Usaliti na Unafiki unavyoangamiza Taifa - Lema

Usaliti na Unafiki unavyoangamiza Taifa - Lema

Status
Not open for further replies.
Sikulaumu wewe Lema kwa ukilaza wako na ukosefu wa busara. Nawalaumu wanaArusha kwa kukuchagua. 2015 haurudi bungeni.
 
Mwita maranya with all of my due respect,

Sijawahi hata siku moja kuingia kwenye vita vya maneno na wewe,iwe kwa namna yyte ile,

Sikiliza sasa nikufahamishe,


1.Mimi si MWALIMU KWA TAALUMA,na kamwe katu sitokuja na siwez kuidharau taaluma ya ualimu kwani kupitia taaluma hiyo nilijifunza kuondoa ujinga na kunipa msingi nilionao kwa sasa,


2.Mimi sio mchumia tumbo na kikaragosi kama hawa jamaa zako wanaokesha humu 24/7 kulamba buti za viongoz na kutumikia matumbo yao,hilo likae kichwani mwako na ulitambue,


3.Nina taaluma yangu,ninfanya biashara zangu binafsi naganga nazo njaa,na ninafanya kilimo changu MTWARA,kilimo safi kabisa cha korosho na mazao mengine na ufugaji,situmikii tumbo na wala situmwi na jamaa zenu kwa namna yyte ile,

SUALA LA GESI MTWARA HALIKUWA NI LA KISIASA,NA WATU WA KUSINI HATUJASHINDWA KATIKA KILE AMBACHO TULIKUWA TUNAKIPIGANIA,NA TUNAKIPGANIA KILE KWA MASLAHI YA TAIFA,WEWE KAMA UNADHANI HARAKATI HIZI NI ZA KIKANDA KAMA ZINAVOZUNGUKA AKILIN MWENU BASI YAWAPASA KUWAZA TENA,

KAMA CHAMA HAKIMUHITAJI ZITTO KABWE HAKUNA HAJA YA KUMEZA MEZA MANENO,MFUKEZ SASA RASMI TUJUE MOJA NA TUGANGE YAJAYO,KIPI MNAHOFIA??
Mkuu the big show hawa akina mwita maranya na wenzake ni wahuni kama wahuni wengine make wao ndiyo wanaotumwa kubeba sumu na kwenda kumuwinda zito siku hadi siku.

Ni vema ukajua kuwa hawa jamaa hawana mbele wala nyuma wanaishi kwa kutumiwa na wazee wa makao makuu kuwasafishia njia kwa manufaa yao.

kwa jinsi hawa vikalagosi wanavyomwandama zito ndani ya chadema utadhani sijui kaiba nini lakini yote hii wanaumwa ukanda na uroho wa madaraka kwa wazee wao ambao wanajidanganya kuwa wanaweza kuwatawala watu kababe na kilaghai siku zote.

Tunarudia kuwaambia wanajalibu kina cha maji kwa miguu yote miwili wakimgusa zito ndiyo mwisho wa chadema tena mchana kweupe kwa sasa wanachofanya ni kumsumbua ili aondoke mwinyewe kitu ambacho naoneka kimekwama.
 
salamu jf, nimekuwa nikifutilia kwa makini sana huu waraka wa usaliti, ambapo ni jambo la kawaida sana sehemu yyte ile iwe kazini au nyumbani, jambo la msingi kuwa na ushahidi wa kutosha ili kuthibitisha hayo yasemayo kwa watu bac kwa kusema hyvo wote tuamini ugomvi ni jambo la kawaida kbc ndo njia nzuri ya kudumisha uhusiano mzur cku zijazo na usiogope kumwambia rafiki yako pindi anapokosea jambo, naam mh zzk kabwe kama ni kweli anapaswa kushughulikiwa vizuri, kuna mawili ajirekebishe mapema au aondoke zake kwa amani tu, kama alivyo sema hana mpango wa kugombea ubunge tena ni uamuzi nzuri naona alishajua mambo yake ya siri ambayo amekuwa akifanye cku zote. Mwisho nampongeza sana mh lema kwa kuwa muwazi kbc hakuna kuleta ujinga ujinga ukithani watu wanakuogopa.
 
Dawa ya moto wakati mwingine ni moto na si maji.
...Ni kweli mkuu wakati mwingine inatakiwa kutumika DEMOKRASIA ya MABAVU......na kuchukua mamuzi .......mtu hajakaa lupango hata masaa mawili, hajatembea vijijini kujenga chama, anataka kuwa mwenyekiti wa chama....ili akiue....HI ni dharau na ujinga mkubwa....ni dharau kubwa sana....
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Umeandika kwa ufasaha sana Big show.
Hata mimi ninakuheshimu sana kwa mtazamo na mawazo yako kadri ninavyokusoma hapa JF.

