Usaliti na Unafiki unavyoangamiza Taifa - Lema

Usaliti na Unafiki unavyoangamiza Taifa - Lema

Status
Not open for further replies.
Ulitaka watu wanyamaze hata kama wanajua na kuona?

Mguseni, uone hako ka - SACCOS chenu katakavyokufa kifo cha Mende, Hapo CHADEMA hakuna mwanasiasa wa hadhi ya Zitto, Ingawa CCM wapo wengi! Kachama chenyewe kanaishia pale njia panda ya Himo, bado mnakuwa na majungu hivi! kangekuwa Tanzania Nzima si mngeuana nyie!
 
Last edited by a moderator:
Msaliti/wasaliti, kirusi/virusi,..... Makambi, makundi..... Hayo ndiyo mambo yaliyoisambaratisha NCCR Mageuzi. Na waliohusika wengi wao ndiyo hawahawa wanayaanzisha tena huku Chadema!!! Oh.. Mungu Mwenyezi, Tanzania tumekosa nini sisi?
 
Mbona ni kiongozi wa chama?!! mnataka kusema CHADEMA ina viongozi virusi? na kama ndivyo mnawaambia nini wapiga kura? kama chama kimeshindwa kujisafisha kitaweza kusafisha hii nchi iliyooza hivi?!!!!!
Mkuu

Mkono wako ukishika kinyesi utaukata au utauosha


Sisi tunasafisha chama hivyo vumilieni vumbi hili
 
Si mfukuzeni tu Zitto mnaogopa nini?
 
Last edited by a moderator:
Absolutely True, kuna mtu anataka kusahau kwa makusudi kabisa kua nini kimemfanya awe vile leo alivyo. anajisifu kwa umaarufu anasahau msingi kapata wapi! hii nchi kuna vijana wengi tu ambao ni very potential, probably kuliko hata 'vuguvugu mmoja. wapo vijana na ni wanachama wa Chadema lakin hawajapata tu fulsa ya kua ndani ya mfumo wa chama kimalezi kama ambavyo huyu alipata, leo vuguvugu mmoja anajifanya eti ni mtaifa kiasi hata kupuuza mfumo lezi wake! anapuuza na kudharau mfumo uliomfanya aonekane kwenye jamii kua wa maana.anatumia nguvu ya ushawishi wake kua msaliti!! Mstsri lazima uchorwe.

Shukrani sana kwa busara hizi ambazo ni nadra sana siku hizi kwenye mitandao ya kijamii ......Ubarikiwe sana
 
Mguseni, uone hako ka - SACCOS chenu katakavyokufa kifo cha Mende, Hapo CHADEMA hakuna mwanasiasa wa hadhi ya Zitto, Ingawa CCM wapo wengi! Kachama chenyewe kanaishia pale njia panda ya Himo, bado mnakuwa na majungu hivi! kangekuwa Tanzania Nzima si mngeuana nyie!

Ni nyinyi tu vibaraka wa ccm ndio mnamwamini na kumpend Zitto,

Hivi mnajisikiaje kuwapangia wapinzani wenu chakufanya?

Ni mwanachadema gani atakaefuata matakwa ya ccm?

Mchukueni Zitto agombee urais kupitia ccm mwaka 2015
 
Last edited by a moderator:
Ndugu zangu nimetafakari sana na jioni ya leo tar 2 Nov nimeona niinuke nitoe hoja zangu. Kwa kweli mimi nilikuwa CCM - nikatoka nikaamia Chadema na sasa nafikiria kutoka chadema na kutokuwa na chama kabisa.

Mie nafikiri kuwa mwana mapinduzi sio lazima utumie fujo na maneno mengi, mh mh mh hapana, yatumike pale inapobidi tu. Chadema ina viongozi very wise kama Mbowe ... kwa nini hawaweki hawa vijana wao sawa?

Lema Ndugu yangu, hemu kaa tu kidogo na uwe na utulivu, most of the time twapaswa kutumia diplomacy na ikishindikana ndo means nyingine, cha ajabu huyu ndugu yangu haachi nafasi ya Diplomacy? why?

Zitto anaweza kuwa na mapungufu mengi, but for real I like his move, ni msomi na usomi wake waonekana, anaweka hoja vizuri na hana maneno ya fujofujo kama Lema.

PLEASE LEMA TULIA KIDOGO TU AND YOU WILL MAKE A GREAT LEADER ...​
hilo nalo ni neno.
 
kwa hiyo usaliti wa Zitto unakemewa kwa kuanzishiwa nyuzi za majungu jf. ?
idawa,

Usijali hizi ndzo harakati za mabadiliko kamanda.Tutapita katika changamoto nyingi.Tuombe Mungu atupe uhai
 
Last edited by a moderator:
ni nyinyi tu vibaraka wa ccm ndio mnamwamini na kumpend zitto,

hivi mnajisikiaje kuwapangia wapinzani wenu chakufanya?

Ni mwanachadema gani atakaefuata matakwa ya ccm?

Mchukueni zitto agombee urais kupitia ccm mwaka 2015
chuki binafsi mbn humuulizi ben satisa na sumu aliopewa na katibu mkuu kama zito sio tishio
 
Mwigamba alikuwa mkono au kinyesi?

Mwigamba ni sehemu ya uchafu tunaousafisha ndani ya chama,

Zitto ni jalala halisi, lazima lizolewe na kufukiwa rasmi,

Hatutaki majalala ndani ya chama chetu, waende ccm hukohuko wanakokula kisha wanakuja kulala chadema
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom