Bajaji na Boda ni Bomu la Atomic

Bajaji na Boda ni Bomu la Atomic

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
17,362
Reaction score
26,943
Mbeya :
LATRA ndio wasimamizi wa vyombo vya usafiri nchi kavu.
LATRA ndio waliotangaza Route na kutoa TLB.
LATRA ndio walio ondoa BAJA na Siyo Polisi wala Wamiliki wa Daladala.
LATRA ndio wana mamlaka ya kuweka route na kuifuta maana wao ndio kazi yao na tunawalipa kwa hilo.
Leo , Mbagala huku Bajaj zimepigwa marufuku main road, badala wakae mezani ama waombe mazungumzo na LATRA wao wanavunja vioo na kuponda daldala, huu ni uhalifu , uhujumu uchumi, udhalilishaji wa Jeshi la Polisi ili ionekane IGP hajui kazi wakati kumbe ni wahuni wachache hapo njia panda kiburugwa wanfanya hayo.

WITO:Jeshi la polisi hata kama raia watawachangia, tunawaomba muokot ekila aliyetupa jiwe, watalipa hayo magari, watalipa kwa damu an machozi.




 
Back
Top Bottom