Usalama wa Taifa na TCRA mko wapi? ORGANIZER wa Al-Shaabab nchini huyu hapa mtafuteni

A

ALWATAN KIZIGO

JF-Expert Member
542
1,000
Habari zenu wakuu nachukua hatua hii muhimu kwa ajili ya kuokoa nchi yangu ya tanzania dhidi ya mtu huyu ambaye ni wazi kabisa anauhusiano na kikundi cha alshaba cha nchini somalia.

Huyu bwana anatumia mtandao wa FACEBOOK kueneza mafunzo yake anakwenda kwa jina la KIO NGOZI. Ameandaa CD za mafunzo ya kujitoA muhanga na chuki dhidi ya watu wa dini nyingine pia kuna CD ya maelekezo juu tya kutumia bunduki aina ya AK 47.

Ana wafuasi wengi sana akiwemo AZIZI JUMA ambaye ni askari wa jeshi la wananchi wa Tanzania kambi ya ANGA PASIANSI MWANZA.

Chukueni hatua mapema dhidi ya watu hawa kabla hawajaleta madhara hapa nchini kama wale wa kilindi manake pia wana mahusiano nao pia.
 
sir mushi

sir mushi

Senior Member
143
0
usalama wataifa unalinda mikutano ya kinana na kuzuia mikutano ya slaa kigoma mkuu.
 
Watu8

Watu8

JF-Expert Member
53,137
2,000
Sijui kama intelijensi ya Jeshi letu inaweza kazi hizi za upelelezi kupitia mitandao...

Ushahidi mdogo tu ni zile uploads za Lwakatare enzi zile, sijui hata waliishia wapi kina Kova...
 
sir mushi

sir mushi

Senior Member
143
0
mpaka mabomu yalipuke kwenye mikusanyiko ndo waanze kumtafuta mchawi, tena wanaweza kuanza na wewe kwamba umejulia wapi, na wakisoma hii post watasema hawashughuliki na habari za mitandaoni
 
Patience123

Patience123

JF-Expert Member
5,015
2,000
Una ushahidi wa unachokisema? Hizo cd unazo?
 
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
48,581
2,000
Hii ndio Tanzania, hamna cha kufanyia hadi tusikie tukio kubwa limetokea. Tuunde tume tupate hela na majibu yasitolewe
 
Kibanga Ampiga Mkoloni

Kibanga Ampiga Mkoloni

JF-Expert Member
17,967
2,000
weka ushahidi wa yeye kuhusika na alshabab na kutengeneza cd hizo.
Duh! huyu MUTU ni NOMA https://www.facebook.com/rajabu.malombe

naona JIna alke halisi ni RAJABU MALOMBE kama inavyonekana kwenye FB.
Unajua wengi ni wajinga hawajuhi ukibadilisha jina FB lile original halibadili kirahisi hivyo unless ukabadilishe profile yote upya.

so huyu anayejiita KIONGOZI ni RAJABU MALOMBE.
Noti mpya tz please nimeweka link hapo ya fb ya jamaa embu tembelea huoni anacho hubiri na hao marafiki zake huwaone, ni hatari huyu mtu.
 
Last edited by a moderator:
kibogo

kibogo

JF-Expert Member
9,720
2,000
Kama ni hivyo hata hizi movie zinazoonyesha mafunzo ya kivita na zenyewe zipigwe marufuku?, tusitake kukuza vitu kijingajinga na kueneza mambo ya kijinga kama ni masuala ya kufundisha watu uharamia tumeshuhudia CCM wakiweka makambi yao na kufundisha watu jinsi ya kudhuru binadamu wenzao na hata kuwaua nafikiri tungeanzia na hapo ndio tuangalie haya mengine.
 
Amiliki

Amiliki

JF-Expert Member
2,085
1,195
Jukumu la ulinzi na kuangalia nyendo zinazotia shaka sidhani kama ni la vyombo vya ulinzi na usalama pekee...hata wewe mwananchi mchango wako ni mkubwa,unatakiwa kutoa taarifa badala ya kulalama!
Ficha Upoyoyo wako, atoe taarifa gani zaidi ya kuwa-alert wazi wazi kama alivyofanya humu. Siku hizi ukienda polisi physically kutoa taarifa, hata kama ni ya kuwasaidia wao, lazima wakutie misukosuko ili wakutoe hela.
 
GIBA KB

GIBA KB

JF-Expert Member
368
170
nimesoma profile ake anaonekana xo mtu mzuri hata kidogo.
 
M

MIGNON

JF-Expert Member
3,092
2,000
USHABIKI mwingine hauna kichwa wala miguu, muulize nchi kakosa nini mpaka aingie katika mambo ya ugaidi, upuuzi mtupu.

Tunauangusha UISLAMU kutokana na watu kama hawa.
 
Z

ZeMarcopolo

JF-Expert Member
13,584
2,000
Kumuanzishia thread ni njia mojawapo ya kumuongezea wafuasi. UngeWATONYA watu wa usalama kimyakimya ungekuwa umefanya la maana zaidi.

By the way, uwepo wa askari kwenye followers/friends wa huyo mtu unaweza kuwa ni kwa assignment maalum...
 
Horseshoe Arch

Horseshoe Arch

JF-Expert Member
12,689
2,000
Ficha Upoyoyo wako, atoe taarifa gani zaidi ya kuwa-alert wazi wazi kama alivyofanya humu. Siku hizi ukienda polisi physically kutoa taarifa, hata kama ni ya kuwasaidia wao, lazima wakutie misukosuko ili wakutoe hela.
Sipendi kuharibu siku yangu kwa kusababishiwa na pimbi mmoja...neno upoyoyo ukalitumie chumbani kwako ukiwa na bwanako! (tusi kubwa)
 
Mpaka Kieleweke

Mpaka Kieleweke

JF-Expert Member
4,133
1,225
Kumuanzishia thread ni njia mojawapo ya kumuongezea wafuasi. UngeWATONYA watu wa usalama kimyakimya ungekuwa umefanya la maana zaidi.

By the way, uwepo wa askari kwenye followers/friends wa huyo mtu unaweza kuwa ni kwa assignment maalum...
Upo? Sikutegemea post ya aina hii kutoka kwako......hasa post kama hizi ....
 
MZEE WA ROCK

MZEE WA ROCK

JF-Expert Member
623
195
huyu jamaa ni hatari sana kova uko wapi na ile intel ejensia yko? au hii kz ni ya IGP mwema?
huyu sasa ndio wakupeleka mabwepande
 
M

Meela

JF-Expert Member
1,307
2,000
weka ushahidi wa yeye kuhusika na alshabab na kutengeneza cd hizo.
Yeye katoa duku duku, ni kazi ya Usalama wa Taifa kushughulika na kufuatilia kuona kama kuna substance kwenye duku duku lake na kuchukua hatua stahiki.
 

Forum statistics


Threads
1,424,567

Messages
35,067,028

Members
538,022
Top Bottom