USA vs N.Korea Military Power

Halafu humu kuna watu wanajidanganya eti watakao athilika na hii vita ni Japan na Seoul......
Kweli Pyongyang inaweza kukabiliana na Japan kivita? No way....Kweli Pyongyang inaweza kukabiliana na Seoul kivita? No way....
Hao wajapan na SK hawataki tu show off na wanatoka USA ndo ionekane mwanzilishi wa hii vita but in reality NK watatafuta sn pakujificha

Mwaga facts bana, hao South Korea washauliwaga hadi president wao na assasins wa DPRK na waliufyata.Japan ndio kashajichokeaga kitambo tu.
 
Hii vita ikipigwa atayeumia ni South Korea, kwa sababu yeye ndo yupo within the range of North Korea Missile, sasa American kuanzisha vita hii ni sawa na kuiteketeza South Korea, Vita ni vita chukulia kama kombora moja la Nuclear likaweza kupenya na kupiga South Korea, What will happen. ...!!!?
 
Eti mkorea ampige Us kwa mkono,we mwenyewe hapo ngabu ukiwashika wakorea wawili unawabamiza chini mara moja na hawainuki tena
Hao Wakorea hawawezi kustahimili ngumi ya Kisukuma....mbaya zaidi ngumi ya Kinyantuzu!!!

Yaani hao hata nikirusha ngumi halafu iwakose....ule upepo wake tu unatosha kabisa kuwagaragaza.

Sukuma baby
 
Hivi hawa North Korea hawanaga kingine wanafanya zaidi ya Silaha!
Nadhani wananchi wake watakuwa na maisha magumu sana
 
Hivi hawa North Korea hawanaga kingine wanafanya zaidi ya Silaha!
Nadhani wananchi wake watakuwa na maisha magumu sana
Korea ya kaskazini wanamini Uhuru dhidi ya vitisho vya marekani ndo raha ya maisha! Ulikuwa unaona tabasamu LA Mapank akiubeza mkwala wa Trump maana alijua hatothubutu!
Asilimia 60 ya pato lao wanawekeza kwenye silaha na jeshi kwa ujumla!
Wana akili sana usipime! Wanajiundia silaha zote hizo walizozionyesha wenyewe! Dunia imewatenga lakini wana wanajifanyia kila wenyewe, wana internet ya kwao, wana computer system ya kwao ambayo hamna namna ya ki-hack!
Korea kaskazini si MASKINI kivile, Yale madude tuliyoona si ya kutengenezwa na nchi MASKINI! Watu ni wa kawaida sana lakini Taifa liko vizuri!
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Sasa kama NK yupo fiti kama unavyotuaminisha, ebu tueleze imekuwa vipi US kuzipenyeza meli zake za kivita mpaka kuingia kwenye Ras ya NK?
Korean peninsula ni eneo lote linalozunguka nchi za Asia Pacific. So ni eneo huru pia hata ndani ya maji kuna mipaka Meli za US zilikuwa eneo la Asia Pacific si ndani ya mipaka ya nchi ya Korea kaskazini, ni kama ukiwa nje ya Nyakatombe unakuwa umetoka nje ya mipaka ya Tanganyika ndio maana Meli zikija pilot wa Tanganyika wanakwenda kuzipokea Nyakatombe na kuingia nazo ndani ya Tanganyika.
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Nakubaliana na nyie lakini tujue wingi silaha ndio ni njia nzuri ya kuwin vita ila kama unastrategy nzuri za kutumia silaha izo kwa faida.... Marekani alikua na silaha nyingi na nzito ila hakuweza nchi kama Somalia na vetinam..... So tusubir tuone na Ana mbinu bora za kivita.
 
Yani kwaakili yako yote huo ndo utafiti unaoona unamuwezesha N Korea kumpiga Marekani. Wewe utakuwa sijui umetoka pangoni Leo. Ulishaona watu wanakimbilia kwenda N Korea? Simply hawa N korea wanachezea kiberiti ndo maana Dunia inawaonya 'USA' akiwa kiongozi. Kwasababu wakiamua tuu wanadetonate hydrogen bomb hapo juu ya anga la N Korea na wanarudi back mwaka 1880. Hakuta kuwa na kitu cha umeme kitakachofanya kazi. Just imagine magari hayawaki wala kifaa chochote chenye Nyaya za umeme kitakuwa kimeunguzwa na EMP attack. Welcome to Star Wars 101.
Jamaa unaonekana ni mtu wa kuangalia movies sana......... Hydrogen bomb so ni marekani pekee wanalo eti
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Vita ni hela
Vita ni gharama
Vita ni technics
Vita ni silaha
Kwa muktadha huu bila shaka ni aibu kwa US kupigana na N.K maana anaizidi kila kitu.

Vita ikianza itapiganwa katika ardhi ya N.K ,kwa hiyo shughuli zote za uzalishaji,viwanda na huduma za kijamii zitasimama na hii inamaanisha N.K hawataweza kupigana vita hii kwa muda mrefu bila kuanza kulia lia upungufu wa silaha,chakula,maradhi na madawa.

Kwa upande wa US yeye vita haitafika kwake kwa hiyo shughuli zote za kiuchumi zitaendelea kama kawaida na atapata faida kwa kuwauzia washirika wake silaha (Nato,S.K na Japan) bila kusahau kutest silaha zake mpya.

Mwisho wa siku Kim ataishiwa kunyongwa kama tulivyoona kwa Saddam na Gaddaf (R.i.p)
87d96464c95006898c912b854ba0bae8.jpg
Haujaelewa vita we...... Hao n. K ndo hawana izo technics .na kwann unasema vita haitofika marekani?
 
Hata enzi za iraq mlisema kuwa USA atajuta!! Kiulaini mtu akapigwa N. KOREA hana ubavu wa kupambana na Marekani bwana!
Iraq kulikua na uasi na ndo maana ikapigwa kirahisi kama ilivofanyiwa Libya walitengeneza waasi kwa ili kupunguza umoja na ndo wakampiga kiongozi bora Africa gadafi... Sasa kwa n. K ni nchi ambayo haina uasi so ni nchi yenye mshikamano ......tutaona kma mmarekani ataweza kumtoa kijasho bwana Kim kiduku
 
Hata enzi za iraq mlisema kuwa USA atajuta!! Kiulaini mtu akapigwa N. KOREA hana ubavu wa kupambana na Marekani bwana!
Iraq kulikua na uasi na ndo maana ikapigwa kirahisi kama ilivofanyiwa Libya walitengeneza waasi kwa ili kupunguza umoja na ndo wakampiga kiongozi bora Africa gadafi... Sasa kwa n. K ni nchi ambayo haina uasi so ni nchi yenye mshikamano ......tutaona kma mmarekani ataweza kumtoa kijasho bwana Kim kiduku
 
Jamaa unaonekana ni mtu wa kuangalia movies sana......... Hydrogen bomb so ni marekani pekee wanalo eti

Hilo ni clean bomb sijui hata hao wa N Korea wamefikia huko naona bado wapo mchangani na mabomu ya nuclear na wanashindwa shindwa juzi jingine limefail. Kwa kuanzia tuu Hydrogen bomu kwa taarifa yako ni 1000x more powerful kuliko lile lililo angushwa nangasaki kipindikile hako tena nikadogo kadogo. Sasa fikiria lipigwe lile kubwa walilonalo sasa si N Korea watarudi 1880 na itabidi walishwe na kujengewa miundombinu upya kutokana na madhara ya EMP. Sasa hiyo ndo vita ya kikubwa anayotaka kuchokoza.
 
Una uhakika na unayonena....
 
Back
Top Bottom