Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,252
- 113,647
Komando wa Us akipiga ngumi moja tu mkorea hainuki mwezi mzima
USA baby
Komando wa Us akipiga ngumi moja tu mkorea hainuki mwezi mzima
Eti mkorea ampige Us kwa mkono,we mwenyewe hapo ngabu ukiwashika wakorea wawili unawabamiza chini mara moja na hawainuki tena
USA baby
Halafu humu kuna watu wanajidanganya eti watakao athilika na hii vita ni Japan na Seoul......
Kweli Pyongyang inaweza kukabiliana na Japan kivita? No way....Kweli Pyongyang inaweza kukabiliana na Seoul kivita? No way....
Hao wajapan na SK hawataki tu show off na wanatoka USA ndo ionekane mwanzilishi wa hii vita but in reality NK watatafuta sn pakujificha
Hao Wakorea hawawezi kustahimili ngumi ya Kisukuma....mbaya zaidi ngumi ya Kinyantuzu!!!Eti mkorea ampige Us kwa mkono,we mwenyewe hapo ngabu ukiwashika wakorea wawili unawabamiza chini mara moja na hawainuki tena
Ndio namuambia yule sasa chekishia hapo komandoo wa Us eheheh mwezi haamki au anakufa ,,wasifananishe Us na vitu vya kijingaHao Wakorea hawawezi kustahimili ngumi ya Kisukuma....mbaya zaidi ngumi ya Kinyantuzu!!!
Yaani hao hata nikirusha ngumi halafu iwakose....ule upepo wake tu unatosha kabisa kuwagaragaza.
Sukuma baby
wakuu vita ni janga eti..tena ukizingatia kwa mataifa makubwa kama haya tunaweza tukajikuta katikati ya WW3! Tuombe tu yaishie hukohuko
Korea ya kaskazini wanamini Uhuru dhidi ya vitisho vya marekani ndo raha ya maisha! Ulikuwa unaona tabasamu LA Mapank akiubeza mkwala wa Trump maana alijua hatothubutu!Hivi hawa North Korea hawanaga kingine wanafanya zaidi ya Silaha!
Nadhani wananchi wake watakuwa na maisha magumu sana
Korean peninsula ni eneo lote linalozunguka nchi za Asia Pacific. So ni eneo huru pia hata ndani ya maji kuna mipaka Meli za US zilikuwa eneo la Asia Pacific si ndani ya mipaka ya nchi ya Korea kaskazini, ni kama ukiwa nje ya Nyakatombe unakuwa umetoka nje ya mipaka ya Tanganyika ndio maana Meli zikija pilot wa Tanganyika wanakwenda kuzipokea Nyakatombe na kuingia nazo ndani ya Tanganyika.Sasa kama NK yupo fiti kama unavyotuaminisha, ebu tueleze imekuwa vipi US kuzipenyeza meli zake za kivita mpaka kuingia kwenye Ras ya NK?
Jamaa unaonekana ni mtu wa kuangalia movies sana......... Hydrogen bomb so ni marekani pekee wanalo etiYani kwaakili yako yote huo ndo utafiti unaoona unamuwezesha N Korea kumpiga Marekani. Wewe utakuwa sijui umetoka pangoni Leo. Ulishaona watu wanakimbilia kwenda N Korea? Simply hawa N korea wanachezea kiberiti ndo maana Dunia inawaonya 'USA' akiwa kiongozi. Kwasababu wakiamua tuu wanadetonate hydrogen bomb hapo juu ya anga la N Korea na wanarudi back mwaka 1880. Hakuta kuwa na kitu cha umeme kitakachofanya kazi. Just imagine magari hayawaki wala kifaa chochote chenye Nyaya za umeme kitakuwa kimeunguzwa na EMP attack. Welcome to Star Wars 101.
Haujaelewa vita we...... Hao n. K ndo hawana izo technics .na kwann unasema vita haitofika marekani?Vita ni hela
Vita ni gharama
Vita ni technics
Vita ni silaha
Kwa muktadha huu bila shaka ni aibu kwa US kupigana na N.K maana anaizidi kila kitu.
Vita ikianza itapiganwa katika ardhi ya N.K ,kwa hiyo shughuli zote za uzalishaji,viwanda na huduma za kijamii zitasimama na hii inamaanisha N.K hawataweza kupigana vita hii kwa muda mrefu bila kuanza kulia lia upungufu wa silaha,chakula,maradhi na madawa.
Kwa upande wa US yeye vita haitafika kwake kwa hiyo shughuli zote za kiuchumi zitaendelea kama kawaida na atapata faida kwa kuwauzia washirika wake silaha (Nato,S.K na Japan) bila kusahau kutest silaha zake mpya.
Mwisho wa siku Kim ataishiwa kunyongwa kama tulivyoona kwa Saddam na Gaddaf (R.i.p)
Iraq kulikua na uasi na ndo maana ikapigwa kirahisi kama ilivofanyiwa Libya walitengeneza waasi kwa ili kupunguza umoja na ndo wakampiga kiongozi bora Africa gadafi... Sasa kwa n. K ni nchi ambayo haina uasi so ni nchi yenye mshikamano ......tutaona kma mmarekani ataweza kumtoa kijasho bwana Kim kidukuHata enzi za iraq mlisema kuwa USA atajuta!! Kiulaini mtu akapigwa N. KOREA hana ubavu wa kupambana na Marekani bwana!
Iraq kulikua na uasi na ndo maana ikapigwa kirahisi kama ilivofanyiwa Libya walitengeneza waasi kwa ili kupunguza umoja na ndo wakampiga kiongozi bora Africa gadafi... Sasa kwa n. K ni nchi ambayo haina uasi so ni nchi yenye mshikamano ......tutaona kma mmarekani ataweza kumtoa kijasho bwana Kim kidukuHata enzi za iraq mlisema kuwa USA atajuta!! Kiulaini mtu akapigwa N. KOREA hana ubavu wa kupambana na Marekani bwana!
WeweJeuri ya USA ni angani tu, ardhini hata sisi tunaweza kuwatoa upepo tu!
Jamaa unaonekana ni mtu wa kuangalia movies sana......... Hydrogen bomb so ni marekani pekee wanalo eti
Una uhakika na unayonena....Hilo ni clean bomb sijui hata hao wa N Korea wamefikia huko naona bado wapo mchangani na mabomu ya nuclear na wanashindwa shindwa juzi jingine limefail. Kwa kuanzia tuu Hydrogen bomu kwa taarifa yako ni 1000x more powerful kuliko lile lililo angushwa nangasaki kipindikile hako tena nikadogo kadogo. Sasa fikiria lipigwe lile kubwa walilonalo sasa si N Korea watarudi 1880 na itabidi walishwe na kujengewa miundombinu upya kutokana na madhara ya EMP. Sasa hiyo ndo vita ya kikubwa anayotaka kuchokoza.