Tatizo kubwa na la msingi ninaloliona kwako kadri ninavyokusoma ni kukumbatia udini na kuuhusianisha na kila jambo linalotokea.
Hata unaposema kwamba mtaeneza sumu Kanda ya kusini na Kanda ya Kati ni katika Ku advocate udini kwa vile mmekuwa mkisema kwamba Dini yenu ndiyo inapopulation kubwa katika mikoa hiyo.

Ni Mara nyingi sana ninakusoma ukishabikia utengano wa kidini,nimekusoma sana kwenye makala za Mohamed Said,nimekusoma kwenye ule Uzi wa Yericko Nyerere,mimekusoma katika mijadala ya nani mwenye haki ya kuchinja kitoweo pamoja na mijadala Mingi ya kisiasa ambayo kwa bahati mbaya sana Kuna watu wanasiasa wakiguswa tu hata kama wamefanya makosa makinwa kiasi gani basi mmekuwa mkiwatetea kwasababu ya Dini Yao.

Kila mmoja Ana haki ya kuwa na maoni yake na msimamo wake lakini ni muhimu maoni hayo ama msimamo hip usiwe wa kupandikiza chuki na utengano baina yetu watanzania, aidha wa kidini, wa kikanda ama wa kikabila.



Mwita Maranya KAMA MTU AKIWA ANAELEZEA UHALISIA WA MAMBO KISA YANAHUSIANA NA DINI YAKE NI MDINI BASI NA WEWE NI MDINI MKUBWA TENA WA KUMPILIZIA HUYO MWENZAKO. KUNA SEHEMU NIMEKUSOMA UKILALAMIKA USABATO WAKO ULIPOSHAMBULIWA NA UKATOLIKI NA KUSEMA WAKATOLIKI WANAUCUKIA USABATO MORE THAN WAISLAMU WANAVYOUCHUKIA UKRISTO.

SASA KWA NYAKATI ZOTE NILIZOMSOMA THE BIG SHOW SIJAWAHI KUMUONA AKIUSHAMBULIA UKRISTO KAMA ULIVYOUSHAMBULIA UISLAMU. NANI MDINI KATI YAKO NA HUYO MWENZAKO? SIKILIZA MWITA KWA TAARIFA YAKO KAMA WEWE USINGEKUWA MKRISTO NA HUO UKULIA WAKO SIJUI UNGEPUMULIA WAPI? MNAWACHUKIA KINA ZITTO KWASABABU YA DINI WALA HAMNA USALITI WALA NINI.HAMNA KUTAFUNA MANENO NA KAMA MTANIITA MDINI KWA KUUSEMA UKWELW POA.
 
Last edited by a moderator:
kwa bahati mbaya huyo mtu wengine hatumfahamu maana umesema ni mtu na hujamtaja jina, huyo mtu anaweza kua yeyote au hata wewe, unapomwita mwenzako msaliti, unafanya hivyo kulingana na matarajio yako na interest zako pia, inawezekana huyo mtu akagusa interest zako ambazo haziendani na malengo yanayotamkwa bali kwa maswala binafsi, usaliti unatafsiri unategemea tafsiri ya mtu anayemwita mwenzake msaliti, tulioko nje ya chama chenu hatuna uhakika yupi na msaliti kweli bali tunaamini kile mnachotaka kutuaminisha ambacho kinaweza kua kweli au upotoshaji
 
Kuto kumwambia ukweli lema kuwa haya anayo yafanya hayato jenga chama kamwe ni kumdanganya kabisa. sikutegemea kuna mwana chadema ataungana na Lema kwenye haya, huu ni ujinga.

Narudia tena Lema ana bomoa chama kwa njia hii na kumsifu ni kuua chama.

Nasema tena huu ujinga wa lema utatugharimu time will tell.

NI WAKATI SASA WA KUMDHIBITI LEMA MAANA KWA HAYA ANA KIANGAMIZA CHAMA.

HUU NI UJINGA. MH Zitto USIMJIBU.
.......Hakuna kuuwa chama hapa.......chama hakifii sisi tulioko huku miataani tunajua vizuri.....mimi nina bibi yangu mzee kabisa nikipiga nae story za kisissa anajua zito ni msaliti....sembuse watu wa kawaida.....hii ya kuleana leana ndo inaiua na kuanzisha makambi ccm....wangemtimua lowasa mapema mambo yangekuwa safi ccm lakini walileta huu uoga uoga wa kijinga jinga angalia walipo........hakuna kitu ccm hawakipendi sasa hivi kama kusemwa zito na hakuna kitakachoiua cccm haraka kama zito kufukuzwa chadema belive me....
 
Ametoa mawazo yake JF.Umekereka na nini mkuu?Mbona Mwenyekiti na katibu mkuu kwa nyakati tofauti wameonya juu ya usaliti na kunukuliwa na media

Aliyesema kuna kirusi ndani ya CHADEMA mbona hukukemea na kukereka kihivi mkuu?

