Usalama wa Taifa umeshindwa kucrack down pesa za Rostam Aziz au Patel. Who knows labda pesa za hawa watu zinafund magaidi? Who knows labda pesa zao ndio zinatumika kununua cockain and cracks kutoka Afrighanstan and Pakistan?
TISS is a political organization, ambayo ipo pale kulinda watu wachache.
Ili tufike safari yetu, we need Mahakama inayojitegemea na isiyohusiana na serikali, otherwise we will keep witnessing same thing over and over again.
One may ask what is Usalama wa Taifa? je usalama wa taifa ni kulinda kushambuliwa, kupinduliwa na kuwadhuru viongozi wakuu? what about security of Wananchi, security of mali and natural resources, security of our well being?
On January 20th 1997, Mr. Benjamin William Mkapa the then president of United republic of Tanzania signed an Act to establish Tanzania Intelligence and Security Services, famoulsy known as TISS or Usalama wa Taifa.
Icadon,
Do we need to disband and reconstruct TISS, PCCB, DPP and DCI? Can each one of them have a director general ambaye anaidhinishwa na Bunge?
Then wakuu wa JWTZ, Magereza, Polisi na AG nao wadhinishwe na Bunge?
Rev. Kwa maoni yangu PCCB, DCI ziwe chini ya TISS, na DG wao aidhinishwe na Bunge.
Alafu wizara ya sheria na katiba na hii ya mambo ya ndani zingeunganishwa...
Hivi DMI hiko chini ya TISS?
Sorry lad, what is DMI?
Wewe uliongea kiruga sikukuelewa mapema.Directorate of Military Intelligence.
Wewe uliongea kiruga sikukuelewa mapema.
I would have thought DMI is under TPDF and has colaboration efforts with TISS when it comes to mambo ya Ujasusi kwa kulinda mipaka na interest za nchi ambazo zitalazimu Jeshi liingilie kati na kufanya kazi yake.
By the way, yule Jasusi wa kwanza kufungwa Tanzania in 80's alikuwa akiitwa nani vile? Was it Zomba/Zangira or something? nakumbuka alikuwa akifanya kazi Kilimanjaro Hotel. Je bado yupo hai?
Najua Lt Gen Imran Kombe(RIP) alitokea huko DMI.
Unajua kwa nini nimeuliza?maan kuna a lot of TISS agents ambao wako DMI na ni active TPDF na TISS vile vile.
Sijui kuhusiana na huyo jamaa.
It is easy to move from DMI to TISS one would think than moving from TISS to DMI especially as a ranking officer!
I think his name wa Juma Thomas Zangira!
Back to the Topic,
Tanzania kuna security Organ(s) ngapi, TISS imegawanyika vipi(Vitengo)?
Mfano wa uganda wanaYou are asking a wrong guy! Muulize Dar Es Salaam, Kulikoni na Binti Thumuni.
I would have thought that using the American model of security and intelligent system tulipaswa kuwa na;-
Halafu kuwe na Kitengo maalumu kwa ajili ya Walinzi wa Raisi.
- NSA, ambayo ingekusanya CDF, IGP, DMI, TISS na Waziri wa mambo ya Ndani
- TISS modeled after CIA, MI6 and working with Jeshi
- DCI ambayo ingekuwa kama FBI, Surete na MI5
- PCCB, DEA, FCU (Financial crimes Unit), FFU, Polisi, Uhamiaji na Magereza chini ya wizara ya mambo ya ndani.
Lakini kwa kuwa TISS ni kama NSA, basi ningekuwa mwenye madaraka ningeigawanya namna hii;
Mengine unaweza jazia...
- Internal Intelligence services
- External clandestine unit
- Research
- IT and Financial Intelligence
- Anti Terrorism & Guerilla Movements
Tuendelee.
Good analysis Rev.; ikitokea vita vya kigaidi, magonjwa na hata uhamisho wa mabilioni ya fedha hao TISS, TAKUKURU na wengine wameshindwa kutulinda. Kisa, eti JF inachochea! Ish!
Mie naona hawa wanausalama wana bifu na JF kwani kinamna tunawakumbusha kuwa hawafanyi kazi wanayotakiwa kufanya. Hebu jamani tujiulize...nchini Marekani, mtu awaye yote akideposit kiasi kinachozidi $9,999 ni lazima aripotiwe FBI (iwe ni kawaida/halali au sio kawaida/halali). Na mabenki yanatakiwa kuripoti nyendo zisizo za kawaida k.v. mtu anayejulikana kupata mshahara wa $1000 kwa mwezi na mara ana deposit $7,000 mara tatu kwa mwezi, huyo atachukuliwa tahadhari. Hivi kweli mabenki nyumbani yana sheria kama hii?