusoma mawazo yangu.
 
Nilikuwa sizipendi siasa za CDM JF, lakini sikujua Kama hata Lema naye ataingia huku kufanya cheap politics.

Lema umechemka sana brother. Unaweza kuwa na hoja ya msingi lakini hapa umewatega vionozi wako bure...
 
Na wewe teacher punguza mkwara unafikiri sisi ni watoto wadogo kama wewe?

Ulikuwa unaimba hapa kila uchao kwamba haitoki, haitoki hata kwa bomba la pen lakini kiko wapi sasa, si mmetulizwa Mara moja tu na wahamasishaji wa kwenye keyboard kama wewe mmebaki kujichimbia tabata mnakula kuku tu wakati akina njomba nchumali wenzako wanachezea kichapo toka kwa Polisi na Jwtz.

Huu udini mnaouendekeza unawaridia ninyi wenyewe bahati mbaya mmefumbwa macho kwa kupigwa upofu hata msione uhalisia.

Tujikite kwenye mada iliyoko mezani na kuachana na hizi flip flop unazojaribu kuziwasilisha hapa JF.



Mwita maranya with all of my due respect,

Sijawahi hata siku moja kuingia kwenye vita vya maneno na wewe,iwe kwa namna yyte ile,

Sikiliza sasa nikufahamishe,


1.Mimi si MWALIMU KWA TAALUMA,na kamwe katu sitokuja na siwez kuidharau taaluma ya ualimu kwani kupitia taaluma hiyo nilijifunza kuondoa ujinga na kunipa msingi nilionao kwa sasa,


2.Mimi sio mchumia tumbo na kikaragosi kama hawa jamaa zako wanaokesha humu 24/7 kulamba buti za viongoz na kutumikia matumbo yao,hilo likae kichwani mwako na ulitambue,


3.Nina taaluma yangu,ninfanya biashara zangu binafsi naganga nazo njaa,na ninafanya kilimo changu MTWARA,kilimo safi kabisa cha korosho na mazao mengine na ufugaji,situmikii tumbo na wala situmwi na jamaa zenu kwa namna yyte ile,

SUALA LA GESI MTWARA HALIKUWA NI LA KISIASA,NA WATU WA KUSINI HATUJASHINDWA KATIKA KILE AMBACHO TULIKUWA TUNAKIPIGANIA,NA TUNAKIPGANIA KILE KWA MASLAHI YA TAIFA,WEWE KAMA UNADHANI HARAKATI HIZI NI ZA KIKANDA KAMA ZINAVOZUNGUKA AKILIN MWENU BASI YAWAPASA KUWAZA TENA,

KAMA CHAMA HAKIMUHITAJI ZITTO KABWE HAKUNA HAJA YA KUMEZA MEZA MANENO,MFUKEZ SASA RASMI TUJUE MOJA NA TUGANGE YAJAYO,KIPI MNAHOFIA??
 
Chadema ukipishana kimawazo au kimtamzamo na wamiliki wa chama au washirika wenza wa kaskazini unaitwa msaliti

Au Masalia, walifanya kwa akina Mtela Mwampamba na Juliana Shonza , lakini kama unavyojua dhambi ya ubaguzi haikomi kirahisi, basi wakanogewa, sasa wanadanganyana kuwa wanaweza kumfukuza Zitto na SACCOS ikabaki shwari bila kuyumba.
 
Last edited by a moderator:
Utaona tu siku akiondoka chamani kama kweli hajakijenga chama ama la!
Zitto ana matatizo yake ambayo pia yanaweza kukigharimu chama asipoyarekebisha, lakini ni ukweli usiopingika kuwa wafuasi na wanachama wengi vijana wa CDM sasa hivi zaidi ya 45% ni matunda ya kazi ya Zitto. Hata hawa wachawi wanaotafuta namna ya kumwengua kwenye chama wanalifahamu hilo. Ndiyo maana siku zote wamekuwa wanalia kuwa Zitto anakihujumu chama lakini wanashindwa kumchukulia hatua.

Mrema amewahi kuwa maarufu sana NCCR kipindi cha nyuma kiasi cha kutishia uhai wa waliomkaribisha kwenye chama. Yuko wapi leo hii? Simtofautishi Mrema wa miaka ile na Lema wa leo. CDM ikishindwa kum-handle Lema inaelekea shimoni. Nafahamu pasipo shaka yoyote kuwa anayofanya Lema sasa hivi yana baraka za Mbowe, they just got to know that Zitto is smart and you don't deploy a hooligan like Lema to deal with such a brilliant young man. Watch out .
 
Na wewe teacher punguza mkwara unafikiri sisi ni watoto wadogo kama wewe?

Ulikuwa unaimba hapa kila uchao kwamba haitoki, haitoki hata kwa bomba la pen lakini kiko wapi sasa, si mmetulizwa Mara moja tu na wahamasishaji wa kwenye keyboard kama wewe mmebaki kujichimbia tabata mnakula kuku tu wakati akina njomba nchumali wenzako wanachezea kichapo toka kwa Polisi na Jwtz.

Huu udini mnaouendekeza unawaridia ninyi wenyewe bahati mbaya mmefumbwa macho kwa kupigwa upofu hata msione uhalisia.

Tujikite kwenye mada iliyoko mezani na kuachana na hizi flip flop unazojaribu kuziwasilisha hapa JF.

Mzee unaingiza karata ya UDINI ili kuficha UKANDA? Mwigamba hamjambagua kwa sababu ya udini ni UKANDA tu! Humpati mtu hapa!
 
kwa nini awe zitto tu? atakuwa na matatizo tu.amejiegesha kwenye ukabila na udini ili asichukuliwe hatua.amekuwa ndio mwanzilishi wa chokochoko zisizokuwa na msingi wowote.kama anadhani tunamshambulia kutokana na ukabila atakuwa anajidanganya mimi mwenyewe msukuma wa igoma lakn namchukia kwa element zake za usaliti,mzee wetu mtei alipomwachia uenyekiti mzee makani naye alikuwa mchaga? acheni upumbaaavu
 
The Big Show,

Kuna sehemu ulisema wewe ni mhasibu au accountant. Kumbe ulikuwa mwalimu? Nakufuatilia post zako kwa makini sana. Mana nilikuona mpiganaji ila kwa hii issue umekuwa biased bila kujisumbua kama ninavyojisumbua kukusoma ili nijue i should think the same Big or not.

Mjadala bado ni mbichi, personal attack hazisaidii. Tusome then tujudge at the end
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom