US Election Coverage 2008

US Election Coverage 2008

Ishu sio tax returns...ishu ni national security, health care, foreign relations, etc. etc.....

kila kitu ni ishu, ebo!! yaani kama kitu hakipo for her advantage basi sio ishu. hivi si yeye HRC alianza ile ya Obama ni muslim,kumwita Obama HUSSEIN(Bob Kerrey), jivazi la kisomali, madawa ya kulevya, he is not black enuff na etc.......sasa kitu kidogo kama tax kina mshinda, na wewe surrogate wake hapa JF( Nyani Ngabu) unasema ati hiyo sio issue!!!!. yaani kwa kukosa kwenu aibu, hata Obama kuwa na good speeches pia mmefanya ishu!!

ebu tupe definition ya ISSUES kwa mujibu wa Clintons "camp-pain."!!
 
Kwa hiyo Rezko ya Obama ni issue na tax returns za HRC ni non issue? What frigging double standard??????????????
 
Nyani Ngabu,Capitol Hill,Susuviri,YNIM,

..naona watu wameamua kuleta talking points bila hata ya wao wenyewe kuzichambua. aliyedai hapa pamegeuka genge la ubishi wa simba na yanga hakukosea.

..LACK OF EXPERIENCE ndiyo asset kuu ya campaign ya Obama. Mentors wa Obama ni Ted Kennedy na Tom Daschel na hao ndiyo waliomshauri agombee kabla hajawa na "RECORD" ktk senate.

..Tatizo la siasa za Marekani mara nyingi hawaangalii the entire body of work ya mgombea. wanachofanya ni kuchukua sehemu ndogo ndogo na kuanza kumchambua mgombea ati hafai.

..Of course mwenye "experience" ya kupokea simu ya White House saa 9 usiku ni sitting and former Presidents. Lakini tunachotafuta hapa ni nani kati ya Obama,Hillary,na Mc Cain, ambaye kutokana na kazi na maisha yake, amejiandaa/ameandaliwa zaidi kubeba jukumu hilo.

..WHO IS MORE PREPARED? that is the question.

.. In my opinion, the 'red phone ad' will end up favoring John McCain come general election. Dr.Susan Rice[former assistant to Albright] anaweza asiwe mjinga kama tunavyofikiri. It is very possible that she was thinking beyong Hillary and democratic primaries.
 
kila kitu ni ishu, ebo!! yaani kama kitu hakipo for her advantage basi sio ishu. hivi si yeye HRC alianza ile ya Obama ni muslim,kumwita Obama HUSSEIN(Bob Kerrey), jivazi la kisomali, madawa ya kulevya, he is not black enuff na etc.......sasa kitu kidogo kama tax kina mshinda, na wewe surrogate wake hapa JF( Nyani Ngabu) unasema ati hiyo sio issue!!!!. yaani kwa kukosa kwenu aibu, hata Obama kuwa na good speeches pia mmefanya ishu!!

ebu tupe definition ya ISSUES kwa mujibu wa Clintons "camp-pain."!!

We umelewa kimpumu...njoo baadae ukiwa sober ili tuongee tuelewane.
 
Nimechoka kubishana na Nyani kwa hiyo nachukua time out kufanya jambo la maana kama vile ku angalia Spurs vs. Suns.
 
Nyani Ngabu,Capitol Hill,Susuviri,YNIM,

..naona watu wameamua kuleta talking points bila hata ya wao wenyewe kuzichambua. aliyedai hapa pamegeuka genge la ubishi wa simba na yanga hakukosea.

..LACK OF EXPERIENCE ndiyo asset kuu ya campaign ya Obama. Mentors wa Obama ni Ted Kennedy na Tom Daschel na hao ndiyo waliomshauri agombee kabla hajawa na "RECORD" ktk senate.

..Tatizo la siasa za Marekani mara nyingi hawaangalii the entire body of work ya mgombea. wanachofanya ni kuchukua sehemu ndogo ndogo na kuanza kumchambua mgombea ati hafai.

..Of course mwenye "experience" ya kupokea simu ya White House saa 9 usiku ni sitting and former Presidents. Lakini tunachotafuta hapa ni nani kati ya Obama,Hillary,na Mc Cain, ambaye kutokana na kazi na maisha yake, amejiandaa/ameandaliwa zaidi kubeba jukumu hilo.

..WHO IS MORE PREPARED? that is the question.

.. In my opinion, the 'red phone ad' will end up favoring John McCain come general election. Dr.Susan Rice[former assistant to Albright] anaweza asiwe mjinga kama tunavyofikiri. It is very possible that she was thinking beyong Hillary and democratic primaries.

Hatuna shida na McCain. Tunamweka kiporo sasa hivi maana huko mbele tutahitaji medical records zake ili tujue yuko fit na anaweza ku-handle misuko suko ya white house should he become a president, asije akapata Alzheimer's bure.
 
Hatuna shida na McCain. Tunamweka kiporo sasa hivi maana huko mbele tutahitaji medical records zake ili tujue yuko fit na misuko suko ya white house should he become a president haitamuua.

Mac yuko fit....hivi hukusikia ana girlfriend...?
 
Hatuna shida na McCain. Tunamweka kiporo sasa hivi maana huko mbele tutahitaji medical records zake ili tujue yuko fit na anaweza ku-handle misuko suko ya white house should he become a president, asije akapata Alzheimer's bure.

Halafu nyie ndio mnasema hampo personal na ham-play dirty politics, hiyo ndiyo change you believe in!?
 
kwani ni uongo, Juan Pablo McCain health yake ipo shaky!! hatutaki tuchague rais kisha tutawaliwe na VP.......health records zake zitaombwa ziende public, kama wewe kaka unadhani hiyo ni dirty politicking basi labda hayo maneno siku hizi yana maana nyingine.
 
Lakini siumemsikia baada ya kipigo cha Ohio amekubali kubadilisha strategy. Ndio maana na yeye amejiingiza kwenye mkumbo wa kudai tax returns. Anajua kete yake pekee ni hiyo ku-avoid conventional American politics, akijiingiza kwenye ku-attack personality za akina Clintons ndio hivyo tena atakuwa hana tena ticket ya kujiuza. Lakini tuwe wa kweli kidogo,kuna campaign gani za kisiasa hapa duniani utakazoendesha bila kuangalia personality ya mshindani wako?

Last time akina Clinton wamerelease Tax returns zao ilikuwa ni 2000 kama sikosei, imeshapita miaka nane mbona hawajarelease? katikati hapo mama amenunua nyumba ya 2 milion dollars(haijulikani kama walichukua mkopo au hapana) kafanya renovation ya nguvu($900,000 (£488,880)).
Aug ya 1999 walinunua nyumba Chappaqua NY inacost 1.7 Milion Dollars, hii walichukua mkopo wa 1.3 Milion from Bankers Trust Co.

Obama kaendesha campaign ya bila matusi kwa mwaka mzima na imemfikisha hapa alipo.
 
BAck to TZ politics, wapinzani hawakuomba records za Kikwete ama kuquestion ufit wake especially baada ya rumors za ngoma na kudondoka pale jangwani?
 
Sasa Jaluo, anataka kuupanda mkenge wa kina Clintons, wa kwenda negative ili baadaye wamuulize sasa imekuwaje ile messsage ya hope na change, kumbe hata wewe mwenyewe huiamini mbona umei-abandone?

Kwa hiyo Jaluo, hapa kuna mtihani mzito, na wanaomwambia aende negative hawamtakii mema hao.
 
BAck to TZ politics, wapinzani hawakuomba records za Kikwete ama kuquestion ufit wake especially baada ya rumors za ngoma na kudondoka pale jangwani?

Hii ilikuwa raised na inaendelea kuwa raised hata leo. Tatizo bongo bwana ukishakuwa Rais unakuwa untouchable, sasa hivi hata ukiongea kitu kuhusu JK hakitaandikwa unless kinamjenga. Mzee bongo ni mahala pengine, it's very frustrating kwa watu wanaojaribu kuleta mabadiliko, but we have to fight-that is how some of us have decided to make our contribution in our country.
 
Guys hebu tujadili kidogo hili: Mnachukuliaje kauli ya Rep wa Iowa (Steve King-Republican) kwamba "Al Qeda will dance in the streets if Barack Huseein Obama will be elected President of the United States of America". Halafu anasema pia kwamba eti jina la Hussein ni issue kubwa katika mapambano ya terrorism. Commentaries zilizofuatia zimemtafisiri King kama vile anasema kwamba kumchagua Obama ni kutangaza rasmi kuwa America imeshindwa vita dhidi ya ugaidi.

Sasa swali: Je, kauli kama hizi zinamjenga au zinambomoa Obama katika primary race hii hasa ukizingatia kuwa zimetolewa na Republican?

Binafsi, sina uhakika na athari na faida za kauli kama hii kwa Obama. Lakini inanipa picha kidogo jinsi kampeni zitakavyokuwa chafu kuelekea November kama Obama atapata nomination. Tutashuhudia mengi mwaka huu katika siasa za Wamarekani.
 
Kama nilivyosema kwenye post yangu moja nyuma, kuwa Wamarekani baada ya sept 11 na issue zao na Saddam Hussein wanahusisha kila kitu chenye uislamu na ugaidi, huwezi kuamini mara nyingi nikiwa introduced kwa wazungu swali la pili linakuwaga "are you a muslim?" Kwenye hili GOP wanatumia tactics ya kuwatisha wazungu kuwa wakimchagua Barack Hussein Obama basi wamewapa magaidi/waislamu ushindi.
 
Magaidi hususan Alqaeda watafurahi vipi ,wakati Obama anatangaza wazi wazi kwamba yuko Tayari hata kwenda Pakistani kumtwanga Osama given that pakistani haiwezi au haitaki kumpiga.

Hao republican wanajaribu kuficha incompentence yao kule Iraq kwa kutumia siasa za kutiana woga. wanajua wazi kwamba Obama yuko very strong katika argument ya kupinga vita vya iraq,kwa hiyo wanajaribu kumneutralize mapema.

Hao jamaa ambao ni anti moslems hawana hoja kabisa, historia itawahukumu kama inavyowahukumu wabaguzi wowote wale. mbona kuna waislamu raia wa marekani au nao hao ni adui wa marekani?
 
According to the latest math....kama tunavyojua nobody will have enough delegates to secure the nomination before the Convention. Obama will go to the Democratic Convention with a lead of between 100-200 delegates...Superdelegates watafanya nini? Ata kama Mama ata sweep all the remaining primaries(labda Obama asipate kura ata moja) system ya proportional representation inafanya knockout ngumu. Sana sana atapunguza idadi labda mpaka 40 hivi.
 
Hapa ndipo ngoma ilipo. Ni namna ya kuwashawishi super delegates. Obama anakwenda akiwa na more delegates kuliko Hillary, wakati Hillary anakwenda akiwa na more popular vote kuliko Obama. The question is, will the superdelegates be swayed and persuaded by one's magnitude of popular vote or one's number of delegates? Halafu hii ngoma baada ya 22 April itabaki indoor. Sasa inaonekana ma-pundits wakakiri kwamba ngoma ikibaki indoor Hillary ana nafasi zaidi maana wanasema akina Clintons huko ndio uwanja wao, yaani ni wataalamu wa kutisha kwa kampeni za indoors. Je, ma-pundits wa JF mnakubaliana na hili?
 
Back
Top Bottom