US Election Coverage 2008

US Election Coverage 2008

Kitila,
sina la kuongeza juu ya indoor politics na kina clintons!! lakini kitu kimoja nadhani umekichanganya, popular vote ni Obama anaongoza so far na inaonekana itakuwa hivyo mpaka mwisho!!!
kitu pekee anachotambia clinton ni ku-win big states, ambazo huenda democrats anywayz..........hali si nzuri, kwani ni kweli kuna watu hawatavote hillary kama akishinda na vivyo hivyo kwa Obama!!! sad, mie kwa bahati mbaya sana na labda nipo biased, namlaumu HRC kwa kwenda too -ve.

week njema wasee!!.
 
Hapa ndipo ngoma ilipo. Ni namna ya kuwashawishi super delegates. Obama anakwenda akiwa na more delegates kuliko Hillary, wakati Hillary anakwenda akiwa na more popular vote kuliko Obama. The question is, will the superdelegates be swayed and persuaded by one's magnitude of popular vote or one's number of delegates? Halafu hii ngoma baada ya 22 April itabaki indoor. Sasa inaonekana ma-pundits wakakiri kwamba ngoma ikibaki indoor Hillary ana nafasi zaidi maana wanasema akina Clintons huko ndio uwanja wao, yaani ni wataalamu wa kutisha kwa kampeni za indoors. Je, ma-pundits wa JF mnakubaliana na hili?

mimi ninavyohisi, Bill Clinton atafanya makeke yake ya kudeal na masuper delegates wakati huo huo atajaribu kuweka deal na obama, deal la muda mrefu. kumconvice obama kwamba, bwana sikiliza, chukua u vice president halafu huko mbeleni Mama akiwa ndo president anayemaliza term yake atafanya kila linalowezekana kuhakikisha obama anasimamama kwa ticket ya democract kugombea uraisi.kwamba Bill mwenyewe na machine yake watakuwa tayari kumsupport Obama katika kugombea, kama Mama akienda kwenye convention na akashinda kwa mkono wa masuper delegates hata kama obama anaongoza kwa madelegates wa kawaida,hakuna jinsi obama anavyoweza kukataa ofa ya uvice president, akisusa ajue amejiangusha kisiasa, na atakuwa amemwangusha mama kwa sababu mama bila obama ktk ticket yake mambo yake hayako sawasawa.kwa hiyo wazee wenyewe watakaa kumconvice kijana atulize boli!. kumbuka masuper delegates ni sehemu halali kabisa ya ushindani ndani ya democrtacts, kwa hiyo wakishampiga chenga ya mwili obama watampa option obama achague uvp au kuzamisha jahazi. sasa unafikiri obama atachagua kipi?
 
Obama anaweza kwenda negative kwa huyu mama kwa kuwatumia watu kama akina Kennedy na surrogates wake wengine wakati yeye mwenye anaendeleza kampeni yake safi!!

Kitila Obama anaongoza kwa Delegates na Popular votes mpaka wanakwenda kwenye Super Tuesday 2 alikuwa anaongoza kwa zaidi ya 1 milion votes.

Obama is not running for vice president, ila uko Denver kutawaka moto maana duh mambo ya back door deals na shady dealings yatakiua chama.

Seth Grahame-Smith
The Monster: A Loyal Clinton Soldier Turns in His Badge

Posted March 9, 2008 | 03:37 PM (EST)
She has no idea how many times I defended her. How many right-leaning friends and relatives I battled with. How many times I played down her shady business deals and penchant for scandals -- whether it was Whitewater, Travelgate, Vince Foster, Cattle Futures, Web Hubbell, or Norman Hsu. She has no idea how frequently I dismissed her husband's serial adultery as an unfortunate trait of an otherwise brilliant man. For sixteen years, I was a proud soldier in the legion of "Clinton apologists" -- who believed that peace and prosperity were more important than regrettable personality traits.

And then she ran for president.

After seven years of George W. Bush, America is hungry for change. Big change. And let's face it -- Hillary Clinton, the party standard-bearer and former White House denizen -- isn't it. But even after voters coalesced around Barack Obama, handing him eleven straight primaries (twelve, if you count Vermont), she refused to accept the possibility -though math, money and momentum were clearly against her -- that the Bush/Clinton Family Band might not be #1 on America's Billboard chart anymore.

So, rather than step aside and become the hero of her party, she made a strategy decision to go negative in advance of Ohio and Texas. Not just negative -- personal. She cynically chided Mr. Obama's message of hope. She played the victim card. The gender card. The Muslim card. She cried "shame on you, Barack Obama" for his campaign tactics, while (if we're to believe Matt Drudge) simultaneously floating a picture of him in Somali garb to stir up questions of his patriotism.

She accused Mr. Obama of his own shady business deals (the irony of which nearly ripped a hole in the fabric of space/time). She accused him of being two-faced on NAFTA, when it was her campaign that had winked at the Canadians. She demanded that he "reject" the endorsement of Louis Farrakhan, but remained silent when Rush Limbaugh stirred up votes for her in Texas. And she crafted the now-infamous "3am" attack ad -- which used scare tactics to highlight Senator Obama's perceived lack of experience in foreign affairs. Straight out of the ol' Atwater/Rove playbook. Of course, all of this paled in comparison to her husband's patronizing, racially insensitive comments earlier in the primary season.

Was this the same Hillary Clinton whose husband ran on the idea that hope was more powerful than fear? The wife of a president who had less foreign policy experience than Barack Obama when he was elected? And exactly which crisis is she referring to when she claims to have more experience? And while we're at it, where the hell are those tax returns?

It's clear that Hillary's back in this thing, at least for the time being. But at what cost? Short of some cataclysmic event, there's no way either she or Mr. Obama can reach 2,025 delegates in the remaining contests. That means she's accepted the inevitability of a brokered convention. A convention she'll almost certainly enter with fewer delegates than her opponent. That raises some important questions:

Will she subvert the will of the voters? Will she turn Denver into a series of shady back-room deals and arm twisting? Will she dispatch her husband to pressure superdelegates into switching allegiances at the last minute? Are we in for, as one pundit put it, a good ol' fashioned "knife fight?"

And if she does manage to secure the nomination, what about the scores of disenfranchised Obama supporters (many of them young people with little loyalty to the Democratic Party)? How will she bring them back into the tent? Hillary seems confident that this can be remedied by offering Mr. Obama a spot on her ticket. Really? And what would his motivation be for accepting? Playing third-fiddle to Bill?

However, if Mr. Obama goes on to secure the nomination, she'll have handed his rival a treasure trove of sound bites. All John McCain has to do between August and November is play clips of Hillary questioning Obama's experience and belittling his platitudes. In a way, she'll have become Mr. McCain's second running mate.

She's proven that she cares more about "Hillary" than "unity." More about defeating Obama than defeating the Republicans. She's become a political suicide-bomber, happy to blow herself to bits -- as long as she takes everyone else with her.

On Friday, one of Barack Obama's foreign policy advisors, Samantha Power, resigned after calling Senator Clinton "a monster" during an off-the-record exchange. It was an unfortunate slip, but one that echoed the sentiments of many Clinton apologists like me -- who've watched Hillary's descent into pettiness and fear-mongering with the heartbreak of a child who grows up to realize that his beloved mother has been a terrible person all along.

Are the conservatives right about the Clintons? Will they do and say anything to get elected?

I don't know.

All I know is...I'm through apologizing.
 
Kitila,
sina la kuongeza juu ya indoor politics na kina clintons!! lakini kitu kimoja nadhani umekichanganya, popular vote ni Obama anaongoza so far na inaonekana itakuwa hivyo mpaka mwisho!!!
kitu pekee anachotambia clinton ni ku-win big states, ambazo huenda democrats anywayz..........hali si nzuri, kwani ni kweli kuna watu hawatavote hillary kama akishinda na vivyo hivyo kwa Obama!!! sad, mie kwa bahati mbaya sana na labda nipo biased, namlaumu HRC kwa kwenda too -ve.

week njema wasee!!.

Maybe, lakini nilikuwa nasikiliza abc asubuhi (kwa hapa UK), wanametoa mchanganuo ufuatao:

Delegates: Obama ana 1,577 na Clinton ana 1,467

Popular vote: Obama ana 13,575,879 na Clinton ana 13,578,860
.

Kwa hiyo utaona kwamba kwa popular vote, Clinton anaongoza ila kwa delegates Obama anaongoza. Nafikiri hii imechangiwa na ukweli kwamba Hillary ameshinda majimbo mengi makubwa yenye population kubwa wakati Obama kashinda majimbo madogo yenye population ndogo!
 
Ukiweka Florida na MIchigan Mama anaongoza.
 
Icadon, kwa kweli naona huko mbele kuna kazi. How much this kind of stuff will damage Hillary, I think very sparingly, simply because what this guy is saying is not new. Haya anayoyasema wapiga kura wa Hillary wanayajua na wameamua kum-support anayway. Kwa hiyo katika swala la negative attack, wa kuumia ni Obama kwa sababu ame-raise hope kubwa kuhusu how clean he is. Kwa hiyo ukitajwa ubaya wa Obama watu watashtuka. Ubaya wa Hillary na mume wake watu wanaujua, hakuna kipya ambacho watasema kibadili mawazo ya watu, hasa wale core supporters. Na so far tumeshaona jinsi ambavyo negative attack zinavyomuathiri Obama, but not so much for Hillary.
 
Labda..? Of course, wewe uko biased. Nashukuru kwa kukiri mwenyewe. That alcohol must be tappering off...
 
Maybe, lakini nilikuwa nasikiliza abc asubuhi (kwa hapa UK), wanametoa mchanganuo ufuatao:

Delegates: Obama ana 1,577 na Clinton ana 1,467

Popular vote: Obama ana 13,575,879 na Clinton ana 13,578,860
.

Kwa hiyo utaona kwamba kwa popular vote, Clinton anaongoza ila kwa delegates Obama anaongoza. Nafikiri hii imechangiwa na ukweli kwamba Hillary ameshinda majimbo mengi makubwa yenye population kubwa wakati Obama kashinda majimbo madogo yenye population ndogo!

Kitila ndugu yangu, naomba nikurekebishe:
Tukiongelea delegates naomba tutofautishe pledged delegates ambao ni wale wanaokuwa-assigned kufuatia ushindi na kuna superdelegates ambao wanaweza kubadili mawazo na ndiyo centre of our discussion:
Sasa kwa upande wa pledged delegates:
Obama: 1,328
Clinton: 1,190
Difference: 138

Super delegates:
Obama: 199
Clinton: 238
Difference: 39
Source: Clinton News Network aka CNN http://www.cnn.com/ELECTION/2008/

Kwa upande wa popular vote sijaona kwa Clinton News Network, lakini kumbuka kwamba bado hawajamilisha popular vote in alot of counties maana walichofanya ni projection kama candidate anaonekana kushinda lakini hawajahesabu zote. Tusubiri popular vote count imalizike in all states then tutajua, lakini wanachoangalia hapa zaidi ni pledged delegates. But we will see.
 
Icadon, kwa kweli naona huko mbele kuna kazi. How much this kind of stuff will damage Hillary, I think very sparingly, simply because what this guy is saying is not new. Haya anayoyasema wapiga kura wa Hillary wanayajua na wameamua kum-support anayway. Kwa hiyo katika swala la negative attack, wa kuumia ni Obama kwa sababu ame-raise hope kubwa kuhusu how clean he is. Kwa hiyo ukitajwa ubaya wa Obama watu watashtuka. Ubaya wa Hillary na mume wake watu wanaujua, hakuna kipya ambacho watasema kibadili mawazo ya watu, hasa wale core supporters. Na so far tumeshaona jinsi ambavyo negative attack zinavyomuathiri Obama, but not so much for Hillary.

Mimi nadhani itamwumiza Hillary hii negativity lakini hatujaona bado effects zake. Also campaign yake iko mismangaed vibaya. kuna article ya New york times leo inayozungumzia jinsi inavyoaffect campaign yake kwani management yake ni mbovu:
http://www.msnbc.msn.com/id/23552134/

Pia naomba niwasilishe alichoandika Kathleen Callahan ambaye alikuwa member of finance committee ya Clinton na sasa ni Obama supporter:
voluntarily left thE Hillary Finance Committee after I discovered more than $3, 000 in unauthorized charges from HRC campaign on my own VISA card! And that set off a wave of overdrafts and $400 in bank charges that I was stuck with. And thE compliance officer Allison Wright at Hillary VA headquarters refused to reimburse me for the charges. And the senior finance reps who I notified about more than $3, 000 in Unauthorized Visa Charges: never once aplogized or empathized with my plight...Much less send me a "sorry for all the trouble" note and a check!

Unbelievably, it took me more than a month of pleading and begging VIA email to get the money back. I was told verbatim:

"Kathy Callahan, you are going to be with us all the way to the White House...So let's leave the money where it is and we'll save time on inevitable future donations and transactions!"

I went into a state of abject shock, disbelief and later anger! Heartbroken. I didn't want to report this entirely correctable problem to anyone outside the Hillary campaign! One long month later, and at the behest of a bank executive who said to me a few days before Christmas Eve,
"You are way way way over the legal donor limit, Kathy! What are they thinking? Are they thinking at all?"
So I followed his direction and filed a police report in Ridgefield. I then notified Allison Wright and Cc'ed senior finance reps (who I met many times) via email again -about the police report and said,
"Enough is Enough, already! Christmas is coming!"

It was then and only then and within a matter of seconds that I got a cell phone call and email from Allison Wright imploring me, "Kathy, please don't do anything, formally! I will send you whatever you want back, immediately!" I told her,
"You can send all of my money back!" Finally, $5, 300 large came back to me but not $400 in overdraft charges. And to think that the legal limit during the primary is $2, 300 and I had already generously and enthusiastically donated $2, 000 to Hillary legitimately!

I had no other choice but to walk away! And I am so glad that I did. Every cloud has a green, gold and silver lining. And in my case it's Barack Obama.

-Kathy Callahan, MSW, NJ LCSW, MASS LICSW
http://www.dailykos.com/story/2008/3/9/2038/37655/750/473190
 
Kuhusu hii issue ya Clinton campaign kucharge amount kubwa kuliko walizoruhusu donors wao ni kweli na iliandikwa kwenye New York times:
For Senator Hillary Rodham Clinton, it was a monumental achievement: Her campaign announced in April that she had raised $26 million in the first quarter of the year, more than any other presidential candidate.

The tally was especially important because it nudged her past Senator Barack Obama, whose campaign reported a surprisingly strong $25.7 million, and allowed her to claim victory in the “money primary” that is widely viewed as an early test of endurance in the Democratic race for the presidential nomination.

But like a certain home run record, Mrs. Clinton’s big numbers might require an asterisk.

Her campaign has since had to subtract hundreds of thousands of dollars from its first-quarter total because of a variety of problems, including donors whose credit cards were mistakenly charged twice, contributions exceeding the legal limit and checks that bounced. As a result, her total was reduced to $25.6 million — dead even with Mr. Obama, whose first-quarter take also shrank, albeit to a lesser degree.

And in one important measure, the amount collected from individuals, it now appears that Mr. Obama surpassed Mrs. Clinton. Mrs. Clinton’s overall total included $236,000 from political action committees, while Mr. Obama did not accept money from PACs.
Mambo yataanza kufumuka sasa and when it bursts from the seams zitamwagika!
 
mimi ninavyohisi, Bill Clinton atafanya makeke yake ya kudeal na masuper delegates wakati huo huo atajaribu kuweka deal na obama, deal la muda mrefu. kumconvice obama kwamba, bwana sikiliza, chukua u vice president halafu huko mbeleni Mama akiwa ndo president anayemaliza term yake atafanya kila linalowezekana kuhakikisha obama anasimamama kwa ticket ya democract kugombea uraisi.kwamba Bill mwenyewe na machine yake watakuwa tayari kumsupport Obama katika kugombea, kama Mama akienda kwenye convention na akashinda kwa mkono wa masuper delegates hata kama obama anaongoza kwa madelegates wa kawaida,hakuna jinsi obama anavyoweza kukataa ofa ya uvice president, akisusa ajue amejiangusha kisiasa, na atakuwa amemwangusha mama kwa sababu mama bila obama ktk ticket yake mambo yake hayako sawasawa.kwa hiyo wazee wenyewe watakaa kumconvice kijana atulize boli!. kumbuka masuper delegates ni sehemu halali kabisa ya ushindani ndani ya democrtacts, kwa hiyo wakishampiga chenga ya mwili obama watampa option obama achague uvp au kuzamisha jahazi. sasa unafikiri obama atachagua kipi?

..wewe gamba la nyoka acha kuleta michezo hapo isiyokuwepo,VP labda hillary ndio achukue sio Obama,who needs Clinton machine? seems ya Obama ni kali kuliko,mama tayari chali ndio maana anaplay mind game sasa kuhusu VP,hao superdelegates wakileta siasa za nyerere wajue dems imekwisha na hawatauona uraisi tena!
 
Wanachoharibu akina Clintons ni kusema kuwa Obama hana commander in chief threshhold..wanasema McCain na Hillary wanazo. Kwa hiyo wakati wana mvictimize Barack kwa sasa na kum praise McCain..the Republicans are watching this na wako anxiuosly kumsubiri whoever gets the nomination, kwa sababu McCain atakuwa well rested.
Zaidi, akina Clinton wanakanyaga kinyesi chao...kama Barack ha-qualify kuwa Commander in Chief, kwa nini wanataka awe VP kwenye ticket ya Hillary?
Can somebody answer me this?
 
Pia naomba niwasilishe alichoandika Kathleen Callahan ambaye alikuwa member of finance committee ya Clinton na sasa ni Obama supporter:

http://www.dailykos.com/story/2008/3/9/2038/37655/750/473190

Mkuu hii ya Kathleen ni very psychological and perhaps natural. Ni kawaida kwa binadamu kuhalalisha matendo yako, hasa pale ambapo umefanya kitu ambacho inaonekana unasaliti wenzako katika kundi. Sasa alikuwa kwenye Clinton team, akakumbwa na mpagawisho wa Obama akahama, so lazima atafute njia zote za kuhalalisha kuhama kwake na hizo njia pale lazima zionekana credible, this explains why she chose such a crucial issue (well, according to her). Lakini sasa swali la kujiuliza ni why now? Probably, one explanation is, it is kind of revenge or retaliation to what Hillary has so far done to them. But again, is this in the spirit of Obama's campaign, and how will it be perceived by the American voters who are supporting Obama for the reason that he is a uniter, a healer, peace maker? Kwa hiyo utaona kwamba hawa wanaanza kucheza kwenye mtego wa Hillary na atawamaliza vibaya mno. I bet these kinds of innuendos will be counter productive to the Obama's campaign because as I said they are simply against his own philosophy of politics. People judge politicians on the basis of their own principles. American voters expected Clintons to go negative as they know this is one of their political strategies, but they did not expect Obama to do the same. Now if he's doing exactly what Clintons are doing, why should people elect him in the first place? He can't beat Clintons when it comes to dirty politics, they have more experience on this areas than even on foreign relations.

Tukija kwenye issue yenyewe, kwa wale waliowahi kushiriki kampeni za siasa kubwa kama hizi za akina Obama watakubali kwamba kuzidisha matumizi na wakati mwingine kushindwa kutunza record za matumizi ni jambo la kawaida katika harakati hizi (odd as it may sound). Mara nyingi mambo ya hesabu za kampeni huwa zinakuja baada ya uchaguzi kupita. Ukishakuwa sehemu campaign team, kukopwa na kupoteza fedha kwa ajili ya kampeni ni jambo la kawaida sana. Angetafuta tu sababu zingine za kumkimbia Hillary. Yeye angesema tu Obama alimpagawisha, basi watu watamuelewa, wapo wengi sio yeye peke yake.
 
Wanachoharibu akina Clintons ni kusema kuwa Obama hana commander in chief threshhold..wanasema McCain na Hillary wanazo.

Hivi kweli mkuu ulitegemea au ulitaka akina Clinton wamsifie Obama, kwamba anazo hizo credentials? Sasa hivi the primary thing ni kushinda nomination, hawawezi kuanza kushughulika na MacCain wakati hata hiyo nomination hawana. Kwa watu wanaojua mambo haya ya kampeni za siasa hawawezi kushangaa kuwasikia akina Clinton wanamkandia Obama na in a way kumsifia MaCcain. Kwa sasa their immediate target ni Obama. Wakati ukifika, kama watapata nomination, watam-target MacCain kwa risasi zinazomstahili. Mkuu, kwenye campaign za kisiasa, first things first. The first thing right now is to get the nomination. It follows logically, Obama is the first target, MacCain, second. This is a non-issue.
 
Loh! Wee kweli mwanasiasa maana unavyoichambua hapa utadhani uliivumbua wewe.
 
Kitila,
nakubaliana na wewe kwamba kwenye kupata nomination you just focus at killing the guy(s) in your own party first halafu uki emerge a winner then unaomba reconciliation na ku forge unity ili kukabiliana na wapinzani. Nafikiri hata Jakaya Kikwete threw some mud on his peers during the nomination process..lakini hiyo ni historia. Ninachojaribu kusema hapa ni kupata nomination in a graceful way. Ukiangalia ile class ya 2004 ya democratic candidates ya akina John Kerry, John Edwards, Howard Dean,Wesley Clark, Richard Gephardt, they never went to this length kurushiana mud na kumpa G.W Bush(incumbent president)advantage.
Ndio maana nikauliza kama Hillary Camp wanasema jamaa hawezi kuwa number one iweje at the same time ana qualify kwa VP job?
 
Kitila,

Ndio maana nikauliza kama Hillary Camp wanasema jamaa hawezi kuwa number one iweje at the same time ana qualify kwa VP job?

Sasa akiwa VP si ndio atapata hizo credentials za kuwa Commander in Chief. So, this is very good for him, najua yeye anatambua hivyo. Tatizo Hillary kachelewa sana kumwambia hii kitu maana hakujua nguvu zake, alitakiwa amwambie mapema Obama wala asingegombee angekuwa naye kwenye kampeni-na kivumbi sasa hivi ingekuwa kati ya Hillary na John Edwards.

Labda nichangie hoja yako kwa nini safari hii democratic candidates wapo negative kuliko 2004. Jibu lake hapa ni ukweli kwamba Hillary anashindana na an enigmatic power. Huyu Obama kwa kuwa ni mweusi wa kwanza kuwa mgombea mwenye nguvu ame-draw sympathy ya kila mtu kwa hiyo kumshinda inahitaji nguvu ya ziada. Wewe hujiuliza huyu Obama kwa nini apagawishe watu beyond the Amercan borders? Jibu lake ni moja tu nalo ni ukweli kwamba ni kwa mara ya kwanza watu wameona mtu mweusi anakuwa na nguvu kiasi cha kutaka kuwa Rais wa America. This is a mysterious force that ought to be fought mysteriously!

Hata hivyo binafsi sijaona kabisa negativity ya kampeni za akina Clinton; mimi sioni kabisa ubaya wa kumwambia mpinzani wako hana sifa hizi na mimi ninazo. I mean what is negative kumwambia Obama hana experience?

Tuache utani jamani, tumeona negative campaign kwetu huko TZ, sio hizo za Wamarekani. Ukitaka kujua maana ya negative campaigns, kamuulize Mzee Malecela na Mzee Salim Ahmed Salim. Hawa jamaa wa CCM walifanya ubaguzi mbaya kabisa dhidi ya Malecela na Salim na mkaishia kuwacheka tu hawa wazee wa watu na kumchekelea KIkwete, leo mnashangaa Obama kuwaambia hana experience, guys you must be joking au mapenzi yamezidi kwa Obama mnataka kum-treat kama mtoto wa mwisho!
 
Hata hivyo binafsi sijaona kabisa negativity ya kampeni za akina Clinton; mimi sioni kabisa ubaya wa kumwambia mpinzani wako hana sifa hizi na mimi ninazo. I mean what is negative kumwambia Obama hana experience?

Are you serious? Please just be honest for one second
 
Sasa akiwa VP si ndio atapata hizo credentials za kuwa Commander in Chief. So, this is very good for him, najua yeye anatambua hivyo. Tatizo Hillary kachelewa sana kumwambia hii kitu maana hakujua nguvu zake, alitakiwa amwambie mapema Obama wala asingegombee angekuwa naye kwenye kampeni-na kivumbi sasa hivi ingekuwa kati ya Hillary na John Edwards.

You wish Barack would fall into that VP trap:

Hillary's Managerial Failure

Hillary Clinton believes that she is capable of being "commander-in-chief" and "from day one," nonetheless.

But an article in Monday's New York Times, "Sniping Within Campaign Tarnishes Clinton's Image," reveals that she cannot even manage her campaign populated by long-time loyalists. When she had a choice, the Times reports, "she valued loyalty and familiarity over experience and expertise."

This is not a formula for the success of a president.
 
Hakuna mtu anayetaka Obama apendelewe lakini kuna tofauti kati kampeni ndani ya chama zile za nje . Kitendo cha Hilary kusema kuwa yeye na Mccain wana experience , wakati Obama ana speech aliyosoma mwaka 2002 is below the belt. Nakubalina na wewe ya kuwa ni lazima Hilary amattack obama kwa sasa , lakini wakati huo huo ni lazima awe makini asisababishe mgawanyiko ndani ya chama.

Vile vile ni mihimu kujua ya kuwa wamarekani wanakuwa turned off na negative campaign kwa hiyo ni muhimu kuangalia hiyo message yako itakuwa perceived vipi na voters.
 
Back
Top Bottom