acha kujitoa ufahamu! Wenye akili timamu tunajua zitto ndo mlengwa. Halaf ben tafuta level yako zitto haumwuzezi kwani hata dr na mwenyekiti wamemshndwa wanabaki kulilia pembeni!
Vijana wa mjini wanamwita zitto jinni siasa vijana wote wenye majina kawaliza kisiasa katika miaka mitatu , kuanzia na Kafulila,Mchange Mwampamba,Shonza hata kurasa za mbele za magazeti tena hakuna wala kwenye TV yeye bado yumo duh jamaa anajua kufyonza