Usalama wa Taifa na TCRA mko wapi? ORGANIZER wa Al-Shaabab nchini huyu hapa mtafuteni

Jukumu la ulinzi na kuangalia nyendo zinazotia shaka sidhani kama ni la vyombo vya ulinzi na usalama pekee...hata wewe mwananchi mchango wako ni mkubwa,unatakiwa kutoa taarifa badala ya kulalama!
huyu mleta mada si ndio alichokifanya ametahadharisha, ameeleza maeneo na majina ametaja au mwenzetu umelegea kabla ya jua kali
 
Hapana lolote hapa ni chuki za kidini inawezeka huyu jamaa ana msimamo mzuri tu wadini yake, maana hapa sio wageni wa haya kila mwenye msimamo wa dini ile kuitwa gaidi.
 
Jukumu la ulinzi na kuangalia nyendo zinazotia shaka sidhani kama ni la vyombo vya ulinzi na usalama pekee...hata wewe mwananchi mchango wako ni mkubwa,unatakiwa kutoa taarifa badala ya kulalama!

taarifa sindokama hiyo mkuu, ulitaka akamwambie jk ikulu??
 
Wewe kweli Pimbi, unafananisha movie za kivita na training za Kivita? Ndiyo maana hata zile Series zenye uhalisia huwa zinapigwa ban. Huyu anasema anazo cd za training, maana yake unafundishwa kuitumia AK 47 kuanzia kuifungua kifaa hadi kifaa na jinsi ya kuitumia hatua kwa hatua. Hachana na mambo ya pa pa pa pa pa paaaa a.k.a movie.
 
Hapana lolote hapa ni chuki za kidini inawezeka huyu jamaa ana msimamo mzuri tu wadini yake, maana hapa sio wageni wa haya kila mwenye msimamo wa dini ile kuitwa gaidi.

Umenda kule nakluona anachoandika na nacho hubirio?
umeangalia marafiki zake?
 
Jukumu la ulinzi na kuangalia nyendo zinazotia shaka sidhani kama ni la vyombo vya ulinzi na usalama pekee...hata wewe mwananchi mchango wako ni mkubwa,unatakiwa kutoa taarifa badala ya kulalama!

hii liyotolewa hapa ni nini? au taarifa mpaka ukatoe kituoni? jeshi la polisi linatakiwa iwe na kitengo au ofisi (i hope wanayo) cha intelijensia kinachopata habari hata kupitia mitandano ya jamii na kuzifanyia kazi kwa iyo usiseme kua jamaa analalama!!!! kuleta post apa ni njia mojawapo ya kureport!!! nadhan sasa huyu jamaa rajabu malumbe kama alidha yeye kuweka profile mbovu hatajulikana imekula kwake atafutwe ahojiwe zaidi kuhusu iyo account!!!
 
Jukumu la ulinzi na kuangalia nyendo zinazotia shaka sidhani kama ni la vyombo vya ulinzi na usalama pekee...hata wewe mwananchi mchango wako ni mkubwa,unatakiwa kutoa taarifa badala ya kulalama!
Sasa wewe Horseshoe Arch ulitaka atoe taarifa zipi zaidi ya hizo,na amelalama nini hapo,au na wewe ni mtu wa usalama unataka kuanza kukwepa majukumu yako kama ilivyo kawaida yenu ya kusubiria walipue watu ndio mjifanye kufuatilia!
 
Last edited by a moderator:
Huyu jamaa ni HATARI kama mpk leo ajakamatwa basi hakuna cha usalama wa taifa tanzania,nimeona hii thread nikamcheki fcbook mpk nimeogopa ndugu zangu,ingekua INAHUSU CHADEMA tungeshasikia hatua zimechukulia,MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Lete picha na chanzo cha habari yako ndo tukuamini unachoseama
 
Weka link itasaidia sana.
 
Hapana lolote hapa ni chuki
za kidini inawezeka huyu jamaa ana msimamo mzuri tu wadini yake, maana
hapa sio wageni wa haya kila mwenye msimamo wa dini ile kuitwa
gaidi.

Just as a fig tree produces only figs!
 
siyo kwamba alshabab wameletwa kwa ajili ya kulinda uchaguzi 2015 iliccm ishinde?nawashwasi.mbona hatus hazichukuliwi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…