Ben, Mwigamba alitoa maoni yake hapa Jf lakini yaliyomkuta anajua mwenyewe lakini kuna usemi inasema chama kina wenyewe sasa nimeuamini huu usemi.
 
Hili bandiko pia vijana wa ccm wamengia kichwa kichwa tena.....kumtetea zito....mwingine mpaka anaapa wakimgusa zito watakiona safi sana kamanda lema.....CDM ni wajanja sana......na ni kitu kizuri zito kutetewa na vijana wa Lumumba inatoa picha nzuri......na huu mpambano upo vizuri ni zito agaist lema ....na si viongozi wengine ni mpambano mzuri sana...
 
mkuu umeongea kwa uchungu sana, ni vema viongozi waache kutukatisha tamaa... Wananchi wana imani kubwa na chadema......

Lema anaua chama kwa ujinga wake, tatizo watu waliomzunguka hawamwambii ukweli wenyewe wanajua kumpamba tu hata kwenye mambo ya kipuuzi.

Wenyewe kwa akili zao ndogo wanajua wanamkomoa zitto......hapa tunaumia ni sisi wananchi tuliojenga imani kubwa kuwa chadema ndio mkombozi wa ukweli......

ina sikitisha sana kuona lema ameamua kutuvuruga kwa visingizio vya wimbo wa usaliti.

Kwanini huu wimbo asiuimbe kwenye vikao vya chama? Katika hili lema ana tugawa kabisa maana mimi sitokuja kubaliana na hii njia anayo ichagua.

Lema ana hitaji kuambiwa ukweli.
 
Hili bandiko pia vijana wa ccm wamengia kichwa kichwa tena.....kumtetea zito....mwingine mpaka anaapa wakimgusa zito watakiona safi sana kamanda lema.....CDM ni wajanja sana......na ni kitu kizuri zito kutetewa na vijana wa Lumumba inatoa picha nzuri......na huu mpambano upo vizuri ni zito agaist lema ....na si viongozi wengine ni mpambano mzuri sana...

Mpigie simu Lema mkumbushe bado Li saa ifike saa nane tunasuburi tuone huo unafki wa Zitto.
 
Wana - Arusha wanaomba uchaguzi ufanyike hata kesho ili tuondoe hii balaa kwenye mji wetu!
 
Hili bandiko pia vijana wa ccm wamengia kichwa kichwa tena.....kumtetea zito....mwingine mpaka anaapa wakimgusa zito watakiona safi sana kamanda lema.....CDM ni wajanja sana......na ni kitu kizuri zito kutetewa na vijana wa Lumumba inatoa picha nzuri......na huu mpambano upo vizuri ni zito agaist lema ....na si viongozi wengine ni mpambano mzuri sana...

Hatumtetei Zitto ila tunatetea misingi ya Chama kuheshimiwa,Chadema kina Kamati Kuu na Baraza Kuu kwanini msipeleke malalamiko yenu huko,Mnaogopa nini?Au JF ndio imeshageuka kuwa Kikao halali cha Chama cha kujadili matatizo ya ndani siku hizi?
 
Mpigie simu Lema mkumbushe bado Li saa ifike saa nane tunasuburi tuone huo unafki wa Zitto.

Lema hajui siasa za kwenye mitandao, ndio anajifunza, yeye kazoea zile za majukwaani na maandamano, ambapo alikuwa akiwapa vijana VIROBA ili wafanye fujo ionekane ni NGUVU YA UMMA. asante mungu tuna jeshi la polisi linalojua vizuri ku-deal na watu kama hawa!
 
Sikulaumu wewe Lema kwa ukilaza wako na ukosefu wa busara. Nawalaumu wanaArusha kwa kukuchagua. 2015 haurudi bungeni.

Ni kweli mkuu Lema 2015 hatarudi bungeni kwa sababu watu wa Tanga ndiyo watakaotuchagulia mbunge wa jimbo la Arusha.
 
ukiwa jia lako ni massawe, john, au ukikubali kuwa mfagizi wa ofisi watakukubali. Ila kama hutoki kaskazini, jina lako ni mohamed mtoi, halafu wewe ni mhaya basi unayokazi.
 
Last edited by a moderator:
Ametoa mawazo yake JF.Umekereka na nini mkuu?Mbona Mwenyekiti na katibu mkuu kwa nyakati tofauti wameonya juu ya usaliti na kunukuliwa na media

Aliyesema kuna kirusi ndani ya CHADEMA mbona hukukemea na kukereka kihivi mkuu?
Hivi wewe jamaa unakumbuka hata kutenga muda wa kwenda kumuabudu mungu wako?
 
Wana - Arusha wanaomba uchaguzi ufanyike hata kesho ili tuondoe hii balaa kwenye mji wetu!

CCM wangekuwa majasiri wangeitisha uchaguzi wa sombetini. lakini kwasababu mna kihoro na uwoga kwa ajili ya Lema mnatamani uchaguzi wowote usifanyike
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom