Usalama wa Taifa na TCRA mko wapi? ORGANIZER wa Al-Shaabab nchini huyu hapa mtafuteni


M

Mafuluto

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2009
Messages
1,647
Likes
293
Points
180
M

Mafuluto

JF-Expert Member
Joined Aug 25, 2009
1,647 293 180
Seriously unasema nini ? Didn't he mentioned someone jeshini Mwanza sasa wewe kwa ilimu ya Mulugo bado huoni hilo ???
Ofcoz wana muda wa kutengeneza ugaidi feki na Mwigulu lkn mambo kama haya hawana muda !!

Sasa usalama wa taifa wafanye nini kwenye hili suala??!!!

Maana ishu iko facebook, unataka wawaombe facebook wafunge akaunti? Watatoa sababu gani?? Maana kama ni mabandiko yenye kusambaza chuki tu, yamejaa kwenye internet na mbaya zaidi hakuna sheria ya kimataifa inayoshughulika na wavuti. Nchi hii inaweza kuwa na sheria fulani nchi nyingine isiwepo. Sijajua Facebook wao wana policy gani kwenye masuala kama haya.

Au ulitaka wamtafute huyu jamaa ambaye hata hatujui anatoka nchi gani, anaweza kuwa mkenya, mrundi, au yeyote yule. Pili huyu jamaa kama ni jamaa kweli hata kama ni mtanzania huenda hata hayupo Bongo kitu kinachofanya kazi ya kumfuatilia kuwa ngumu zaidi.

Kifupi sioni ni kwa namna gani TCRA au UWT wanaweza kushughulika na hili suala ukizingatia sheria zilizopo.

Vitu vingine tusikimbilie kulaumu tu ni lazima tuangalie na mazingira ya suala lenyewe.
 
M

mjasiria

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2011
Messages
4,172
Likes
515
Points
280
M

mjasiria

JF-Expert Member
Joined Jan 10, 2011
4,172 515 280
Seriously unasema nini ? Didn't he mentioned someone jeshini Mwanza sasa wewe kwa ilimu ya Mulugo bado huoni hilo ???
Ofcoz wana muda wa kutengeneza ugaidi feki na Mwigulu lkn mambo kama haya hawana muda !!
Sasa kumention si hata wewe unaweza??!! Au kumention in kazi sana mkuu?
 
Abdulhalim

Abdulhalim

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2007
Messages
16,534
Likes
217
Points
160
Abdulhalim

Abdulhalim

JF-Expert Member
Joined Jul 20, 2007
16,534 217 160
Mbona hapahapa JF kuna Boko Karamu Al Qaeda Al Shabab al Shaytan sympathizer na mods hawawafanyi chochote.? Tena ukitazama kwa karibu utagundua wengi kama si wote ni wafuasi wa magamba & policcm, so ktk bigger picture it will be funny kesi ya nyani ukampelekea ngedere!
 
M

Mafuluto

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2009
Messages
1,647
Likes
293
Points
180
M

Mafuluto

JF-Expert Member
Joined Aug 25, 2009
1,647 293 180
Issue ni kusema kuwa sijui ipo FB so UWT hawana la kufanya ! Katika mambo ya usalama hakuna assumptions hata siku moja ili mradi mtu katajwa inafuatiliwa na wao watajiridhisha. So cha kufanya kipo na sio mambo ya fb tuu..

Sasa kumention si hata wewe unaweza??!! Au kumention in kazi sana mkuu?
 

Forum statistics

Threads 1,263,850
Members 486,093
Posts 30,166,104